Elvicepride
JF-Expert Member
- Apr 8, 2013
- 243
- 65
- Thread starter
- #121
Je Samsung Galaxy J3 inayotoka March 2017 unanishauri niisubiri?
yap ni nzuri mkuu, snapdragon 430 ni soc nzuri kushinda sd615 ya galaxy j7 inayopatikana bongo. ila kama unaweza ku afford simu ya snapdragon 625 ni vizuri zaidiJe Samsung Galaxy J3 inayotoka March 2017 unanishauri niisubiri?
yap ni nzuri mkuu, snapdragon 430 ni soc nzuri kushinda sd615 ya galaxy j7 inayopatikana bongo. ila kama unaweza ku afford simu ya snapdragon 625 ni vizuri zaidi
Mkuu hebu nishsuri hii niichukue?yap ni nzuri mkuu, snapdragon 430 ni soc nzuri kushinda sd615 ya galaxy j7 inayopatikana bongo. ila kama unaweza ku afford simu ya snapdragon 625 ni vizuri zaidi
kwa bei gani mkuu maana hizo ni core 4 za cortex a53 za 1ghz, na mali 720 ni cpu na gpu dhaifu sana halafu ni mediatek. ina make sense kama ni chini ya laki 2Mkuu hebu nishsuri hii niichukue? View attachment 472592View attachment 472593
Mkuu icheki HDC space s7 edge, nataka kuhonga hii bidhaakwa bei gani mkuu maana hizo ni core 4 za cortex a53 za 1ghz, na mali 720 ni cpu na gpu dhaifu sana halafu ni mediatek. ina make sense kama ni chini ya laki 2
mkuu honga tu, hakuna simu hapo, naona hata hio mt6580 ni cortex a7 ambazo ni za zamani sana.
Mkuu icheki HDC space s7 edge, nataka kuhonga hii bidhaa
![]()
HDC Space S7 Edge Pro Specifications:
Color Black, White, Gold, Silver
Size 150.9x72.6x8.4mm
Weight 163g
Screen Size: 5.5inches Curved
Type: IPS
Resolution: 1280*720(HD)
Processor MTK6580 Quad-Core
System Android 6.0 MarshMallow
Storage 2GB Ram + 4GB/ 8GB Rom(System shows 4GB Ram + 128GB Storage)
TF Card: Expandable up to 64GB
Internet 2G: ESM850MHZ GSM900MHZ DCS1800MHZ PCS1900MHZ
3G: WCDMA (B1/B2/B5/B8)
4G: Fake
GPS Yes
Data Connections USB: 2.0
Bluetooth: 4.1
Sensor G-sensor, L-sensor, D-sensor
Cameras Main Camera: 12.6-megapixel
Front Camera: 5.0-megapixel
Battery 2100mAh
Other SIM Card Type: Dual Nano Simcard or 1 * Nano Simcard + 1 * TF Card
Package PHONE
Micro USB cable
Charger
Earphones
Documentation
Iko vizuriHiyo Samsung grand prime plus ya mwaka huu inafaa na ni ya wastani inaweza kuhandle kila kitu vizuri
Mkuu hizi zinauzwa dola 150 kama ulivosema hapo juu? na unaweza ntumia link inauzwa soko gani?![]()
specification hizi hapa
Xiaomi Redmi Note 3 - Full phone specifications
specs zinazoifanya iwe ni simu ya kipekee ni
-battery kubwa 4050mah
-ina core mbili za cortex a72
Mim walinitumia Mkuu..uzuri nmelipa after delivery.
Mkuu h
Mkuu hizi zinauzwa dola 150 kama ulivosema hapo juu? na unaweza ntumia link inauzwa soko gani?
Na je utofauti ni upi kati ya xiaomi redmi note 3 pro na xiaomi redmi note 3 na ipi ni nzuri? Ahsanteh
kwa bei gani? angalia kama unapata j5 kwa bei hioMkuu mkwawa hebu nishaur galxy j3 ya 2016 nataka niichukue
250k full boxkwa bei gani? angalia kama unapata j5 kwa bei hio
sio mbaya kwa bei hio mkuu, maana utasave kama laki compare na j5.
Vp spec zake ziko poasio mbaya kwa bei hio mkuu, maana utasave kama laki compare na j5.
kwa bei hio zipo poa kasoro tu hio soc yake ndio ni dhaifu