nimezicheki hapa jumia hizo bei ni meh!
simu ya dola 74 hadi 99 inauzwa laki 4, redmi note 3 imefika laki 5 na nusu, redmi 4 (ambayo sio note ) inauzwa laki 6, hizo bei nafunga safari naenda kenya nanunua narudi nakaa hoteli ya chumba 100,000 nakula vizuri na change inabaki.
almost amezidouble kila eneo.
tunarecomend xiaomi sababu bei zao ni ndogo ila bei ikiwa hivyo inakuwa haina maana, mfano kama redmi 4 inauzwa hio 590,000 si bora tu ninunue galaxy s6, why nitoe hela yote hio kununua mchina ambae ana specs ndogo kwa bei?