Samsung Galaxy s6 vs iPhone 6

Samsung Galaxy s6 vs iPhone 6

Mkuu you want stories but am not a story teller...

Mwenye akili timamu ni yule atakae compare Tetea na Jogoo lakini sio Jogoo na Bata...
Samsung anafanya innovation ya Hardware na Iphone anafanya ya Hardware pamoja na software, kwahiyo unapoliingiza suala la os security kwa samsung hapo unamwingiza na google kwasabu ndiye mwenye OS kama huelewi hili nadhani utaendelea kubisha.

Mpaka tunamlinganisha samsung na iPhone leo hii tumeangalia device za samsung zinavyo hit, leo samsung akisema a base kwenye Tizen OS itamfanya a drop kidogo kwasabu ana hit na android... Na mpaka katengeneza Tizen mana yake yupo kwenye njia yakumwacha Android nae a base ktk OS yake.
Haya Tizen nayo inatumia Linux kwasabu ni Open source, kafanya hivi kwasabu wengi wanapenda customization.

Niliingizia bb kwasabu naona we mwenyewe unatoka nnje ya mada unaanza kuzungumzia OS badala ya hardware, kama kawaida yako ukipaisha iPhone kua ina best security akati zipo Blackberry, hebu tufananishe hardware kwanza suala la OS tutaeka kwenye thread ya android vs iOS

Apps android itaendelea kukimbiza.. Unasema apps nyingi za Android ni useless au useless kwako ?
application kama hauzitumii usiseme ni useless nikikupa "iObit" unaeza sema ni useless kwasabu may be hujui kazi yake, application za android zingekua hazina maana google wangezitoa kama walivyofanya PTB

Huu apa mfano iOS alipomcopy android.

apple-reduced-the-ios-lock-screen-to-a-large-digital-clock-the-date-and-a-slide-to-unlock-area-at-the-bottom-just-like-androids.jpg

Narudia tena usifanye comparison ya iOS na Samsung, fanya kati ya Iphone na Samsung.

Mbona sijaona copy yeyote hapo? Simu karibu ya zote zina saa kubwa kama hizo hapo.

Apple kaweka kati kati juu

Android kaweka juu pembeni kulia

Windows phone anaweka pembeni chini kushoto au wakati mwingine inakuwa inazungua kama animation
 
On the issue of sales apple ataonekana kuhit than samsung kwasabu yuko peke yake..
Angalia on the issue of android there's many Brands. Sony, motorola, LG, HTC n.k who compete even with Samsung with their higher end devices.

Weka sales za flagships za mwaka jana
 
On the issue of sales apple ataonekana kuhit than samsung kwasabu yuko peke yake..
Angalia on the issue of android there's many Brands. Sony, motorola, LG, HTC n.k who compete even with Samsung with their higher end devices.

Hata kwa Samsung vs Iphone peke yake, Samsung kwa mwaka mzima wa 2014 na hata 2013 ndo aliongoza kwa mauzo. Iphone aliongoza quarter ya 4 peke yake baada ya kutoa iphone 6
 
Unalinganisha flagship na mkusanyiko wa simu? Ukitaka tuwe fair tuweke mauzo ya flagships tu. Iphone 6 na galaxy S5 tu. Naomba uniletee majibu.

Au unaweza kuweka apple iphone 6 na 6+. Samsung weka galaxy S5 na galaxy note 3. Hizo ndo flagships za mwaka jana.

Kila mtu ana strategy yake katika utengenezaji na mauzo ndio maana samsung anatengeneza brands nyingi na hatii nguvu moja kwenye brand moja. Kwa mfano s5 na s6 unaona hatazijapishana sana lakini wakati huo huo note 3 na note 4 pia hazijapishana. Lakini pia flagship hizi za apple na samsung zimetoka kwa vipindi tofauti na hata interval kati ya kutoa model moja na nyingine ni tofauti. Kama wote wangekuwa wanatoa model zao kwa wakati mmoja tungeweza kulinganisha flagship 1 na nyingine. Ishu ilikuwa samsung vs iphone, na hizo ndio data.
 
Mbona sijaona copy yeyote hapo? Simu karibu ya zote zina saa kubwa kama hizo hapo.

Apple kaweka kati kati juu

Android kaweka juu pembeni kulia

Windows phone anaweka pembeni chini kushoto au wakati mwingine inakuwa inazungua kama animation

Mkuu ni sahihi kuto iona kwasabu sisi watanzania ni wabishi sana.
Angalia Lockscreen iliyokua kwenye iOS 6 na alivyoibadilisha kwenye iOS 7 ambayo ikafanana na android hapa chini.

ios_7_6_lock_screen.jpg

Hapa ndo inavyoonekana kama android

Screen-Shot-2013-06-11-at-17.29.02.jpg
 
Samsung ana drop

kupanda na kushuka sokoni ni kawaida tu, inategemea unalinganisha vitu kwa wakati gani, kwa siku, kwa mwezi, kwa mwaka. Ukifanya comparison ya mwaka italeta matokeo tofauti na comparison ya siku, wiki, mwezi au robo mwaka. Kwa robo ya mwisho wa mwaka 2014, iphone aliongoza kwa sababu ya kuzinduliwa iphone 6 na 6plus. Tegemea sana, ingawa si lazima, mauzo ya samsung kupanda kuanzia april kwa sababu ya galaxy s6
 
Habari yenu wadau, natumai weekend imeenda vyema. Haya leo Samsung wamezindua their latest flagship codenamed Samsung Galaxy s6.

Kumetokea vita ya maneno kati ya android/Samsung fan vs iPhone fan boys kuhusu Samsung kuonekana kukokopi design ya iPhone sasa nikaona nilete mada kwenye jukwaa
attachment.php

kwani umezitengeneza wewe mkuu?
 
Itawaghalimu sana kwenye non removable battery na memory card slot....

Baaadhi hawaipendi iphone kwasababu kama hizo, still they have long way to go with their S6 apart from Iphone 6 copycat, the new design which they had been reinvent will going to whack even over their own Galaxy S5..

Appart from external appearance copying, also i can happen to say that this divice is iphone S6..

Let us see....

Sijui kusoma Kiingereza Vizuri, samahani unaweza kunitafsiria? samahani lakini ndugu.
 
Mbona sijaona copy yeyote hapo? Simu karibu ya zote zina saa kubwa kama hizo hapo.

Apple kaweka kati kati juu

Android kaweka juu pembeni kulia

Windows phone anaweka pembeni chini kushoto au wakati mwingine inakuwa inazungua kama animation

wote wameiga symbian/meego/maemo
 
Daah sijui ni ushamba wangu au vipi lakini binafsi sijawahi kuliona tangazo kwenye TV linalotangaza iphone or etc lakini samsung daah hiyo note 4 ukiangalia mechi za uingereza ebana matangazo mengi mpaka unaweza likariri
 
budget ya matangazo ya samsung ni 12b usd. ni kama trilion 21 hivi za kitanzania, budget yetu nayo ipo mitaa hiyo hiyo. kibiashara samsung wana advertise brand na kwa vile wana bidhaa zinakugusa kila sehemu wapo sahihi, maskini, tajiri, anaetaka fridge, tv, simu nk wote wanaguswa.

ila apple yeye bidhaa zake zinagusa jamii ndogo ya watu, inabidi afanye targeted ads kwa wale watu ambao anaona wanauwezo wa ku afford bidhaa zake. hivyo ukiona huoni matangazo ya iphone ujue huenda hurtakaa uinunue
 
Kila mtu ana strategy yake katika utengenezaji na mauzo ndio maana samsung anatengeneza brands nyingi na hatii nguvu moja kwenye brand moja. Kwa mfano s5 na s6 unaona hatazijapishana sana lakini wakati huo huo note 3 na note 4 pia hazijapishana. Lakini pia flagship hizi za apple na samsung zimetoka kwa vipindi tofauti na hata interval kati ya kutoa model moja na nyingine ni tofauti. Kama wote wangekuwa wanatoa model zao kwa wakati mmoja tungeweza kulinganisha flagship 1 na nyingine. Ishu ilikuwa samsung vs iphone, na hizo ndio data.

Naomba tulinganishe sales ya iphone 6 na 6+ vs galaxy s5 na note 3.

Hizo ndo flagships zinazotambulika

Kuweka sales nzima unakuwa hauleti ulinganifu sahihi, kwasababu mwaka jana peke yake samsung ameleta simu kibao sokoni.
 
Mkuu ni sahihi kuto iona kwasabu sisi watanzania ni wabishi sana.
Angalia Lockscreen iliyokua kwenye iOS 6 na alivyoibadilisha kwenye iOS 7 ambayo ikafanana na android hapa chini.

ios_7_6_lock_screen.jpg

Hapa ndo inavyoonekana kama android

Screen-Shot-2013-06-11-at-17.29.02.jpg

Nimekupata mkuu.
 
budget ya matangazo ya samsung ni 12b usd. ni kama trilion 21 hivi za kitanzania, budget yetu nayo ipo mitaa hiyo hiyo. kibiashara samsung wana advertise brand na kwa vile wana bidhaa zinakugusa kila sehemu wapo sahihi, maskini, tajiri, anaetaka fridge, tv, simu nk wote wanaguswa.

ila apple yeye bidhaa zake zinagusa jamii ndogo ya watu, inabidi afanye targeted ads kwa wale watu ambao anaona wanauwezo wa ku afford bidhaa zake. hivyo ukiona huoni matangazo ya iphone ujue huenda hurtakaa uinunue

Mkuu hii hoja yako haija nishawishi kabisa

Unapoenda kufanya tangazo unafanya tangazo specifically unatangaza nini,
Huwezi kutangaza in general tangazo moja ukatangaza bidhaa zako zote unayozalisha

Matangazo yanayozungumziwa hapa ni ya simu zao na haswa flagship zao

Hapa tujiulize je iphone zinaongoza kwa mauzo kwa wingi wa pesa au wingi wa units? Ili tujue kwanini huyu anaye target wateja wachache anauza zaidi kuliko anaye target wateja wengi

Kumbuka iphone hana low end phone
 
Mimi samsung siwapendi kila siku wanatoa toleo jipya. Wekeni bei ya s6 na iphone 6 plus tuone nani yuko juu
 
Back
Top Bottom