Samsung Grand Prime Plus+ Inafaa

Samsung Grand Prime Plus+ Inafaa

imeshatoka mkuu tayari, ukicheck update haiji?
99f30af9b5b6eca702fe34f368dd053a.jpg

Mkuu hainiletei bado sijui kwanini
 
jaribu kucheki na kies na pc

Mkuu Habari! Naomba msaada kwa hili nina internal Hdd yangu nimenunulia case yake ili iwe kama external ila inawaka tu kalae kataa kwenye external na ina detect alafu inakata mawasiliano kuna mkuu akanifahamisha hiyo Hdd yako ina Window hivo Pc haiwezi soma window mbili inabidi iwe formated then itapiga kazi kama external je hii kitu ni sababu yenye mashiko? Na je njia zipi nifanye ili ni format ili hii window itoke maana nimepitia google na youtube kwakweli maelezo nimeona hayaridhishi.ahsanteh
 
tafuta tu kifaa kisicho na windows, inaweza kua computer yenye linux distro yoyote, au simu yenye android (otg), simu ya symbian etc.
 
Mpaka niwe na niiveshe case au pasipo ndo naweza yafanya mkuu ikisoma ntafata option zipi? Na je kwa simu ya tecno w5 itakubali?
 
unaivisha case inakuwa kama external halafu unatumia ule waya wa otg kama ni simu na usb ya kawaida kama ni laptop.

tecno nyingi hazina otg, ile test inaweza kuwa nayo.
 
Asanteh mkuu! Ila hivi tatizo ni lipi maana kila site nikipakua game ya brothers in army mod nikistall inagoma inasema app not installed ila nikipakua ambayo siyo moded or cracked inakubali vizuri na simu yangu ina run android six tatizo ni nini hapo na haipo rooted?
 
Back
Top Bottom