Bigteacher
JF-Expert Member
- Jan 31, 2014
- 458
- 192
Ahaaa sasa mkuu naweza kujuaje kama sim ina warrant au la?ukweli ni kwamba warranty haitolewi na mwenye duka, bali hutolewa na mtengeneza simu, kwa case hio ni samsung, simu yako inapoharibika ukiirudisha ulipoinunua ataipeleka samsung au akuelekeze uipeleke.
hivyo samsung wenyewe kuna simu hawataki zije huku kwetu, zinakuwa ni kwa ajili ya masoko fulani tu, lakini wafanya biashara wanazileta tu kwa njia zao wanaojua wao hivyo zikija zinakuwa hazina warranty, na kama ikiharibika ni juu yako, samsung hawatahusika.