Samsung Grand Prime Plus+ Inafaa

Samsung Grand Prime Plus+ Inafaa

Na nyanja nyingine vipi mkuu
kwengine ni kawaida mkuu kwa hio bei, simu nyingi zina specs kama hizo
-core 8 za cortex a53
-adreno 405
-kioo cha full Hd
-ram 2gb
-4g lte etc

hizo specs zinatosha kwa matumizi yote ya kawaida na ndio kama standard kwa simu za kati Za mwaka jana
 
Hivi Samsung Grand Prime Plus+ itapata Nougat Update kuna Chalii hapa kazini kainunua tayari?
 
1. ni simu ya bei rahisi huwa kikawaida hazipati updates
2. ni simu ya mediatek hizi pia si rafiki wa updates.

Duh! hadi custom ROM tu sasa ndio ikubali ila itapatikana maana Samsung ni very popular company kwenye smartphone zao huwa mod nyingi mtandaoni na kwa haraka
 
custom rom na mediatek ni jangwa na mito ni nadra sana kuzikuta, tatizo ni mediatek wenyewe hawatoi source code za soc zao
 
Na x4 Quad Core Processor na x8 Quad Core Processor inautifauti gani na ubora wake ni upi?
 
quad core inamaanisha hio processor ina core nne. hizo x4 na x8 umeziona wapi?

Hamna bhana kuna sim hapa inasoma CPU core count 8 au kuna utofauti ukisema x8?!!
na zina ubora gani ukikuta inasoma core 4 au 8?
 
mkuu huo ni wingi tu wa core, hauna maana hadi ujue nguvu ya core 1.

mfano cpu inaweza kuwa na core 8 lakini zote ndogo na cpu nyengine ikawa na core 4 lakini zote kubwa mwisho wa siku yenye core 4 kubwa ikawa na nguvu zaidi.

kama zitakuwa core zote zipo sawa basi yenye core 8 itakuwa na nguvu zaidi na uwezo wa kufungua mambo mengi kwa mpigo kuliko core 4.

na core 8 inaitwa octa core na sio quad core, core nne ndio quad core.

angalia kwenye hizo core hakuna maneno yamendikwa cortex a53, a72, etc? kama yapo yaandike hapa nitajua nguvu zake
 
Nimekuelewa na Hii grand prime plus+ ni ngumu kuroot nimejaribu apps lakini inagoma una suggestions?
 
Back
Top Bottom