pejohn
Senior Member
- Mar 18, 2014
- 149
- 51
Maybe kuhusu battery wamezingua lakini sd card ni vizuri ambayo hawajaieka sababu always watu wanataka sd card za bei rahisi na kusababisha simu kuwa slow.
s6 storage ndogo kabisa ni gb32 ambazo zinatosha kabisa matumizi ya kawaida na kama una matumizi makubwa kuna version ya gb 128. bado unalalamika sd card?
Ukumbuke s6 memory zake ni 2.5 faster compare na simu nyengine duniani mtu akieka menory card ni kama kufunga mkokoteni nyuma ya ferrari.
Kuhusu design leo hii iphone 6 imekua design ya apple? si juzi juzi tu tulikuwa tunamponda apple kwa kucopy lumia na HTC?
Mkuu atakae kubishia ni mwendawazimu