Chris wood
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,667
- 5,056
s8+ ina 3500mph ni majanga matupu
Simu ya 2017 hukos8+ ina 3500mph ni majanga matupu

Kwan hujui kuleta picha pale ya battery consumption tukaona


labda simu yako unaitumia kupokelea calls na kutuma SMS
Galaxy M11 ina battery ya 5000 mAh na ni fast charging bila kuzima data 36 hrs bado inakuwa na 30-40%
Unamaanisha inakimbia maili 3500kwa saas8+ ina 3500mph ni majanga matupu
Labda kama huku pia ni kupokea calls na kutuma smslabda simu yako unaitumia kupokelea calls na kutuma SMS
Faida ya S Pen ni ipi?Inategemea na preferences zako...kama unapenda S pen go for note 10, note 10 ina battery kubwa kuliko s10 ingawa baadhi ya review ilikua nyuma kwa s10 kwenye battery endurance, pia note 10 plus haina earphone jack,mm napenda S series ningechukua S10 plus.
Mbona mi nina Sony XZ1 2700mAh fresh tuUnamaanisha inakimbia maili 3500kwa saa
Hio battery natumia within10hrs naimaliza kabisa ..nyie ni wale mnàsema full data on kumbe mmewasha na hamtumii. Hakuna simu hata hizi zenye 5000mah inaweza kaa 16hrs ikiwa inatumika ..nyie labda hamtumii simu...yangu ina 4000mah mwanzoni íkiwa mpyà ilikuwa inatumia 7% kwa lisaa mtandaoni bila screen kuzima hata kidogo muda wote ni ku scroll tuKawaida masaa mangapi kwa matumizi ya kawaida ?
Mfano mimi natumia Oppo , bat ni 4230mah, full time data matumizi ya kawaida nafikisha masaa 36 na ushee![]()
Nyie hamtumii simu et ..hio simu unayosema inakaa masaa24 data on embu weka mb ingia insta weka stop watch, ukitoka nenda youtube kula video kadhaa tumia kama lisaa tu screen isizime afu kumbuka ilikuwa ina % ngap na imebaki ngap ndo uje ulete mrejesho kama inaweza kaa hayo masaaSiyo uongo mkuu, nimemiliki oppo a3s, a31, a1k, realme 6 na a92 zote ukaaji wa chaji ni zaidi ya masaa 24 na data ikiwa on. Nilikuwa na samsung j6+ chaji masaa 7 tu. Kuna ndugu yangu ana Samsung a51 chaji masaa 12 imeishiwa chaji. Kwa sasa nina Redmi 9 chaji kuanzia masaa 20 ukiwa online.
Simu za oppo kama ni kupiga na kupokea tu chaji inadumu muda mrefu zaidi.
True niliwah soma sehemu muda kidogo why simu hizi high end hazina battery kubwa ... sababu zilikuwa nyingi sana na zote ziko nje ya uwezo wao..ila kusolve hio kitu wakaweka fast charging kama hizi 18w yani hata kama battery haikai sana ila ukipata penye umeme ni dk 50 tu Ngoma ipo full kabisaIpo hivi, kwanza kabisa Hii fact ni maalum tuu kwa flagship(high end) Maana ukiliweka hili katika ujumla wake, hamna anayemkuta Samsung kwa technology ya ku compress battery kubwa mpaka sasa kwa hizi kampuni kubwa zote unazozisikia, hapa nazungumzia Iphone, Oppo, infinix, nokia, tecno, Xiaomi, n.k
Samsung M51 na F62, wote hawa wana 7000mAh(# doesn't lie endurance rating za gsmarena zinaongea, hivyo hawadanganyi), ni mara mbili ya hio uliyotaja, kwenye hizi kampuni kubwa hakuna aliyefikia hapo, wengi wamegota kwenye 6000mAh.
Kwahio unakuja kugundua sio kwamba hawawezi, ila kuna sababu.
1. Sifa ya flagship ili ipendwe inaanzia kwenye muonekano, na huwezi zungumzia muonekano huu bila ku consider unene wa simu, battery kubwa inahitaji space kubwa, na kwa sababu ukubwa wa simu kwa juu(urefu×upana) ni limited kwa size ya kioo unachotaka kutumia, basi sehemu itakayo kua affected ni Unene, matokeo yake ni simu kubwa ambayo ni ngumu ku i manage mkononi.
NOTE : Moja ya sifa ya flagship ni display kubwa, sasa imagine simu kama Note 20 ultra yenye kioo cha inch 7 kasoro nukta halafu iwe nene, utaishikaje?
2. Uzito, ieleweke battery ni hardware, hivyo size inavyokua kubwa uzito unaongezeka, Sasahivi kampuni nyingi za simu zinashindana katika kuhakikisha wanatengeneza simu nyepesi isimkere mtumiaji hata akiweka mfukoni, na tukumbeke ushindani huo ni wa kwenye hizi high end sababu ndio zinaipa kampuni sifa na kutambulisha technologia yao mpya.
Flagship zinatengenezwa na material/hardware bora/imara mfano tempered glass, Aluminium flame n.k, hivi vyote vinaongeza uzito kwenye simu, while low end wanatumia ma plasti kote,
Hivyo basi kuachana tuu na battery simu inakua nzito tayari, sasa ukibugi kwenye battery unashangaa unatengeneza simu ya nusu kilo na ushee, sitanii (ulefone power Armor 13, ina nusu kilo), sasa hii uite flagship? Angalia Samsung S21 ultra mwenye 5000mAh pamoja na battery ndogo kulinganisha na M51 lakini material yake mazito yameifanya imzidi Uzito M51 yenye 7000mAh iliyotengenezwa kwa plastic, haya angeongezewa na hizo 2000mAh ingekuaje? Na ukija upande wa pili huyu M51 amemzidi S21 ultra unene tena kwa mbali tuu(ana 9.5mm, bado 0.5mm tuu agonge 1cm), sababu ni nini? Utagundua ni battery, kitu ambacho Samsung hawezi kubali kwenye flagship zake.
3.Space, Ieleweke ukisikia simu ina kitu hiki na hiki cha ziada, jamani hivi vitu vinaanzia kwenye hardware, hivyo vinahitaji space kuvi accommodate, flagship hua inaongezewa features mfano heart rate sensor, wireless charging, camera bora, speaker bora, au hio note 10 uliyoitaja, inahitaji space zaidi kwa ajili ya ku accommodate ile S-pen, ambayo kimahesabu hio pen tuu imechukua sehemu ya 900mAh, umeona sasa? n.k n.k, hivi vitu vyote vinahitaji space, hivyo kufanya eneo la battery kua finyu..
4. Businesses strategies, battery ni hitaji kubwa sana kwenye simuu, kuna watu hilo tuu ndilo kipaumbele chake kikubwa kwenye simu, hivyo atatafuta lets Say M31s sababu ya battery then ametosheka, Mwingne anahitaji vyote, atanunua flagship kupata features bora, halafu atachukua yenye battery kubwa itakayomsaidia kwenye bussy days, hiki ni kitu cha kawaida, sema tuu wengine pengine kutokana na hali za kiuchumi hio option inaangukia kwenye viswaswadu.
Mfano binafsi nina Samsung kubwa, halafu nina kijisamsung Duos cha Batani kwa ajili ya backup, tayari mpaka hapo ni deal kwa kampuni.
5. Upgrade, Kila Mwaka Kampuni zinatoa flagship mpya yenye features mpya za kuvutia, binadamu hata kama alichonacho kinamtosha, ila ana shauku ya kupata kikubwa zaidi kadiri ya mda. Hivyo hata kama wana uwezo wa kuweka 7000mAh leo hii, hataweka ila ataanzia kwenye 3500mAh ili mwakani akiweka 4000mAh bado uone kuna improvements, mfano note 10 plus ana 4100mAh na note 20 ultra ana 4500mAh, tayari kuna watu wanashawishika kununua note 20 ultra kwa sababu hio,
Sasa mtu alinunua S21 ultra kwa sababu ya battery ya 5000mAh, leo hii ukamletea s22 ultra ina 5000mAh tena atanunua ya nini?..
Mtazamo wangu,
Nunua Simu ambayo utaitumia bila kua na mawazo ya kuangalua battery percentage, Simu ambayo Bila kuzima Data basi inakufikisha mda wako wa kulala huku ikiwa imebaki na charge incase ya dharura ya umeme, binafsi sikumbuki ni lini nilizima data kwenye simu yangu, naperuzi kokote na kwa kujiyosheleza ila jioni nachezea 50%-40%, Sikumbuki ni lini niliwasha simu yangu, mana sijawa na sababu ya kuizima na haijawahi zima sababu ya charge.
Moja ya stress ambazo ni kero kwenye simu basi ni charge, simu ni yako lakini unaitumia kwa kuichungulia,
Sitaki kuzungumizia wale rafiki zangu wa,
please wait.....
Unfortunately Jamiiforums has stoped...
Camera is not responding.......
Twitter has crashed......
Naweza nisababishe watu wagombane na keyboard huko.
Nyie hamtumii simu et ..hio simu unayosema inakaa masaa24 data on embu weka mb ingia insta weka stop watch, ukitoka nenda youtube kula video kadhaa tumia kama lisaa tu screen isizime afu kumbuka ilikuwa ina % ngap na imebaki ngap ndo uje ulete mrejesho kama inaweza kaa hayo masaa
Balaa tupumimi nashangaa mkuu.
hawa ndio wale wanaowasha na kuzima data.mtandao anaoinga ni whatsapp na facebook,mwanga anaweka 35% mpaka juani hapandishi.
wakati kwa utaratibu huo hata iphone na samsung ukifanya hivi utaipenda.
juzi nimeshika infinix hot 11 sijui nambiwa inakaa na charge balaa,nikapeleka 100% mwanga nikaanza kusurf maeneo mbali mbali,ndani ya dakika 20 iko na 95%
na hapo sijaplay hd video wala kucheza migemu ya sifa.
View attachment 2078697hii naitumiaga kujiwashia hotspot battery yake lisaa limoja chali ...but ukifunga hizo zipo tatu kila moja ina 2800mah..guess zinakaa hadi lini![]()


Kwa hapo zilivo hio samsung haiwezi chaji hizo battery japo zote ni lithium ion kama original battery ya simu utofauti ni capacity tu kwa sababu yanazo unazichaji vipi![]()
Battery inachukua space na inaongeza uzito. S na Note series ni flagships ambapo lazima ziwe na uzito wa kawaida. Ukitaka battery kubwa basi chagua mid range phones kama A series au realme.Habari za muda huu sons and beautiful daughters of men.
Ninyoke kwenye mada. Hivi hawa samsung wameshindwa kabisa kutengeneza batteries au vip yaani simu kama note 10 ina 3500mah s10 3400mah ? Simu hizi na nyinginezo ni nzuri lakini kwenye batteries capacity ni shida.
Wenda kuna sababu siijui ebu karibuni kwa michango na mitazamo yenu
Ila chanzo cha watu kusema simu hazikai na chaji ni kwakuwa hawanunui mpya.Battery inachukua space na inaongeza uzito. S na Note series ni flagships ambapo lazima ziwe na uzito wa kawaida. Ukitaka battery kubwa basi chagua mid range phones kama A series au realme.
Kati ya simu zinakaa na chaji ni iphone, sasa hiyo ya kwako sijui umetengeneza mwenyewe?My Samsung A22 inakaa mpk 24 hrs na sijaona tatizo. Hayo masimu makubwa makubwa sina shida nayo so longer hii yangu inakidhi mahitaji yangu. Hayo sijui ma-soc na utopolo mwingine watajijua!
Nipo na iPhone lisimu la mfukoni tu. Nalitumia mara chache kwa whatsapp+few calls na ukiwasha data ni 7 hrs unatafuta pawa benki...
So mtoa mada, utakula ulikochagua!