Samsung Grand Prime Plus+ Inafaa

Samsung Grand Prime Plus+ Inafaa

inafanya almost kila kitu unachotaka kufanya kwenye simu ila ni simu ya mauzo kama hujui kutunza kaa mbali nayo. bei around 600,000 hadi 800,000 hivi
kweli baba hii simu ya kutunzwa sn yn km yai...me ninayo yn mpk najuta kuinunua kw maana inanilazimu kua muangalifu zaidi...ata games nahofia kuweka naona km naiumiza
 
xiaomi-redmi-note-3-phone-14.jpg

specification hizi hapa
Xiaomi Redmi Note 3 - Full phone specifications

specs zinazoifanya iwe ni simu ya kipekee ni
-battery kubwa 4050mah
-ina core mbili za cortex a72
Ni bei gani hii simu na kwa hapa dar es salaam tanzania naipatia wapi?? Maana hizi simu niliwaona wahindi wa officn wote wanazo
 
sio mbaya ila awe makini tu na virusi, asidownload vitu nje ya playstore na asieke apps asizozijua
Na Ataweza Kutumia Memory Card kama Internal Memory maana 8GB Rom internal Memory inauma ilivyo ndogo maana ni android 6 naskia ina hicho kipengele?
 
official hataweza ila zipo njia nyengine kama kutumia adb ili kuipata hio feature
Nimejifunza Hiyo Adb Google nimeelewa inahusisha Command ya computer ila sio risky maana naona inahitaji uwe hata na class ten ya memory card.
 
sio class 10 tu inahitaji memory yenye speed sana. sababu write speed na read speed hata zikiwa kubwa kama random read/write ni ndogo memory card itafanya simu iwe slow.
 
ideal memory card ni kama samsung evo+ series inafaa kwa speed yake, japo haijafika internal memory level ila inajitahidi. sema bei ndio mkasi kwenye 50,000 kupanda juu
 
sio class 10 tu inahitaji memory yenye speed sana. sababu write speed na read speed hata zikiwa kubwa kama random read/write ni ndogo memory card itafanya simu iwe slow.

Nimekuelewa, kingine hivi unaweza ukanipa link ya website inayouza unlock codes za network za sim inayoaminika na ni cheap?
 
mambo madogo tu mkuu, ram yake ni kubwa na cpu yake ni average ila gpu ni ndogo na sababu ni mediatek kuna vitu kama virusi, jiandae. nimeiona madukani 250,000 bei sio mbaya compare na competition zinazopatikana madukani.

ila kama una uwezo ni bora utafute simu za xiaomi mkuu, redmi 3 au redmi 4a ina specs za maana kushinda hadi simu za laki 5 au 4 za samsung na wengine wanaopatikana Tanzania. na bei zake zote ni chini ya dola 100. zipo kenya tu hapo official kama una uwezo jitahidi kutafuta hizo.
250k?, duka gani nkadake fasta, kuna darueshi kapigwa 350k
 
aggrey nimeziona hakikisha tu ni international version kwa kuregister imei yake samsung.

duka lenyewe kama unatoka uhuru na msimbazi unaelekea likoma pita jengo la kwanza na la pili utaona kiduka kimoja kidogo sana hata watu wawili hawakai ndani kata kulia uchochoro unaofuatia upande wa kushoto angalia huku unatembea utaziona.
 
Nalipata hilo duka mkuu, ntalishukia.
 
yap ni majanga, simu ya mediatek nunua ikiwa inakupa perfomance kubwa kuliko competition, mfano kuna simu za mediatek helio x20 chini ya laki 4 hilo ni deal nzuri lakini hawa kina samsung, Tecno, Htc, huawei, Lg etc sio tu kwamba wanaeka mediatek, wanaeka mediatek zile ndogo kabisa ambazo hata perfomance nzuri ya kila siku hutaipata
Mkuu mkwawa hebu nitoe usingizini nawaza kununua Hisense king kong. 2 au honor x6. Napenda ku watch sports, kusoma na ni fun wa YouTube. Mostly nafanya tethering kwa PC na wakati mwingine na download kwa phone.
 
mambo madogo tu mkuu, ram yake ni kubwa na cpu yake ni average ila gpu ni ndogo na sababu ni mediatek kuna vitu kama virusi, jiandae. nimeiona madukani 250,000 bei sio mbaya compare na competition zinazopatikana madukani.

ila kama una uwezo ni bora utafute simu za xiaomi mkuu, redmi 3 au redmi 4a ina specs za maana kushinda hadi simu za laki 5 au 4 za samsung na wengine wanaopatikana Tanzania. na bei zake zote ni chini ya dola 100. zipo kenya tu hapo official kama una uwezo jitahidi kutafuta hizo.

Mkuu hizo xiaomi we ndo wakala wao huku jf nn badala ya kuwakimbia nokia,naona kila mtaka simu lazima umshauri anunue xiaomi,hebu declare your interest kwanza mkuu
 
mkuu una hoja kwamba hio simu nilioitaja haifai? kama unayo toa, huwa sishauri mtu kitu kwa mapenzi binafsi.
 
Mkuu mkwawa hebu nitoe usingizini nawaza kununua Hisense king kong. 2 au honor x6. Napenda ku watch sports, kusoma na ni fun wa YouTube. Mostly nafanya tethering kwa PC na wakati mwingine na download kwa phone.
umemaanisha honor 6x? hio honor ni nzuri zaidi ya hio hisense karibia kila idara
 
Back
Top Bottom