Certified Hater
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 2,031
- 4,441
Unapigwa aisee
Lazima atoke ndukiUzoefu ni mmoja tu,
Mwambie akuelekeze huko Zanzibar mahali Duka liliko uifuate wewe mwenyewe,
Atakavyokujibu ulete mrejesho hapa
Hivi watu uwa hamna kipawa cha kutofautisha mataperi na wasio mataperi? Haihitaji kufikiria mara mbili kuwa hao ni mataperi hata amazon au ebay hupati kwa bei hiyo ni afhadhali awe mtu ana shida anauza kuliko ukutane na mtu anadai anazo nyingiHabari wakuu...? Katika kupita pita instagram, nimekutana na jamaa wapo zanzibar... wanauza samsung tv curved 55" kwa laki 6 na usafir elf 30... jumla 630k.
Nipo najifikiria kuichukua... lakin kwa hyo bei nahisi kuna dalili za kupigwa...
Naomba tupeane uzoefu katika hili...
Nenda physically.Kama una mtu Zenji mtume aende dukani moja kwa mojaHabari wakuu...? Katika kupita pita instagram, nimekutana na jamaa wapo zanzibar... wanauza samsung tv curved 55" kwa laki 6 na usafir elf 30... jumla 630k.
Nipo najifikiria kuichukua... lakin kwa hyo bei nahisi kuna dalili za kupigwa...
Naomba tupeane uzoefu katika hili...
Yaan usisubut ni wez wakubwa yaan usijarib ukitaka kushuhudia waambie nafunga safar nakuja kuchukua mwenyewe na ofisin zenu ziko wap uone watakavyokuchengaHabari wakuu...? Katika kupita pita instagram, nimekutana na jamaa wapo zanzibar... wanauza samsung tv curved 55" kwa laki 6 na usafir elf 30... jumla 630k.
Nipo najifikiria kuichukua... lakin kwa hyo bei nahisi kuna dalili za kupigwa...
Naomba tupeane uzoefu katika hili...