samsung

samsung

wote Millah na chief-mkwawa mna point, millah kaangalia zaidi bei wakati mkwawa kaangalia features;

kwa mtazamo wangu; huyu jamaa alieuliza swali sidhani kama anahitaji features kali maana hata hajui ni galaxy note au tab,

ila kwa wazo la millah, kununua u.k. iyo ishu ingine, labda upate mtu ambae atakununulia, maana kununua online ishu mambo ya credit card etc. pia ukiangalia tofauti ni kubwa sana kama utanunua hapa na u.k!

mwisho wa siku muuliza swali ndo mwenye jibu, kama ana mpunga atanunua hapa. pia kamma ana anaemfahamu u.k aweza mnunulia au sio wadau
 
Last edited by a moderator:

kuna kitu hapa nadhani mkuu Millah alikua akihusishi, suala la kununua nje ni kitu kingine and I can tell most of us tunawoga sana wakununua bidhaa online, kuna jamaa yangu anataka kununua nexus 4 but suala la kununua online ndio tatizo as jamaa hana permanent adress and all of the online shopping stuffs anaziogopa kama nini mpaka imefikia asubiri kibongo bongo zishuke bei
 
Nadhani kama huwezi kununua direct, urahisi ni kuagiza kama una mtu madhubuti unayemjua UK, kuna maelfu ya Watanzania wanaishi na kwenda UK kila siku, kama huna unayemjua aliye UK, basi tafuta mtu anayefanya kazi Airport au kwenye Airline wao wana watu wengi tu.

Ndugu yetu C6 amezungumzia specs, hata ukitaka tablet ya 7" yenye specs za hali ya juu basi ni afadhali ununue Nexus 7, unapata cleaner version ya Android (Stock Android Jelly Bean 2.2.1), una uhakika wa upgrade (siku hizi samsung wana upumbavu wa ku-upgrade device mara mbili halafu basi ikitoka android nyingine wana uchuna tu)

Ina Quad Core processor 1.2 Ghz in short ni moja kati ya 7" tablet za hali ya juu, na bei ni karibu na nusu ya hiyo Galaxy tab 1 iliyotolewa, yaani 389,383.45. Kwa kifupi ukipata link ya kununua vitu kama hivi moja kwa moja utoka nje basi unapata unafuu mkubwa wa bei na utaweza kupata latest version badala ya kununua Galaxy Tab 7 ambayo ni ya mwaka juzi tena kwa bei mara mbili ya mpya yake.

Sababu kubwa ya Samsung kutoongeza specs kwenye new version ni kwamba baada ya butter project na kutoka wa Android ICS, kumekuwepo na tofauti kubwa ya kasi, pamoja na specs bora kiasi za Tab 1, Tab 2 bado ni tablet bora kwa speed na performance mbali mbali, unless uweze kui-update Tab 1 kwenda Jelly Bean.
 
Back
Top Bottom