Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,708
- 4,577
Jioni hii anazungumzia michezo lakini kwa mahaba yake ya wazi kwa chadema anaamua kuleta topic ya kumtaja Nape na kuongelea habari za goli la mkono huku akiwa ameandaa picha za akina Maradona za miaka hiyo na kujifanya kuuliza kwamba Goli la mkono alilosema Nape eti ni kupata ushindi hata wa udanganyifu! My take: Jambo lilishajadiliwa kitambo na mwenyewe alishalitolea ufafanuzi iweje leo iwe ndio habari ya kila siku hapo eatv? lengo lake ni nini?