Samsung Grand Prime Plus+ Inafaa

Samsung Grand Prime Plus+ Inafaa

Asanteh mkuu! Ila hivi tatizo ni lipi maana kila site nikipakua game ya brothers in army mod nikistall inagoma inasema app not installed ila nikipakua ambayo siyo moded or cracked inakubali vizuri na simu yangu ina run android six tatizo ni nini hapo na haipo rooted?
labda unadownload moded ambayo ni version ya zamani wakati ndani ya simu tayari una version mpya
 
Sina moded yeyote na hili game sina kwa sasa na moded ambayo naipakua ni hii latest 1.4.4c kitu kama hiki maana moded ya 1.4.5f haijatoka bado ila linazingua na kila site nayo kwenda sifanikishi hili ila nikipakua lisilo moded fasta tu linakubali kuwa installed hapo ndipo nashindwa fahamu shida ni ipi na ni kwa game hili tu games nyingine zinakubali vizuri moded
 
site nyengine mkuu pia haziaminiki

revdl wanaaminika, hio latest wanayo mod hii hapa

Brothers in Arms 3 1.4.5f Apk + MOD + data Android
 
Comming soon haijatoka bado
Screenshot_20171210-163600.png
 
Wameitoa hiyo version katika hiyo website nimeitafuta mpaka basi na hiyo latest bado kama ina some errors unapo install inakwambia parsing error
kitu chengine, sometime unapodownload apk na kuinstall inaweza kupa error ukiifungua pale pale, ila ukiopen file manager na kulocate lile file lilipo na kuifungua ndani ya file manager linakubali.
 
Njia zote nishafanya mkuu mpaka sasa bora lingekuwa linasema error ila linafanya kabisa installing process ila likimaliza linakwambia app not installed
 
Back
Top Bottom