kampuni gani inaongoza kununua waandishi wa habari na kueka double standard?
kwenye pc - apps dont matter bali quality ya hardware, kaaa na windows yako yenye mamilioni ya programs sisi hizi zetu chache zenye quality zinatosha
kwenye simu- app zina matter usinunue windows phone haina apps na games
na katika aibu kubwa inayoonyesha apple anawalipa waandishi wa habari ni hii tuzo aliopewa juzi na times kuwa yeye ndio inventor (sio innovator) wa smartwatch, just imagine smartwatch haijatoka na wala haijulikani itakuwa na nini lakini tayari wamepewa tuzo ya wao ndio wamegundua. jiulize sasa
-huyu pebble anauza nini sokoni?
-android wear haiexist?
fikiria mwenyewe kwa hali hio hapo juu why aspend hela nyingi kwenye matangazo wakati ana vibaraka kila vyombo vya habari? ni cheap kumlipa mwandishi wa habari kuliko kuspend matrilion ya hela kwenye ads
http://www.gsmarena.com/newscomm-10286.php
Sijaongelea pc hata kidogo , hizo apps na features zipo kwenye cm na sio tu pc (itunes ipo ios) hivo vitu ambavyo nimetaja hapo juu ndo killer competitive edge ya apple na hamna mtu anaweza simama hapo "distinctiveness" na ndo maana hamuwezi bisha na hamjabisha ..
Kuhusu matangazo hiyo ni excuse tu watu wanaleta , kama kweli buying of media ndo inawaweka apple juu samsung na kampuni nyingine zinashindwaje kununua media, kama njia wanaona ndo hiyo kwa nn wasiitumie ? au nyie ndo mnajua wao hawajui hiyo njia?? "total failure excuse".
Hapa tunarudi kule kule apple ndo anatangaza kidogo kuliko wenzie and this is the fact from what we see to what is happening.! na katika financial position point of view apple ndo most valuable co in the world na hii inamaanisha efficiency katika vitu vingi ie kwa kutumia akili na innovation una spend kidogo na una zalisha na kuuza sana ,
usipotumia akili unazalisha tu products af una force kuziuza kwa gharama kubwa (hiki ndo makampuni mengine yanafanya leader akiwa ni samsung na lg ambao brand zao za simu zipo ka utitiri lakini hawajaweza kuchomoka kwa brand chache tu za apple ambazo zinahesabika iphone 3,4,4s,5,5s,6 na 6 plus , uliza samsung sasa mara utasikia mega, edge ,s somthng, note ,tab yan wana product line ka mia hivi lakini zote hazijafua dafu kwa products zisizozidi kumi).
kwa hiyo nawaombeni twende tu na facts tuache ushabiki .