yakowazi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2012
- 1,771
- 627
We mtetee tu, utakuja kumkataa baadae kidogo.
kumbe bado unakomaa weka kumbukumbu zitakusaidia mwananchi
We mtetee tu, utakuja kumkataa baadae kidogo.
aina ya watu wanao mskiliza huyo mtangazaj na kituo chenyewe ni chaga dema
Jioni hii anazungumzia michezo lakini kwa mahaba yake ya wazi kwa chadema anaamua kuleta topic ya kumtaja Nape na kuongelea habari za goli la mkono huku akiwa ameandaa picha za akina Maradona za miaka hiyo na kujifanya kuuliza kwamba Goli la mkono alilosema Nape eti ni kupata ushindi hata wa udanganyifu! My take: Jambo lilishajadiliwa kitambo na mwenyewe alishalitolea ufafanuzi iweje leo iwe ndio habari ya kila siku hapo eatv? lengo lake ni nini?
mkuu ghost tafsiri ya "goli la mkono anayo nape"samsoni kasema goli la mkono ni kama la maradona hiyo ni tafsiri ya samsoni kila mtu ana haki ya kutoa tafsir anavyotaka lakini nape ndiyo wenye tafsiri halisi sasa usianze kutukana watu kwa kuwaita wachochezi ile hali ww hujakatazwa kutoa tafsiri yako na kama una ushahidi au ufafanuzi wa nape uweke hapa ili kufanya watu wasiendelee kutafsiri vinginevyo.
Anatoa habari kwa kuegemea upande mmoja tu wa upinzani.
Tabia ya mtu ni ile imtokayo kinywani mwake, naona wewe ndio mpumbavu wahed!
Acha upuuzi, tunajadili uchaguzi mkuu hapa we unaleta kauli za Mwinyi za michezo na unasema zimeingizwa kwe hansad! Hansad ipi hiyo!!?
Jioni hii anazungumzia michezo lakini kwa mahaba yake ya wazi kwa chadema anaamua kuleta topic ya kumtaja Nape na kuongelea habari za goli la mkono huku akiwa ameandaa picha za akina Maradona za miaka hiyo na kujifanya kuuliza kwamba Goli la mkono alilosema Nape eti ni kupata ushindi hata wa udanganyifu! My take: Jambo lilishajadiliwa kitambo na mwenyewe alishalitolea ufafanuzi iweje leo iwe ndio habari ya kila siku hapo eatv? lengo lake ni nini?
Samson Mpuuze Hawa CHADOMO Wana Siasa Za Kitoto Kununua NGOs, Media, Wanaharakati Wa Amplify Agenda Zao Ili Waonekabe Wana Support.
Wakija Ballot Boxes Wanapigwa.
Isitoshe Hata ITV inajulikana kwa Mtu Yeyote Serious..., Labda Kipofu Tu
Jioni hii anazungumzia michezo lakini kwa mahaba yake ya wazi kwa chadema anaamua kuleta topic ya kumtaja Nape na kuongelea habari za goli la mkono huku akiwa ameandaa picha za akina Maradona za miaka hiyo na kujifanya kuuliza kwamba Goli la mkono alilosema Nape eti ni kupata ushindi hata wa udanganyifu! My take: Jambo lilishajadiliwa kitambo na mwenyewe alishalitolea ufafanuzi iweje leo iwe ndio habari ya kila siku hapo eatv? lengo lake ni nini?
Mji nga kweli kumbe kazi ya nani? Mi jana tu nilimsikia Lubuva akilisemea hilo jambo...akaulizwa watachukua hatua gani akajibu....halikusemwa wakati wa kampeni (kisheria) kwa hiyo wao tume hawawezi kufanya lolote kuhusu kauli hiyo!...sasa unaposema mshalimaliza siku nyingi sijui ndo unamaanisha nini..when is siku nyingi?...Poor you....will you ever think out of the box na kuona hatari ya matamshi haya ya kipuuzi ya Nape kipindi kama hiki?Sio kazi yake.