samsung

samsung

Izzo G

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
414
Reaction score
62
wakuu kuna samsung niliona kwa mtu ni kubwa hv kama ipad so nilikuwa naomba kujuzwa model yake na bei yake piaa
 
Mkuu sasa mtu atajuaje hicho ulichoona wewe
ungejaribu japo kufafanua japo muonekano wake ili hata nawe uweze juzwa vizuri.
 
xawa mkuu ni kubwa zinakaribia ipad
 
xawa mkuu ni kubwa zinakaribia ipad

kwa kifupi zinaitwa Tablets ziko nyingi sio virahisi sie kujua ni ipi, ziko zente inch 7 mpaka 11 kwa msaada zaidi pitia link hiyo chini kisha utuambie uliona ipi ili upate maelezo zaidi
Samsung Tablets
 
Bei zinatofautiana kulingana na nchi, kwa mfano Iliyo mpya kuliko zote ni Samsung Galaxy Note 8.0 ambayo bado haijaingia madukani: baadhi ya zilizopo ni (kwa bei za UK)

SAMSUNG Galaxy Tab 2 7" Tablet - 8 GB - £ 158
l_14272573.jpg

SAMSUNG Galaxy Tab 2 GT-P5110 10.1" Tablet - 16 GB - £259
Screen Shot 2013-03-19 at 00.45.15.png

SAMSUNG Galaxy Note 10.1" Tablet - 16 GB - £379
Screen Shot 2013-03-19 at 00.44.54.png
 
ya inchi saba

mkuu inaitwa samsung galaxy tab 7 plus p 6200 nimeiona samsung shop dar na dodoma na bei yake ni 750,000 kwenye hizo samsung shop.

samsung-galaxy-tab-plus-p6200.jpg

kioo- 7 inch kwa resolution ya 1024x600 (sio hd)

perfomance- ram 1gb na processor ya exynos 1.2ghz dual core

camera- kuna camera ya mbele 2mp na ya nyuma 3.15 mp mambo ya video call yapo hapa na video inachukua hd (720p)

os- inatumia android 3.2 honeycomb sema unaweza upgrade hadi 4.1 jelly bean

battery- kidogo ya ukweli ina uwezo wa 4000mah yenye uwezo wa talk time masaa 40 kwa edge/gprs na masaa 20 kwa 3g.

Kama una hio hela nunua hii tablet ni nzuri price/perfomance ratio
 
ukimpata mtu anaishi UK bei yake ni £ 158 sawa na TSh. 386,055.62 tu, tena Ni Galaxy Tab 2 ambayo ni mpya yake ina run Android 4.0 Ice Cream Sandwich na unaweza ku-update kwenda Jelly Bean 4.1
 
mkuu mpya yake lakini jua haya.

1) haina processor ya exynos inatumia ti omap ya 1ghz dualcore wakati ya hapo juu inatumia exynos 1.2 ghz dual core. So hii nlotaja ina power zaidi.

2) akinunua tz kuna warrant atapata tofauti na uk

3) bei ulotaja ni ya amazon uk ambayo ni online price hapo unatakiwa uongeze cost ya kuship na kodi maana hazipo hapo

4)nilioitaja mimi inaingia memory card hadi 64gb wakati hii yako ni 32gb

5)ya kwako haina infrared na kuifanya imiss feature mpya hii ya samsung universal remote

6)mwisho kabisa na cha muhimu zaidi hii nloitaja ina gpu ya mali-400mp ambayo ni moja kati ya powerfull gpu za android wakati mkuu yako uloitaja ina gpu ya PowerVR SGX540 ambayo si nzuri kama mali 400-mp so linapokuja suala la game na apps kubwa galaxy tab 7+ ni best mkuu. Japo bei kibongo bongo ni kubwa ila inadeserve
 
Pamoja na maelezo yako mazuri ya kuvutia tablet ya Honeycomb kwa 7.5 si sawa. Fanya hivi, ukiongeza 22,000 unapata tab 2 mbili! Halafu ongeza shipment cost (ambayo haifiki hata 50,000 kwa makisio) halafu uza moja kwa laki hata 5, utapata faida kubwa.

The point is laki saba na nusu ni nyingi mno!
 
mkuu si honeycomb ni upgraded hadi jely bean, so yule wa ice cream na mimi wa honey comb wote tuku upgrade tunafika same destination ya jelly bean.

Mkuu kama unaona ni rahisi hivo wala uspate shida mwambie izzo akupe hela au wewe toa yako kamnunulie then atakulipa problem solved
 
wakuu mimi nataka kujua tofauti ya samsung galaxy tab na samsung galaxy note
 
kwa nilicho observe mimi kwanza ni

ukubwa
galaxy note ndo device kubwa zaidi za samsung. Mfano galaxy note 2 ndo simu kubwa zaid ya samsung na galaxy note 10 ndio tablet kubwa zaid ya samsung. Na hata ukiangalia note 8 ni kubwa kidogo kwa galaxy tab za nchi saba. So ukiangalia note inakua inazidi kidogo galaxy tab au galaxy s series

Kutumia stylus pen.
Hizi galaxy note zinatumia kalamu kurahisisha mambo. Japo unaweza tumia kalamu kwa device nyengine za samsung lakini hizi note zipo na kalamu kutoka kwenye box.
galaxy-note-10-1.jpg

kwa ajili ya biashara.
Kama ukiangalia matangazo yao samsung utaona sana wanaipromo note kwenye biashara kuliko tab. Ukiwa na note utapata screen kubwa na kufaidika na vitu kama presentation, kutengeneza graphs , kuandika na kalamu haraka haraka........ (brakelyn anaweza paelezea vizuri hapa)

kama mengine wadau wataongeza
 
poa mkuu thanks,ila bado not satisfied i need more differnces ambazo zitaturahisishia users tuchague device ipi kwa matumizi yapi?
 
mkuu kwa samsung utakesha maana wenyewe hawajielewi wana jumla ya simu na tablet 858.

Kwa simu 858 unakuta zinatofautiana kidogo sana kukuta simu specific kabisa inakua ngumu mkuu.

Au labda ungesema ni galaxy note ipi atleast mtu anaweza kutoa tofauti
 
mkuu si honeycomb ni upgraded hadi jely bean, so yule wa ice cream na mimi wa honey comb wote tuku upgrade tunafika same destination ya jelly bean.

Mkuu kama unaona ni rahisi hivo wala uspate shida mwambie izzo akupe hela au wewe toa yako kamnunulie then atakulipa problem solved
Hakuna official Upgrade ya Jelly ya old Galaxy Tab 7, hata ukienda XDA-Dev Tab 7 haipo, custom Android sasa labda utengeneze mwenyewe! Na hata ukiweka Jelly Bean the point is laki 7.5 kwa katableti haka sio feasible price. Galaxy Tab 2 10.1 ni TSh. 632,361.81.
 
Back
Top Bottom