Ndio! na ndio maana unaona uchawa na ushabiki dhid yake ni mkubwa kuwahi kutokea tangu nchi imepata uhuru, wanajua uwezo wake na akili na wajua waende nae vip , kwanza anadanganyika korahisi hata kwa mambo mepesi na madogo hivyo wenzie wanatumia mwanya huo huo kuifilisi nchi huku wakimpigia vigeregere.Wanataka kinga au siyo?