mambo madogo tu mkuu, ram yake ni kubwa na cpu yake ni average ila gpu ni ndogo na sababu ni mediatek kuna vitu kama virusi, jiandae. nimeiona madukani 250,000 bei sio mbaya compare na competition zinazopatikana madukani.
ila kama una uwezo ni bora utafute simu za xiaomi mkuu, redmi 3 au redmi 4a ina specs za maana kushinda hadi simu za laki 5 au 4 za samsung na wengine wanaopatikana Tanzania. na bei zake zote ni chini ya dola 100. zipo kenya tu hapo official kama una uwezo jitahidi kutafuta hizo.