tanzania kimataifa

Miss Universe Tanzania is a beauty pageant that was first held in 2007. It is the national contest to choose the representative for the Miss Universe pageant.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Anastahili Pongezi Na Heshima Kubwa Sana Kwa Hapa Alipolifikisha Taifa Letu. Amelivusha Nyakati Zote Ngumu Na Za Giza

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anastahili Pongezi,anastahili heshima na kuheshimiwa, anastahili kuungwa Mkono kwa kazi kubwa na njema aliyoifanya ya kulivusha Taifa letu katika nyakati Nguma na za...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kwasasa Tanzania imezikamata vizuri sana na kuziteka kabisa siasa za kimataifa.

    Mabunge ya ulimwenguni mzima yapo Tanzania, lakini pia viongozi wakuu wa kitaifa wa serikali sikivu ya CCM, kwa kipindi hiki, karibu wote wamesambaa kote ulimwenguni katika kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia na kutafuta fursa za kiuchumi, kisiasa na kijamii kwa maslahi mapana ya waTanzania...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Balozi Possi: Taswira ya Tanzania kimataifa ni nzuri sana

    Balozi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Geneva, Dkt. Abdallah Possi, ameeleza kuwa taswira ya Tanzania kimataifa bado ni nzuri, licha ya matukio yaliyojitokeza nchini tarehe 29 Oktoba kutajwa kuwa ni ya kusikitisha na ya bahati mbaya. Akizungumza katika kipindi cha Jana na Leo cha...
  4. figganigga

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu, ona ulivyo chafua Tanzania kimataifa

    Royal tour imegeuka kuwa roho toa. Serikali ya Tanzania imechafuka kimataifa. Watanzania hawatakuzomea uone aibu, bali watakulaani wewe na kizazi chako. 29.10.2025 haitasahaulika. Ndo kitu pekee wajivunia. Itatuchukua miaka kujenga ulipo bomoa. Chawa walaniwe, hakuambiii ukweli unavyo chukiwa.
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Sera ya Kutokuwa Upande: Nguvu ya Tanzania Kimataifa

    👉 Wapo baadhi ya wanaharakati uchwara waliokuwa wakitarajia kuona Dkt. Samia Suluhu Hassan akitumia lugha kali dhidi ya Marekani katika mahojiano yake ili kuonyesha upande anaouunga mkono. 👉 Kwa mtazamo wao, walidhani njia bora ya kuimarisha uhusiano na Urusi ni kuikosoa hadharani...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hakuna Simba wala Yanga, wote wameishia makundi CAF, ni mwanzo wa anguko kwa Soka la Tanzania kimataifa?

    Kwa mara ya kwanza baada ya miaka kadhaa ya mafanikio ya kujivunia mfululizo, kukua kwa soka la Tanzania kimataifa hatimaye klabu zote nne zimeondoshwa hatua ya makundi na kushindwea kuendelea Hatua ya Robo Fainali katika Michuano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika. Simba SC na...
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa Serikali Yetu, Ili Kuisafisha Tanzania Kimataifa, Tumieni Dekio la Scapegoat Mop, Kusafisha Madoa ya Damu ya October 29!.

    Wanabodi, Huu ni muendelezo wa ushauri wangu kwa serikali yetu, anzia hapa Ushauri kwa Serikali: Tangazeni hata idadi ya uongo ya waliofariki. Gazeti la “The Sun” limeiita Tanzania HOUSE OF BLOOD Ili kuisafisha nchi yetu Tanzania Kimataifa, dhidi ya kadhia ya kile kilichotokea kwenye yale...
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 D9 tubebe mabango ya kumuomba Trump ashinikize Uchaguzi Tanzania urudiwe

    D9 tubebe mabango ya kumuomba Trump ashinikize kurudiwa kwa uchaguzi Tanzania bila kusahau bendera ya Tanzania na USA kuonesha mshikamano atajibu. Nina uwakika mualiko huu wa umma moja kwa moja utarushwa kila pembe ya dunia utamshawishi Trump kuingilia na kuunga mkono watanzania. Hapa mtakuwa...
Back
Top Bottom