Jioni hii anazungumzia michezo lakini kwa mahaba yake ya wazi kwa chadema anaamua kuleta topic ya kumtaja Nape na kuongelea habari za goli la mkono huku akiwa ameandaa picha za akina Maradona za miaka hiyo na kujifanya kuuliza kwamba Goli la mkono alilosema Nape eti ni kupata ushindi hata wa udanganyifu! My take: Jambo lilishajadiliwa kitambo na mwenyewe alishalitolea ufafanuzi iweje leo iwe ndio habari ya kila siku hapo eatv? lengo lake ni nini?
Mi nadhani wewe ndio mchochezi maana hii topic kuileta hapa ni kuongeza idadi hata ya ambao tulikuwa hatujui. Wengine tulimpuuza sana Nape ila unataka tuanze kumfuatilia. Alichosema ni kosa na linaweza kuchukuliwa kama ushahidi hapo baadae, usiwazibe watu midomo na kila mtanzania aachwe atoe maoni yake.