Samia: Vijana wanamezeshwa sumu kuchukia Serikali

Sio rahisi jirani yangu kuwaambia wanangu kuwa mimi ni mbaya nao wakaamini kama hawajawahu kuona ubaya ndani yangu.
 
View attachment 3628340

Samia amesema kuwa baadhi ya Mataifa makubwa duniani hayafurahishwi na kasi ya maendeleo ya Nchi zinazoendelea, huku wakiwalaghai Vijana kuhujumu Mataifa yao.

Samia ameyasema hayo leo Julai 13, 2026, wakati akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali pamoja na Wakuu wa Sheria uliofanyika Jijini Arusha.

Amesema katika mazingira ya sasa ya ushindani wa Kimataifa, baadhi ya Vijana wamekuwa wakishawishiwa na kulaghaiwa ‘Kumezeshwa Sumu’ kuichukia Nchi yao pamoja na kuhujumu juhudi za maendeleo zinazofanywa na Serikali zao.

“Nimemsikia mmoja wa Viongozi wakubwa duniani akisema kuwa yeyote anayewazidi kwa kasi ya maendeleo ni adui yao, Nchi zetu zinapopiga hatua mbele, wengine wanatafuta njia na mbinu za kuzivuta nyuma,” amesema Samia.

Ameongeza kuwa dunia inaendelea kushuhudia Mataifa yakihujumiana kwa njia mbalimbali, huku baadhi ya Vijana wakipewa taarifa na mitazamo inayowafanya kuhujumu Mataifa yao wenyewe.

“Tunashuhudia Vijana wakilaghaiwa, wengine wakimezeshwa sumu dhidi ya Mataifa yao na kushawishiwa kuhujumu uchumi unaojengwa kwa nguvu kubwa,” amesema.
kwa hio GenZ walijiua MO29 au ilitumika nguvu iliostahili?
 
Samia amemezeshwa sumu kuchukia watanganyika na kuwatawala kimabavu pasipo huruma.
 
Hivi bado mnakaa kabisa na kusikiliza hotuba za viongozi mpaka leo,

Me nikiona kiongozi yeyote anahutubia napita kimya kwa mustakabali mzima wa kulinda afya yangu ya akili.
 
View attachment 3628340

Samia amesema kuwa baadhi ya Mataifa makubwa duniani hayafurahishwi na kasi ya maendeleo ya Nchi zinazoendelea, huku wakiwalaghai Vijana kuhujumu Mataifa yao.

Samia ameyasema hayo leo Julai 13, 2026, wakati akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali pamoja na Wakuu wa Sheria uliofanyika Jijini Arusha.

Amesema katika mazingira ya sasa ya ushindani wa Kimataifa, baadhi ya Vijana wamekuwa wakishawishiwa na kulaghaiwa ‘Kumezeshwa Sumu’ kuichukia Nchi yao pamoja na kuhujumu juhudi za maendeleo zinazofanywa na Serikali zao.

“Nimemsikia mmoja wa Viongozi wakubwa duniani akisema kuwa yeyote anayewazidi kwa kasi ya maendeleo ni adui yao, Nchi zetu zinapopiga hatua mbele, wengine wanatafuta njia na mbinu za kuzivuta nyuma,” amesema Samia.

Ameongeza kuwa dunia inaendelea kushuhudia Mataifa yakihujumiana kwa njia mbalimbali, huku baadhi ya Vijana wakipewa taarifa na mitazamo inayowafanya kuhujumu Mataifa yao wenyewe.

“Tunashuhudia Vijana wakilaghaiwa, wengine wakimezeshwa sumu dhidi ya Mataifa yao na kushawishiwa kuhujumu uchumi unaojengwa kwa nguvu kubwa,” amesema.
Hilo taifa kubwa ulimwenguni ni nani kama sio wanasiasa wetu makini hapa nchini wakiongozwa na CDM.
 
Uchumi wake yy n familia yake pamoja na ukoo wake wooote. Na sio watanganyika sisi tulio elemewa na kodi,tozo rukuki. Kisha matumizi yake ni ufisadi na anasa tu.
Kazi ni kipimo cha utu
Labda huyo kahaba mkuu berizeburi ana zungumzia uchumi wa kijambio chake maana huo ndiyo unskuwa kwa kasi ya kushangaza.🚯
 
Kitendo cha kusema "mataifa yanawamezesha sumu vijana" (ni ishara ya kuwadharau vijana) ina maana vijana wa tanzania, hawana akili ya kupambanua mambo, hawajui baya na jema katka nchi yao kiasi kwamba mpaka waambie na "mataifa makubwa"

Hii ni sawa na kusema vijana wa tanzania hawawezi kutambua na kuupinga ubaya unaofanywa na serekali.
Mpaka wawe "wamemezeshwa sumu"
 
Back
Top Bottom