Ku copy material hiyo ni kwa kila kampuni zote zitakuwa zimekopy toka kwa first movers , mfano tunaposema chip zote zimetengenezwa kwa semi conductor material haimaanishi wame copy from each other , au kila mtu kutumia gorilla glass hiyo ni issue ya material used .. suala la jamaa kucopy hapo halina ubishi maana samsung kakopi design ya apple mwanzo mwisho ... patents ngapi apple kashinda kwa samsung ? vividly speaking sumsung wana safari ndefu sana kuwafikia apple ndo maana iphone zinauza sana kuliko samsung ni kwa sababu apple wana vision kali ambapo sasa imefika kipindi samsung wameonekana nao ni wale wa "me too companies " hawana tena ujanja wa ziada .. ilivotoka iphone 6 ilikuwa amazing phone kwa kuwa ilikuwa na vitu tofauti ukiachana na vitu normal ambavyo tumevizoea .. kwa kifupi tu weka kuanzoa iphone 4 mpaka iphone 6 linganisha na sim za samsung utaona design zote za samsung zilizopita zinaonekana kama old model na hazitamaniki compared na za apple . .
Finally: east west jamaa wame copy kabisa na wengi mmekubali ila indirectly eti " mbona ba apple nao wali copy ?? " kwa hii sentence inaonesha mnakubaliana na mleta mada 100%
Mkuu hii ipo wazi kuwa wewe ni shabiki wa apple..
Tunamuamini zaid mkwawa kwasababu yeye sio shabiki wa samsung ni shabik wa nikia hvo anchotetea hapa ni ukweli..
Nijibu maswali haya ili nijue haongei kiushabiki..
1.Kwenye s6 kitu kilichofanana na iphone6 ni kule chini tu,sasa kwanini unasema samsung wame copy kila kitu.?
2.back cover samsung wameweka la kioo,hii ni style ya sony kutengeneza simu kwa kioo kwanin usilete na madai ya sony kuibiwa idea yake.?
3.unasema samsung wameshndwa kubuni muonekano mzuri thats why wame copy wa apple je aplle ndio simu iliyo na muonekano mzur kuliko zote,what about xperia z series.?
Mkuu hii ipo wazi kuwa wewe ni shabiki wa apple..
Tunamuamini zaid mkwawa kwasababu yeye sio shabiki wa samsung ni shabik wa nikia hvo anchotetea hapa ni ukweli..
Nijibu maswali haya ili nijue haongei kiushabiki..
1.Kwenye s6 kitu kilichofanana na iphone6 ni kule chini tu,sasa kwanini unasema samsung wame copy kila kitu.?
2.back cover samsung wameweka la kioo,hii ni style ya sony kutengeneza simu kwa kioo kwanin usilete na madai ya sony kuibiwa idea yake.?
3.unasema samsung wameshndwa kubuni muonekano mzuri thats why wame copy wa apple je aplle ndio simu iliyo na muonekano mzur kuliko zote,what about xperia z series.?
Naomba nitoe jibu kwa qn3 tu. apple ndio simu zinazoongoza kwa display nzuri dunia nzima. It has the executive look...
Naomba nitoe jibu kwa qn3 tu. apple ndio simu zinazoongoza kwa display nzuri dunia nzima. It has the executive look...
Naomba nitoe jibu kwa qn3 tu. apple ndio simu zinazoongoza kwa display nzuri dunia nzima. It has the executive look...
display nzuri kwa vigezo vipi?
1. resolution? hapana kuna simu za Qhd ambazo zinaresolution kubwa kuliko iphone
2. refresh rate ya display? hapana lumia highend zina 60hz iphone hapa pia imeachwa.
3. display technology? wanatumia ips lcd kama wengine tu kina htc
hebu tufungue macho kuhusu huo uzuri wa display za iphone huwenda kuna vitu hatuvijui
Ila swali limejibiwa kama lilivo ulizwa, labda kama halijaeleweka. Kauliza kuhusu muonekano, its true kwamba iphone it has got executive look. Technically kwakweli am not sure.
Naomba nitoe jibu kwa qn3 tu. apple ndio simu zinazoongoza kwa display nzuri dunia nzima. It has the executive look...
Hao wanaokwambia apple alicopy sony experia hawajui maana ya copying .. hawajui patents zikoje na copying maana yake nn ...
Apple ndo simu zenye ubora kuliko simu zozote duniani and this is the fact na hili halihitaji ushabiki sijui nani anashabikia nn halijalishi ila ni ukweli ulio wazi tu kwa sababu ndo wameleta revolution ya smartphone kwa maana ya smartphone (mwaka 2007) na wameendelea na ubora huo mpaka sasa na sishangai kuona samsung wamefikia kipindi wamefeli style zao wameamua ku copy wazi wazi
Kutumia material kama housing glass, cover , aluminium na vitu vingine sio copying suala ni umeyatumiaje hayo material na hapa wengi ndo wana comfuse wanakwambia fulani ndo alikuwa wa kwanza kutumia hiki kwa hiyo waliofuatia wamecopy which is not true.
Nikupe mfano mdogo tu wa maana ya copying ( benzi macho ya panzi ina muundo wake lets imetumia material ya chuma, kampuni nyingine inaweza kutumia hayo material ya chuma lakini tu muonekano usiwe wa macho ya panzi otherwise inakuwa copying ).
Hope umenielewa ndo maana nimesema wengi walio comment hapa hawajakaa kwamba samsung kakopy ila wamejaribu kukwepa kwepa na wamejizungusha tu kwa kusema mbona na apple nao walicopy kwa sony ? which is nonsense kwa sababu huwezi kutetea kosa lako kwa kosa la mwingine "eti ooh ngoja niibe maana na fulani aliiba haiondoi maana ya kosa ".. hope tuko pamoja mkuu !!!
Naomba nikutoe ushamba..
Kwa simu zote zilizopo sokoni kwa sasa hakuna inayoifikia NOTE 4 kwa display nzuri
.
Mkuu kuna sehemu hapo nimesema apple wame copy kwa sony kitu chochote.?
Unaposema apple ni simu yenye ubora kuliko zote unarud kulekule kwenye ushabiki..
Unazungumzia ubora upi.?
1.Os(hapa haijathibitishwa utarud kulekule kwenye android vs ios ambapo hajawahi kupatikana mshindi,na ubaya kwa apple ni kwamba windows ipo smooth zaid ya ios hvo kile kigezo cha 'no lags' hakina mashiko kwa sasa)
2.battery life(nmetumia iphone 5,nmetumia s5 na nmetumia lumia 930,i had a bad experince on iphones battery than any of those)..
3.camera..(hakuna iphone inayofikia camera ya lumia 1020)
Unazungzia ubora upi mkuu.???
I may even say,in terms of os Blackberry 10 os is even better than ios(ukiondoa wingi wa apps..
Kusema apple ina executive look ni perception tu na mapenzi yako binafsi. Mi ntasema kuna baadhi ya lumia na xperia z series zina muonekano mzuri pia.Naomba nitoe jibu kwa qn3 tu. apple ndio simu zinazoongoza kwa display nzuri dunia nzima. It has the executive look...
Binafsi kiukweli kabisa sijawahi kuzipenda apple products, si kwa sababu hardware zake ni mbovu, hapana, bali software zake hazijawahi kuwa friendly kwangu, restrictions nyingi hadi zinaniboa.
kampuni gani inaongoza kununua waandishi wa habari na kueka double standard?
kwenye pc - apps dont matter bali quality ya hardware, kaaa na windows yako yenye mamilioni ya programs sisi hizi zetu chache zenye quality zinatosha
kwenye simu- app zina matter usinunue windows phone haina apps na games
na katika aibu kubwa inayoonyesha apple anawalipa waandishi wa habari ni hii tuzo aliopewa juzi na times kuwa yeye ndio inventor (sio innovator) wa smartwatch, just imagine smartwatch haijatoka na wala haijulikani itakuwa na nini lakini tayari wamepewa tuzo ya wao ndio wamegundua. jiulize sasa
-huyu pebble anauza nini sokoni?
-android wear haiexist?
fikiria mwenyewe kwa hali hio hapo juu why aspend hela nyingi kwenye matangazo wakati ana vibaraka kila vyombo vya habari? ni cheap kumlipa mwandishi wa habari kuliko kuspend matrilion ya hela kwenye ads
http://www.gsmarena.com/newscomm-10286.php