Samsung smart tv curved 55 kwa Tsh. 630,000/-

Bonobo

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2017
Posts
364
Reaction score
672
Habari wakuu...? Katika kupita pita instagram, nimekutana na jamaa wapo zanzibar... wanauza samsung tv curved 55" kwa laki 6 na usafir elf 30... jumla 630k.
Nipo najifikiria kuichukua... lakin kwa hyo bei nahisi kuna dalili za kupigwa...

Naomba tupeane uzoefu katika hili...
 
Fafanunua kwanini unahisi kuna kupigwa? Funguka usaidie na wengine au upate ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maswali yanakuwa mengi kwasababu.... TV hyo hyo... huku bara sio chin ya 2M... sasa huyo jamaa anauzaje kwa 600k? Na kama ndo anavyouza... kwanin watu huwa hawakimbilii huko?
 
ni kweli tatizo lipo,hasa pale unapoamini kisa umesikia ni zanzibar.
 
Habari wakuu...? Katika kupita pita instagram, nimekutana na jamaa wapo zanzibar... wanauza samsung tv curved 55" kwa laki 6 na usafir elf 30... jumla 630k.
Nipo najifikiria kuichukua... lakin kwa hyo bei nahisi kuna dalili za kupigwa...

Naomba tupeane uzoefu katika hili...
Uzoefu ni mmoja tu,
Mwambie akuelekeze huko Zanzibar mahali Duka liliko uifuate wewe mwenyewe,
Atakavyokujibu ulete mrejesho hapa
 
Habari wakuu...? Katika kupita pita instagram, nimekutana na jamaa wapo zanzibar... wanauza samsung tv curved 55" kwa laki 6 na usafir elf 30... jumla 630k.
Nipo najifikiria kuichukua... lakin kwa hyo bei nahisi kuna dalili za kupigwa...

Naomba tupeane uzoefu katika hili...
Yani hapo unapigwa tena kibao cha simba yani kaa mbali
 
Habari wakuu...? Katika kupita pita instagram, nimekutana na jamaa wapo zanzibar... wanauza samsung tv curved 55" kwa laki 6 na usafir elf 30... jumla 630k.
Nipo najifikiria kuichukua... lakin kwa hyo bei nahisi kuna dalili za kupigwa...

Naomba tupeane uzoefu katika hili...
Hio TV ushuru wake tu TRA unazidi laki moja kama haujawahi kutapeliwa nunua hio TV
 
Habari wakuu...? Katika kupita pita instagram, nimekutana na jamaa wapo zanzibar... wanauza samsung tv curved 55" kwa laki 6 na usafir elf 30... jumla 630k.
Nipo najifikiria kuichukua... lakin kwa hyo bei nahisi kuna dalili za kupigwa...

Naomba tupeane uzoefu katika hili...
Acha niandike Kwa herufi kubwa uelewe.
ACHA USITHUBUTU UTAUMIA .
Binafsi nipo Zanzibar naona wanavyowaumiza watu Kwa kuwawekea chambo kiasi hicho kidogo cha pesa...
Mimi nafanya Sana biashara za mtandaoni nawauzia Sana watu vitu kutoka huku.
Tatizo njia nayotumia na wanayotumia wao ndio tofauti..
Kwa mfano hawapo tayari kukuletea TV mpaka Dar uikague ndipo ununue...wenyewe wanataka pesa upfront either nusu au yote Kwanza ndipo wakutumie mzigo ambapo kiukweli hapo ndipo kilio huanzia... anyway yapo mengi..nakupa mbinu, fanya hivi

1 Mwambie akutumie mzigo mpaka Dar lakini mpokeaji awe ni mtu wake yeye.

2 Nenda kaikague kama ndio uitakayo kisha lipia pesa mlivyokubaliana,
Angalizo.
Usitume wala kutoa pesa yoyote kabla ya TV kuiona huko uliko..akisema anataka pesa ya kutumia ili ifike, mwambie atumie yake Ila risiti akuoneshe pamoja na TV kisha utajumlisha kwenye malipo..ukifanya hivyo akakubali basi hapo kuna dalili za biashara, kinyume na hapo...
PARAPANDA ITALIA.
nishajisafisha na aftermath.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom