Samsung Galaxy s6 vs iPhone 6

Samsung Galaxy s6 vs iPhone 6

Mkuu hii hoja yako haija nishawishi kabisa

Unapoenda kufanya tangazo unafanya tangazo specifically unatangaza nini,
Huwezi kutangaza in general tangazo moja ukatangaza bidhaa zako zote unayozalisha

Matangazo yanayozungumziwa hapa ni ya simu zao na haswa flagship zao

mfano jamaa anasema samsung wanaeka matangazo dstv, sisi tuaangalia kwenye vibanda uchwara, wanapoeka tangazo pale wanamtarget nani? wanagapi wnauwezo wa kununua s5? why samsung anapoteza hela pale?

samsung akitangaza bidhaa anakuwa hatangazi ile bidhaa tu bali hata jina lake la samsung, anataka likae kichwani usilisahau ili hata kesho ukienda kununua tv ukikuta tv moja imeandika wjgtikjbdkqsgf na tv nyengine imeandikwa samsung ununue ile samsung.

watu wa kawaida hawapo kama sisi wanakariri tu brandname hawana muda wa specification wala nini kama huamini nenda kesho maskani kwenu waulize oneplusone na samsung galaxy pocket ipi simu kali? utaona wengi watajibu samsung sababu ndio brabd wanayoijua. samsung ana tv, mafridge, mashine za kufulia, ac, laptop, simu, redio na makorokoro mengine the more anavyotukaririsha jina lake the more hatumsahau the more tutanunua.

apple yeye hayuko kama samsung bidhaa zake chache na zinatarget watu wenye uwezo why awakaririshe maskini bidhaa zake? thats why anafanya targeted ads. mfano wa matangazo ya apple yanafanywa na mitandao ya simu, wao wanajua fulani ana hela fulani hana hivyo wanajua watangaze vipi.

ushawahi ona tangazo la iphone kwenye mazingira ya kimaskini?
 
Naomba tulinganishe sales ya iphone 6 na 6+ vs galaxy s5 na note 3.

Hizo ndo flagships zinazotambulika

Kuweka sales nzima unakuwa hauleti ulinganifu sahihi, kwasababu mwaka jana peke yake samsung ameleta simu kibao sokoni.

Labda mkuu unataka mashindano ya namba ambayo bila tafsiri yanaweza yasimaanishe unachokilenga. Nirudie tu kuwa samsung strategy yake ni kugusa makundi mbali mbali kwa kutoa brand nyingi tofauti tena ndani ya muda mfupi. Strategy ya apple ni kutoa brand 1 ya simu au 2 na si ndani ya muda mfupi. Kwa hiyo kama ni kulinganisha mauzo tulinganishe simu kwa ujumla kwa sababu samsung anategemea sana mauzo ya simu nyingine ambazo si high end. Kama unataka kulinganisha s5 na iPhone 6 hicho ni kitu kingine. Hata comparison ya sales pale juu ilichukua iPhone zote sio 6 peke yake, na ikafananishwa na samsung zote. Sioni hapo kuna tatizo gani, labda kama unataka iphome ashinde basi tunaweza kulinganisha hiyo category 1 tu.
 
IPhone hata asipotangaza watu wataziulizia tu hasa wale 'loyal customers' wa apple kama wanavyojulikana. Sababu kubwa ni kuwa kwa mwaka mzima hawatoi brand nyingine ya simu, watu lazima watakuwa excited tu kufuatilia brand mpya itakuwa na nini. Waandishi pia watakuwa wanachokonoa kujua brand nyingine itaitwaje, itakuwa na nini, ma excitement inaongezeka. Unajumlisha na ukweli kuwa washabiki wa apple ni loyal. Kwa taarifa tu hiyo nayo ni aina ya marketing tosha, wataalamu wataniaaidia jina lake. Hapo hana sababu tena ya kupoteza hela kutangazia watu ambao tayari wana taarifa za kutosha, na 'walisharogeka' na dhana kuwa wanamiliki kitu cha bei ghali au dhana ya kuwa wanamiliki kitu 'chenye hadhi'. Dhana hii ndo inayofanya washabiki wa apple waamini kuwa apple ni 'perfect'. Ukweli ni kuwa apple si perfect, ukilinganisha na brand nyingine useme ni nzuri upande upi. Mi naamini iPhone ni durable na software yake ni stable, but so is lumia. Hata camera kwa mfano, lumia camera 5 ni nzuri kuliko iPhone kwenye still photos na pengine overall ila kwenye video, image stabilization ya iphone ni noma kuliko ya Lumia. Tuwe objective kwenye kulinganisha vitu, mahaba tuweke kando.
 
Samsung ni simu za kiswahili swahili au ziko multi purpose .. tofauti na loyal phones (iphone) ambazo nahisi hata tanzania hawaitambui kama kuna market yao .. ( dont comment guys its a joke)
 
mnanichanganya na tecno langu la p 5 ambalo lina mwaka ni miezi mitatu. limeanguka chinj hadi basi lkn bado laniwezesha kuchati na kusoma hbr zenu za vitu vikali.

nawakubali sana tu. enhee mbona hamsemi bei yake?
 
Samsung ni simu za kiswahili swahili au ziko multi purpose .. tofauti na loyal phones (iphone) ambazo nahisi hata tanzania hawaitambui kama kuna market yao .. ( dont comment guys its a joke)
Iphone sa hv hadi machekbob wa mtaani wanatumia
 
Hii simu ipo next level haifanani na simu yoyote duniani. na cha kuumiza roho zaidi ni kwamba vitu vyote vinavyoifanya hii simu kuwa special vinatoka ndani ya samsung si vitu vya nje ambavyo kila oem anaweza kuwa navyo.

-Processor ya exynos inayokuja na s6 imedestroy processor zote za simu including snapdragon 810. officially ndio simu yenye speed zaidi duniani na toka note 4 samsung wamehitahidi kuifanya touchwiz nyepes.

-Very fast memory hivyo itafanya matumizi ya simu na multitasking kuwa smooth


Lol and for the first time nimeona simu ikigonga 30 fps. Habari nzuri kwa gamers wa android atleast na nyie mfunguke macho kidogo.

Hio 30 Fps ni nini mkuu na inafanyaje kazi?
 
Hio 30 Fps ni nini mkuu na inafanyaje kazi?
Frame per second, idadi ya frame ambazo simu inauwezo wa ku render wakati wa kucheza game. Ni post ya zamani simu za kisasa za 2019 zinaenda hadi 120Fps.

Jinsi simu inavyo render frame nyingi ndio jinsi game linavyokuwa smooth.

Kuelewa vizuri unatakiwa ufahamu video inavyofanya kazi, ukiwa unaangalia movie ama video yoyote ile pale kunakuwa na picha 24 zinatembea haraka haraka kila sekunde, hizo picha ndio zinaitwa frame, hivyo mtu akisema 30fps inamaana ni picha 30 zinapita upes upesi kwenye kioo chako na kwa macho yetu sababu hayaoni hizo picha upesi upesi sisi ndio tunaona kama video
 
Frame per second, idadi ya frame ambazo simu inauwezo wa ku render wakati wa kucheza game. Ni post ya zamani simu za kisasa za 2019 zinaenda hadi 120Fps.

Jinsi simu inavyo render frame nyingi ndio jinsi game linavyokuwa smooth.

Kuelewa vizuri unatakiwa ufahamu video inavyofanya kazi, ukiwa unaangalia movie ama video yoyote ile pale kunakuwa na picha 24 zinatembea haraka haraka kila sekunde, hizo picha ndio zinaitwa frame, hivyo mtu akisema 30fps inamaana ni picha 30 zinapita upes upesi kwenye kioo chako na kwa macho yetu sababu hayaoni hizo picha upesi upesi sisi ndio tunaona kama video

Kwa mfano ukitaka kuangalia hiyo kitu katika gsmarena inakua ipo kwa sehemu gani katika zile specifications
 
Kwa mfano ukitaka kuangalia hiyo kitu katika gsmarena inakua ipo kwa sehemu gani katika zile specifications
Huwezi kuangalia na frames zina vary baina ya game na game. Inabidi ujue game gani unataka uangalie then ukasake video youtube
 
Back
Top Bottom