Samsung Galaxy S20 Ultra ni hatari

Samsung Galaxy S20 Ultra ni hatari

Mkuu hebu nitafutie simu yoyote ya $1000 ambayo in 512GB...
Una ushahidi ni samsung alietengeneza hio display? Specs zinaonesha ni Amoled ila hazijasema ni super Amoled, usichanganye oppo X2 na Realme x2, X2 ya realme ndio super amoled.


Software ni pana mkuu hapa umeongelea tu stability ya hio software kuna vitu kama
1. Features za hio software
2. Updates mbalimbali za baadae
3. 3rd party support na vitu kama Bootloader unlock etc
Mpaka leo simu kama Galaxy s2 ina support nzuri tu ya developers sababu samsung ni rafiki wa developers.


Nafahamu mkuu lakini dola 1000? Oppo?
Huyo oneplus ndio ni ndugu yake ila atatoa simu nzuri kama Hii na bei itakuwa nusu yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
12 bado sana, kama miezi 6 hivi. Karibuni itatoka 9, ambayo ni iphone ya bei nafuu.

Iphone 9 ndo wansema itakua iphone SE2 hii inaweza kuwa mashine. Iphon12 itachelewa coz inasemekana apple wanataka iwe ya tofauti sana
-kutakuwa na maboresho kwenye notch kuiondoa kabsa
-camera wataimprove from 12mp-48mp
-ios 14
-apple bionic 14
Na vitu kbao tuwe na subira


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
One plus zinapanda bei kila mwaka. Hujanotice hicho kitu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli zinapanda ila wanatoa model nyingi pia, mfano oneplus 7t ni around dola 400 kwa flagship level soc na ram/storage angalau 8GB/128GB ni deal zuri sana.

Siku hizi wanatoa hizo Pro za kuongeza faida then baadae still wanatoa Flagship Killer.
 
Specs za hiyo Oppo find x2 pro na One plus 7t pro ambayo ndiyo latest flagship ya Oneplus ni mbali na mbali.
Una ushahidi ni samsung alietengeneza hio display? Specs zinaonesha ni Amoled ila hazijasema ni super Amoled, usichanganye oppo X2 na Realme x2, X2 ya realme ndio super amoled.


Software ni pana mkuu hapa umeongelea tu stability ya hio software kuna vitu kama
1. Features za hio software
2. Updates mbalimbali za baadae
3. 3rd party support na vitu kama Bootloader unlock etc
Mpaka leo simu kama Galaxy s2 ina support nzuri tu ya developers sababu samsung ni rafiki wa developers.


Nafahamu mkuu lakini dola 1000? Oppo?
Huyo oneplus ndio ni ndugu yake ila atatoa simu nzuri kama Hii na bei itakuwa nusu yake.
Oneplus 7t pro price yake ni above $800 kwa variant ambayo ni ya 256GB of storage....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hebu nitafutie simu yoyote ya $1000 ambayo in 512GB...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi9 pro ya xiaomi as cheap as dola 650 sehemu nyengine hadi 780

Pia kuna simu kibao zimezinduliwa na gb 512 na bei zake si mbaya kama
-lenovo z6 pro
-Honor magic 2
-zte nubia X
-xiaomi k20 pro premium etc.

Pia ukiangalia flagship za zamani kama mate 20, 30, oppo find x ya kwanza, s10, note 10 etc zote zina option ya 512gb.
 
Kuna chuma kinaitwa Oppo find X2 PRO. Huyo samsung akalale.

Wakati samsung s20 ultra anaweka 120Hz kwa FHD

Oppo find x2 pro anakuwekea 120Hz kwa QHD+

Sijataka kugusa maeneo mengine...

Halafu kuna mnyama mwingine anakuja tar 26 mwezi huu. Huawei p40 pro premium.View attachment 1390027

Sent using Jamii Forums mobile app
P 40 pro nilisikia inakuja bila play store,na halafu bei aitoizidi sana bei ya sasa p 30 pro,au uzushi tu mkuu?
 
Specs za hiyo Oppo find x2 pro na One plus 7t pro ambayo ndiyo latest flagship ya Oneplus ni mbali na mbali. Oneplus 7t pro price yake ni above $800 kwa variant ambayo ni ya 256GB of storage....

Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu una compare simu ya mwaka jana na huu, zikitoka oneplus za mwaka huu wala hazitakuwa mbali mbali.

Si mara ya kwanza wala mara ya mwisho oppo anatoa simu ya dola 1000 baada ya mwezi inakuwa rebranded kama oneplus na kuuzwa
nusu ya bei

Btw sijasema 7t pro nimesema 7t.
 
Waje na smartphone zinazokaa na chaji week nzima
Kwenye camera sidhani kama kuna cha ziada kinahitajika kwa mfano mm natumia simu yenye camera 48mp lakini sioni tofauti na simu yenye 12mp
Kwa sababu megapixel sio ukali wa Picha..na wanapachika hizo megapixel makusud as marketing strategy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom