Samia ukiachia madaraka kwani utapungukiwa na nini

Eti wakuu nimejaribu tu kuwaza. Kwani bi mkubwa akiamua tu kutokugombea na kurudi kwao kizimkazi kupumzika kwani arapungukiwa na nini maana hatuna deni nae. Chini ya uongozi wake kila kitu kinakwenda halijojo, utekaji, ubabe uhamishaji masai NGORONGORO, kubinafsisha rasilimali za nchi kama bandai n.k. Binafsi natamani itokee miujiza aahirishe kugombea mhula mwingine kidogo tupumue na hili deni la trillion 97 si tumelikubali na tutajichanga na huyo rais ajaye tulilipe ila kwa sasa inatosha mama aende, tafadhali mama tunaomba uende ulipotufikisha panatosha mwache mwingine achukue usukani
1001004265.jpg
 
IMG-20250605-WA0020.jpg
 
we ni nani unaotoa ushauri huu? Deepstate wanamtaka kama hawamtaki asingegombea tena. Wazee wa nchi wapo na hawajamshauri asigombee, who are you?
 
Waliongea wakauliwa,magufuli,magufuli....haya kafa sasa
Shida ya watanzania most of them huwajulii wanataka nini, in short huwezi kupendwa na wote.
Magufuli alitukanwa sana hadi kuombewa kifo ulikua hauna simu?
Niwekee hicho kipengele cha kutukanwa, pia usisahau kuniwekea kipengele cha "waislamu kumtukana na kumkashifu magu kisa imani yake au utanzania wake" kama ilivyo kwa mama anakashifiwa na kuthubutu kusema arudi zanzibar kwao n.k. wakristo baadhi yenu mna tabu.
 
Watalifungiaje kanisa ambalo wao wametoka humo?
 
dah nimekuja gundua watu mnachuki binafsi na huyu mama. kama mtu anasema kila kitu eti kipo halijojo!! toka huyu mama ameingia ajira kila mwaka, miradi ya mtangulizi wake inakamilika, kwenye elimu hakuna wilaya haijaguswa na ujenzi wa madarasa. kwenye afya , kwenye maji. mishahara na stahiki nyinginezo za watumishi , kama kupandishwa madaraja kwa wakati na vyote hivi mtangulizi wake alikuwa amevitia kapuni. elimu bure chekechea mpaka A level. Amekuta bodi ya mikopo imepandisha asilmia za deni mpaka 15 kutoka 8 asilimia. Ila mtu anapanua domo lake eti huyu mama amna alichofanya washenzi wakubwa nyie.
 
Eti wakuu nimejaribu tu kuwaza. Kwani bi mkubwa akiamua tu kutokugombea na kurudi kwao kizimkazi kupumzika kwani arapungukiwa na nini maana hatuna deni nae. Chini ya uongozi wake kila kitu kinakwenda halijojo, utekaji, ubabe uhamishaji masai NGORONGORO, kubinafsisha rasilimali za nchi kama bandai n.k. Binafsi natamani itokee miujiza aahirishe kugombea mhula mwingine kidogo tupumue na hili deni la trillion 97 si tumelikubali na tutajichanga na huyo rais ajaye tulilipe ila kwa sasa inatosha mama aende, tafadhali mama tunaomba uende ulipotufikisha panatosha mwache mwingine achukue usukani
Na wewe ukiacha kuandika mada za kipumbavu kama huu ujinga ulioandika hapa utapungukiwa nini?!
Mama Samia ni chaguo la Mungu kwa ajili ya manufaa ya taifa la Tanzania!
Hata mkienda kwa waganga mkaroga MAMA SAMIA NI RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA HADI 2030.
Mtachukia, mtapata vichefuchefu na kuharisha lakini ukweli hautabadilika.
MAMA SAMIA NI RAIS HADI 2030.
 
#2025 bila mama inawezekana
Mama Samia MITANO TENA inawezekana.
2021 hadi 2030.
Mtachukia hadi mtakufa kwa chuki zenu zinazotokana na husuda na roho mbaya.
Lakini hakuna mwenye ubavu wa kumuondoa mama Samia ikulu hadi atakapoondoka mwenyewe 2030.
 
Kutokuwa kafiri ndo kumemfanya awe na roho mbaya angekuwa mkristo asingefanya huu ujinga
Magufuli alifanya mangapi?! au na yeye alikuwa muislamu?!
Kilichowafanya viongozi wa chadema kipindi cha Magufuli kukimbilia ulaya ilikuwa nini?
Si mama Samia aliyewapa baraka kurudi TZ baada ya kifo cha Magufuli?!
 
Magufuli alitukanwa sana hadi kuombewa kifo ulikua hauna simu?
Aliyemtukana Magufuli na kumuombea kifo ni nani?!Tangu Kikwete aondoke madarakani waislamu tulijifunza kuwa watiifu kwa serikali iliyopo madarakani bila kujali rais wa nchi ni muumini wa dini gani!
Kama Magufuli alikuwa na maadui , maadui hao walikuwa watu wa dini yake anaoshiriki nao misa ndaki ya makanisa.
Hakuna kundi wala dhahebu lolote la kiislamu hapa TZ lililoonyesha upinzani wa maneno au wa vitendo dhidi ya serikali ya Magufuli.
WAPINZANI WAKUBWA WA MAGUFULI WALIKUWA WAKRISTO WENZAKE.
 
Mkuu hukuwaona akina sheikh ponda walipokua wakimwaga malalamiko!? Mange ni muislam hukuona matusi yake kwa JPM!!? Kule kibiti hukuona yaliyokua yanatokea au haukua na smartphone. Mlikua mstari wa mbele kulalamikia kila teuzi mkisema mnabaguliwa. Humu ndani zilijaa nyuzi za kumkejeli Jiwe hasa alipokua akisema corona itatokomezwa kwa maombi mlidhihaki sana tu.

Makamba senior(muislam) alikua wa kwanza kushangilia hadharani kifo cha Jiwe akisema wazuri hawafi

Back
Top Bottom