Samia ukiachia madaraka kwani utapungukiwa na nini

Mbona magu aliambiwa arudi chato hapo dini imetajwa wapi? Samia ni mzanzibar na hajawahi kuonea aibu uraia wake hivyo sio tusi hilo.
Shida ya watanzania most of them huwajulii wanataka nini, in short huwezi kupendwa na wote.

Niwekee hicho kipengele cha kutukanwa, pia usisahau kuniwekea kipengele cha "waislamu kumtukana na kumkashifu magu kisa imani yake au utanzania wake" kama ilivyo kwa mama anakashifiwa na kuthubutu kusema arudi zanzibar kwao n.k. wakristo baadhi yenu mna tabu.
 
Eti wakuu nimejaribu tu kuwaza. Kwani bi mkubwa akiamua tu kutokugombea na kurudi kwao kizimkazi kupumzika kwani arapungukiwa na nini maana hatuna deni nae. Chini ya uongozi wake kila kitu kinakwenda halijojo, utekaji, ubabe uhamishaji masai NGORONGORO, kubinafsisha rasilimali za nchi kama bandai n.k. Binafsi natamani itokee miujiza aahirishe kugombea mhula mwingine kidogo tupumue na hili deni la trillion 97 si tumelikubali na tutajichanga na huyo rais ajaye tulilipe ila kwa sasa inatosha mama aende, tafadhali mama tunaomba uende ulipotufikisha panatosha mwache mwingine achukue usukani
Kuna watu wengi watamshukia kama mwewe akiachia madaraka, maana ni mtaji kwao
 
Mbona magu aliambiwa arudi chato hapo dini imetajwa wapi? Samia ni mzanzibar na hajawahi kuonea aibu uraia wake hivyo sio tusi hilo.

Acheni ubaguzi na udini, mama kwakua ni muislamu na ana asili ya kiarabu ndio imekua kelele hivyo, ingelikua ana asili ya kiyahudi kwa wala damu, kimagharibi je! angeshambuliwa?

Mna chuki na uislamu, mna chuki na waarabu, mna chuki na wazanzibari, na huu ndio ukweli.

Free palestine 🇵🇸
 
Hee aiseeeee mkuu pole sana mara uyahudi sasa wayahudi na wabongo wapi na wapi. Palestine imeingiaje hapa!!??
Acheni ubaguzi na udini, mama kwakua ni muislamu na ana asili ya kiarabu ndio imekua kelele hivyo, ingelikua ana asili ya kiyahudi kwa wala damu, kimagharibi je! angeshambuliwa?

Mna chuki na uislamu, mna chuki na waarabu, mna chuki na wazanzibari, na huu ndio ukweli.

Free palestine 🇵🇸
 
Mkuu hukuwaona akina sheikh ponda walipokua wakimwaga malalamiko!? Mange ni muislam hukuona matusi yake kwa JPM!!? Kule kibiti hukuona yaliyokua yanatokea au haukua na smartphone. Mlikua mstari wa mbele kulalamikia kila teuzi mkisema mnabaguliwa. Humu ndani zilijaa nyuzi za kumkejeli Jiwe hasa alipokua akisema corona itatokomezwa kwa maombi mlidhihaki sana tu.

Makamba senior(muislam) alikua wa kwanza kushangilia hadharani kifo cha Jiwe akisema wazuri hawafi
Kuhusu Issa ponda ni mwanaharakati anayejiingiza katika matukio ya kiharakati za hapa na pale ili apate mtu wa kumpatia chochote cha kula na familia yake.
Mimi huwa naona hata kinyaa kumuita shehe kwa sababu sijui ushehe wake ni wa kiwango gani na aliusomea wapi!
Issa ponda ni mtu anayependa matukio yatakayomfanya aseme neno lolote ili watu wajue kuwa bado yupo!
Kumbuka tukio la ponda kupigwa risasi akiwa morogoro na kufunguliwa mashitaka Dar es Salaam lilitokea wakati wa Kikwete ambaye ni muislamu mwenzetu.
Siku za nyuma kidogo ponda amesikika akimtaka rais Samia kukaa na wapinzani na kusikiliza madai yao ya kutaka MABADILIKO!.
Leo vyombo vya habari vimeripoti kuwa ponda kajiunga na chama Cha ACT wazalendo.
ponda ni mtu anayejiingiza katika matukio ya hapa na pale kwa lengo la kuganga njaa nadhani unakumbuka kuwa kwenye uchaguzi wa mwaka 2015 alikuwa mpiga debe wa UKAWA.

MANGE KIMAMBI hata akijiita muislamu sidhani kama yule atakuwa anajua hata waislamu wanaposwali wanaelekea upande gani ! Kama alikuwa na chuki na rais Magufuli naamini chuki hizo hazina uhusiano wowote na ukristo wa magufuli wala uislamu wa mange ikiwa ni muislamu kweli hasa ikizingatiwa kuwa huko America anakoishi haijulikani anafanya kazi gani na kaolewa na mwanaume wa dini gani!
Kwahiyo chuki za mange kwa Magufuli ni chuki binafsi na sio chuki za kidini.
Watu waliokuwa wakiendesha vitendo vya kigaidi maeneo ya KIBITI ni watu walioelewa vibaya mafundisho ya uislamu wakapotea na kuanza kuua watu wasiokuwa na hatia.
Makundi kama UAMSHO cha Zanzibar , Alshabaab ya Somalia, Alqaida , Boko Haram na IS ni makundi maovu yanayofanya vitendo viovu sehemu mbalimbali za dunia HUKU WAKIUSINGIZIA UISLAMU KUWA NDIO UMEWAFUNDISHA KUFANYA VITENDO VYA KIGAIDI AMBAVYO WAMEVIPACHIKA JINA LA "JIHAD "
Na kama una kumbukumbu nzuri matukio ya KIBITI ambayo yaliambatana na vitendo vya majambazi kuvamia vituo vya polisi , kuwaua polisi na kuwanyang'anya silaha vilianza katikati ya kipindi cha pili Cha serikali ya Jakaya Kikwete.
Kwahiyo ni vitendo ambavyo havikumlenga magufuli kwakuwa ni mkristu kwakuwa makundi ya aina hii hata watu kama Mama Samia na Jakaya Kikwete Dk Mwinyi , Kasimu Makali na kadhalika huwaona kuwa ni makafiri kwakuwa pamoja na kuwa wana majina ya kiislamu lakini hawaendeshi serikali kwa kufuata sharia ya kiislamu!.
Kwa misimamo ya makundi ya aina hii hata mimi ninayeandika maneno haya ni kafiri kwa namna Moja au nyingine.
Kuhusu malalamiko juu ya teuzi za wakristo ni malalamiko ya kijinga yasiyokuwa na maana!
Mimi ninavyojua TANGU SERIKALI YA AWAMU YA KWANZA HADI AWAMU YA SITA MARA ZOTE WAKRISTO HUWA NI WENGI SERIKALINI KULIKO WAISLMU NA WAPAGANI BILA KUJALI KUWA RAIS ALIYEPO MADARAKANI NI MUISLAMU AU NI MKRISTO.
Kama unabisha kwakuwa sasa rais ni muislamu kesho tuanze kuhesabu mawaziri waislamu na wakristo , halafu manaibu waziri, makatibu wakuu wa wizara, wakuu wa mikoa na wilaya, makatibu tawala wa mikoa na wilaya.
Wakuu wa jeshi la polisi wa mikoa na wilaya tukiachilia mbali wakurugezi wa mashirika ya umma nk.
Ikitokea kuonekana kuwa waislamu ni wengi serikalini kushinda wakristo Mimi nitavaa msalaba na kuukana uislamu.
Na pia ikionekana kuwa kuanzia serikali ya awamu ya kwanza hadi ya sita kuna awamu yoyote ambayo waislamu waliwahi kuwa wengi serikalini kuwashinda wakristo nitavaa msalaba na kuukana uislamu.
Pamoja na hayo MIMI BINAFSI WINGI WA WAKRISTO SERIKALINI HAUNIUMIZI KICHWA KWAKUWA NINAAMINI KUWA ALLAAH ANAWEZA KUNIPA RIZIKI YANGU BILA KUAJIRIWA NA SERIKALI.
Mwisho ni kwamba vita ya Makamba family dhidi ya JPM ni vita ya maslahi na sio vita ya kidini kwa sababu uislamu wa mzee Makamba na familia yake hauna tafauti sana na uislamu wa mange kimambi.
Inajulikana kuwa mke wa mzee Makamba mama January ni mkristo muhaya anayetokea wilaya ya misenyi mkoani Kagera.
Sasa mzee Makamba anaanzaje kumchukia Magufuli kwa ajili ya ukristo wake wakati mke wake pia ni mkristo?! Kidini si Mzee Makamba alikuwa shemeji yake Magufuli hasa ukizingatia kuwa mke wa mzee Makamba anatokea kanda ya ziwa anakotokea Magufuli?!
Bali inasemekana baadhi ya watoto wa mzee Makamba pia wamefuata dini ya mama yao na mzee Makamba ametoa baraka kwa watoto wake wafuate dini yoyote watakayoipenda sasa mtu huyu ni sahihi kumrushia tuhuma za udini?!
 
Huyu mama angelikua ni "kafiri" sidhani kama mngekuja na maneno yenu ya kumkosoa, kumkejeli na wengine hadi kufikia kumtukana.

Kuwa makini sana
Samia anatakiwa kuendesha Nchi Kwa mkono wa chuma Ili Hawa wawe na adabu,hakujifunza Kwa Magufuli?
 
Eti wakuu nimejaribu tu kuwaza. Kwani bi mkubwa akiamua tu kutokugombea na kurudi kwao kizimkazi kupumzika kwani arapungukiwa na nini maana hatuna deni nae. Chini ya uongozi wake kila kitu kinakwenda halijojo, utekaji, ubabe uhamishaji masai NGORONGORO, kubinafsisha rasilimali za nchi kama bandai n.k. Binafsi natamani itokee miujiza aahirishe kugombea mhula mwingine kidogo tupumue na hili deni la trillion 97 si tumelikubali na tutajichanga na huyo rais ajaye tulilipe ila kwa sasa inatosha mama aende, tafadhali mama tunaomba uende ulipotufikisha panatosha mwache mwingine achukue usukani
Sisi tunamuitaji sana na tumeona mengi mazuri aliyofanya.
 
Ambatanisha nakala Kwa Lucas Mwashambwa.

Cc: Tlaatlaah tlaah
 
Daah mkuu wewe kiboko post nzima umekana kila mtu. Ishu ya Mama samia haijakaa kidini. Na gwajima hata enzi za JPM alileta chokochoko akatulizwa kwa ubunge,kama unavyomchukulia ponda ndivyo gwajima anavyochukuliwa hivyo na wakristo. Kuongea kwake kuhusu utekaji ndiko kumemponza na kuwafurusha nyie kuanza kulalamika samia anaonewa kisa dini yake. Je asiambiwe ukweli kuhusu utekaji na uuaji!!? Mbona JPM alikua anapewa makavu kuhusu ben saanane na azory bila kusahau akwilina.

Wingi wa wakristo kwenye ajira ni usharp wao kuchangamkia elimu dunia na sio kushinda sunday schools. Huwezi ukamtoa mhadzabe kule bush uje uumpe ajira wakati hajasoma eti kisa tu ubalance uwiano wa wapagani serikalini

Fact
 
Nashangaa watu wanaleta udini kwenye siasa. Au mmetumwaa
 
Eti wakuu nimejaribu tu kuwaza. Kwani bi mkubwa akiamua tu kutokugombea na kurudi kwao kizimkazi kupumzika kwani arapungukiwa na nini maana hatuna deni nae. Chini ya uongozi wake kila kitu kinakwenda halijojo, utekaji, ubabe uhamishaji masai NGORONGORO, kubinafsisha rasilimali za nchi kama bandai n.k. Binafsi natamani itokee miujiza aahirishe kugombea mhula mwingine kidogo tupumue na hili deni la trillion 97 si tumelikubali na tutajichanga na huyo rais ajaye tulilipe ila kwa sasa inatosha mama aende, tafadhali mama tunaomba uende ulipotufikisha panatosha mwache mwingine achukue usukani
Yeye anaweza kuamua hivyo ila hatiweza kwa sababu ya maslahi ya wana itafuna nchi
 
Magufuli alitukanwa sana hadi kuombewa kifo ulikua hauna simu?
Kilikuwa bado kina jinyea kwenye pempas hicho hakijui chochote kimeanza kufuatilia siasa baada ya muislam mwenzie kupata zali
 
Hivi shehe wewe unaona ni sahihi watu wanaopinga serekali kupotezwa? Hebu angalia kifo cha mzee Ali kibao na kupotezwa kwa mdude kati ya wengi waliopotezwa. Unaweza kuvaa uchungu wa ndugu zao?

Gwajima sijui motive yake ni nini. Lakini ametetea kitu sahihi. Hii ya hata aliyechoma picha ya raisi tu, ambayo sio big deal kivile ingeachwa ipite ukizingatia picha ipo kwenye magazeti ambayo hufungiwa maandazi daily, anapotezwa.

Kuna kitu hakiko sawa hata CCM inabidi waki address.
Dini yangu inanifundisha kutii mamlaka ambazo Allaah kazipa uwezo wa kunitawala.
Kupinga serikali ni msimamo wa kidemokrasia tuliyoletewa toka ulaya lakini kwa msimamo wa uislamu serikali haipingwi hadharani!
Maelekezo ya uislamu ni kwamba ikiwa mtawala kakosea hutakiwi kumwambia makosa yake hadharani!
Yatakiwa umfuate uongee nae kwa siri mkiwa wawili.
Akifuata ushauri wako ni jambo jema na asipoufuata wewe huna dhambi kwakuwa umetekeleza wajibu wako wa kumkumbusha.
Katika historia hakuna mtawala aliyewahi kufanya dhulma za wazi kama Firauni wa Misri enzi za Nabii Musa عليه السلام.
Firauni ( biblia inamtaja kama farao ) alifika hatua ya kujiita Mungu mkuu kama Quran ilivyotaja katika suurat An naaziat Aya ya 21-24
{ فَكَذَّبَ وَعَصَىٰ }
Lakini ( Firauni )aliikadhibisha na akaasi.

{ ثُمَّ أَدۡبَرَ يَسۡعَىٰ }

Kisha alirudi nyuma, akaingia kufanya juhudi.

{ فَحَشَرَ فَنَادَىٰ }
Akakusanya watu akanadi.

{ فَقَالَ أَنَا۠ رَبُّكُمُ ٱلۡأَعۡلَىٰ }
Akasema: Mimi ndiye Mola wenu Mlezi mkuu kabisa."

Moja ya makosa makubwa aliyokuwa akifanya Firauni tukiachilia mbali ukafiri na ushirikina alikuwa akiwaua watoto wa kiume wa kiisraeli kwa dhulma baada ya kuambiwa na makuhani wake kuwa kuna mtoto wakiume wa kiisraeli atazaliwa na ndiye atakuwa sababu ya kuondoka ufalme wake!.
Pamoja na ukafiri na dhulma alizozifanya Firauni katika nchi ya Misri.
Allaah alipomtuma Nabii Musa kwenda kumuonya Firauni kutokana na ukafiri wake hakumwambia aende sokoni na kukusanya raia na kuanza kuwapa maneno ya uchochezi dhidi ya serikali ya Firauni kv kusema labda Firauni ni kafiri.Firauni ni mbaya, Firauni anafanya dhulma, Firauni hamuogopi Mungu nk.
Allaah alimwambia Musa na ndugu yake Haruni waende kwa Firauni wakazungumze nae kwa busara , adabu na hikma.
Haya ameyataja Allaah katika suurat Twaha aya ya 43 na 44 alipowaambia Musa na Haruni:
{ ٱذۡهَبَآ إِلَىٰ فِرۡعَوۡنَ إِنَّهُۥ طَغَىٰ }
Nendeni kwa Firauni. Hakika yeye amepindukia mipaka ( kwa kujiita yeye ndiye mungu mkuu )

{ فَقُولَا لَهُۥ قَوۡلٗا لَّيِّنٗا لَّعَلَّهُۥ يَتَذَكَّرُ أَوۡ يَخۡشَىٰ }

MWAMBIENI MANENO LAINI huenda akazingatia au akaogopa."

Wanachuoni wanapotafsiri maana ya MWAMBIENI MANENO LAINI wanasema:

تفسير السعدي:
﴿فَقُولَا لَهُ قَوْلًا لَيِّنًا﴾ أي: سهلا لطيفا، برفق ولين وأدب في اللفظ من دون فحش ولا صلف، ولا غلظة في المقال، أو فظاظة في الأفعال،
Yaani Maneno ya upole , mepesi, na yasemwe kwa upole, ulaini na adabu katika kusema pasi na kutumia lugha chafu wala kuonyesha jeuri na pasi na kutumia lugha ngumu wala kuonyesha tabia mbaya.......''

Hizi ni adabu ambazo Allaah anawafundisha Musa na Haruni namna ya kuongea na Firauni anayeua watu na kujiita Mungu mkuu!
Na hivi ndivyo mwislamu anatakiwa kufanya pale kiongozi wake anapokosea.
Kwenda kuzungumza nae kwa upole na kwa adabu.

Siyo kusema maneno mabaya kama aliyosema mdude baada ya kutolewa gerezani baada ya mama Samia kuingia madarakani mdude alisema:

" Na huyu mama tutamnyoa kwa wembe uleule tuliomnyoa nao Magufuli!"
 
Eti wakuu nimejaribu tu kuwaza. Kwani bi mkubwa akiamua tu kutokugombea na kurudi kwao kizimkazi kupumzika kwani arapungukiwa na nini maana hatuna deni nae. Chini ya uongozi wake kila kitu kinakwenda halijojo, utekaji, ubabe uhamishaji masai NGORONGORO, kubinafsisha rasilimali za nchi kama bandai n.k. Binafsi natamani itokee miujiza aahirishe kugombea mhula mwingine kidogo tupumue na hili deni la trillion 97 si tumelikubali na tutajichanga na huyo rais ajaye tulilipe ila kwa sasa inatosha mama aende, tafadhali mama tunaomba uende ulipotufikisha panatosha mwache mwingine achukue usukani
Mkwe wake na chawa wataishije?
 
Back
Top Bottom