Samsung Grand Prime Plus+ Inafaa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
22,754
2,000
Kwahiyo smartphone kama hii inakuwa nzuri kwa mambo yapi?
mambo madogo tu mkuu, ram yake ni kubwa na cpu yake ni average ila gpu ni ndogo na sababu ni mediatek kuna vitu kama virusi, jiandae. nimeiona madukani 250,000 bei sio mbaya compare na competition zinazopatikana madukani.

ila kama una uwezo ni bora utafute simu za xiaomi mkuu, redmi 3 au redmi 4a ina specs za maana kushinda hadi simu za laki 5 au 4 za samsung na wengine wanaopatikana Tanzania. na bei zake zote ni chini ya dola 100. zipo kenya tu hapo official kama una uwezo jitahidi kutafuta hizo.
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
22,754
2,000
Mediatek??hiyo si majanga mkuu?
yap ni majanga, simu ya mediatek nunua ikiwa inakupa perfomance kubwa kuliko competition, mfano kuna simu za mediatek helio x20 chini ya laki 4 hilo ni deal nzuri lakini hawa kina samsung, Tecno, Htc, huawei, Lg etc sio tu kwamba wanaeka mediatek, wanaeka mediatek zile ndogo kabisa ambazo hata perfomance nzuri ya kila siku hutaipata
 
KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
17,759
2,000
mambo madogo tu mkuu, ram yake ni kubwa na cpu yake ni average ila gpu ni ndogo na sababu ni mediatek kuna vitu kama virusi, jiandae. nimeiona madukani 250,000 bei sio mbaya compare na competition zinazopatikana madukani.

ila kama una uwezo ni bora utafute simu za xiaomi mkuu, redmi 3 au redmi 4a ina specs za maana kushinda hadi simu za laki 5 au 4 za samsung na wengine wanaopatikana Tanzania. na bei zake zote ni chini ya dola 100. zipo kenya tu hapo official kama una uwezo jitahidi kutafuta hizo.
Mkuu vipi hizo ulizozitaja ukizilinganisha na Tecno Phantom 6 plus. Ipi ya kununua kiubora na thamani ya hela?
 
KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
17,759
2,000
overall phantom 6 ni nzuri kushinda hizo ila ukipanda juu kidogo tu toka dola 100 hadi 150 unakutana na xiaomi redmi note 3 ambayo ni nzuri kushinda Tecno yoyote ile iliopata kutengenezwa.
Afu mkuu hizo bei mbona nikitafuta kupatana nakutana na laki 7 na kuendelea wakati we unaweka chini ya laki 7?
Vp nikimuagiza mtu S.Africa naweza pata kwa bei nafuu kuliko Kenya?
 
Ta Kamugisha

JF-Expert Member
May 17, 2011
3,428
2,000
overall phantom 6 ni nzuri kushinda hizo ila ukipanda juu kidogo tu toka dola 100 hadi 150 unakutana na xiaomi redmi note 3 ambayo ni nzuri kushinda Tecno yoyote ile iliopata kutengenezwa.
Mkuu kama hutamind naomba picha na specification za Xiami redmi note 3
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
22,754
2,000
Chief, shukran sana kwa elimu utupayo mara kwa mara kuhusiana na hizi simu. Kama hautajali vipi ubora na "value for money" ya Samsung s7 edge?
kwa specification s7 edge ndio best phone kwa sasa sokoni, japo muda si mrefu itatoka s8 kama miezi mitatu hivi bado.

ila sio value for money, bei yake ni kubwa sana, kama flagship nyengine nyingi.

simu highend nzuri ambazo ni value for money ni xiaomi mi 5 na oneplus 3T

lakini ukumbuke hizo value for money kuna vitu unavikosa kama vile
-camera nzuri compare na samsung
-support na warranty nzuri pindi simu inapoharibika
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom