GE2025 Samia: Sisi hatuendi na 'Tone Tone' tunamimina Fedha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wa Wilaya ya Kondoa kuendelea kuamini chama hicho kwa kuchagua wagombea wake kuanzia ngazi ya urais, ubunge hadi udiwani, na kwamba chama hicho hakiendi na “tone tone,” bali kinamimina fedha.

Akihutubia mkutano wa kampeni leo Jumapili, Agosti 31, 2025, Samia amesema chama hicho kimejipambanua kwa kusimamia maendeleo ya wananchi kwa vitendo, huku akisisitiza kuwa CCM haendi kwa “tone tone,” bali inamimina fedha za maendeleo kwa miradi mikubwa ya kijamii na kiuchumi.

"Ndugu zangu wa Kondoa, hapa tuna mafiga matatu. Kwanza mimi mgombea urais, pia nawaombea kura wabunge wenu ambao ni vifaa vya kazi. Lakini pale tunapomimina fedha ndani ya Wilaya ya Kondoa, kwa sababu sisi hatuendi na tone tone, tunamimina fedha. Kwa hiyo, tunapomimina fedha ndani ya Kondoa, madiwani wenu ndiyo watakaosimamia utekelezaji wake. Kwa hiyo, naomba kura zenu kwa wote," amesema Samia.
 
Pamoja na kuwa tone tone lkn bado aliwaamrisha mahakama waizuie akainti ya Chadema. Ruzuku ambayo pia ni haki yao lkn aliamua kuizuia. Mungu anamuona kwa matamshi yake. Hatomaliza ziara zake kwenye maigizo haya bila Mungu kijibu maombi ya wenye haki.
 
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wa Wilaya ya Kondoa kuendelea kuamini chama hicho kwa kuchagua wagombea wake kuanzia ngazi ya urais, ubunge hadi udiwani, na kwamba chama hicho hakiendi na “tone tone,” bali kinamimina fedha.

Akihutubia mkutano wa kampeni leo Jumapili, Agosti 31, 2025, Samia amesema chama hicho kimejipambanua kwa kusimamia maendeleo ya wananchi kwa vitendo, huku akisisitiza kuwa CCM haendi kwa “tone tone,” bali inamimina fedha za maendeleo kwa miradi mikubwa ya kijamii na kiuchumi.

"Ndugu zangu wa Kondoa, hapa tuna mafiga matatu. Kwanza mimi mgombea urais, pia nawaombea kura wabunge wenu ambao ni vifaa vya kazi. Lakini pale tunapomimina fedha ndani ya Wilaya ya Kondoa, kwa sababu sisi hatuendi na tone tone, tunamimina fedha. Kwa hiyo, tunapomimina fedha ndani ya Kondoa, madiwani wenu ndiyo watakaosimamia utekelezaji wake. Kwa hiyo, naomba kura zenu kwa wote," amesema Samia.

Wanawachokoza chadema,

Wakiwajibu wanatekwa na kufunguliwa kesi za uhaini

Kwanza ameongea kwa kofia ya Rais au ya Mgombea 😄
 
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wa Wilaya ya Kondoa kuendelea kuamini chama hicho kwa kuchagua wagombea wake kuanzia ngazi ya urais, ubunge hadi udiwani, na kwamba chama hicho hakiendi na “tone tone,” bali kinamimina fedha.

Akihutubia mkutano wa kampeni leo Jumapili, Agosti 31, 2025, Samia amesema chama hicho kimejipambanua kwa kusimamia maendeleo ya wananchi kwa vitendo, huku akisisitiza kuwa CCM haendi kwa “tone tone,” bali inamimina fedha za maendeleo kwa miradi mikubwa ya kijamii na kiuchumi.

"Ndugu zangu wa Kondoa, hapa tuna mafiga matatu. Kwanza mimi mgombea urais, pia nawaombea kura wabunge wenu ambao ni vifaa vya kazi. Lakini pale tunapomimina fedha ndani ya Wilaya ya Kondoa, kwa sababu sisi hatuendi na tone tone, tunamimina fedha. Kwa hiyo, tunapomimina fedha ndani ya Kondoa, madiwani wenu ndiyo watakaosimamia utekelezaji wake. Kwa hiyo, naomba kura zenu kwa wote," amesema Samia.
K Vant za mchana hizo sisi tunaamua kumpuuza tu ila ajue kuna fedheha inamsubiri soon.
 
Naza kwa kweli hawezi kufanya kampeni. Kwa hili eneo ywezo wake ni mdogo sana. Kuhutumia mikutano na kufanya kampeni ni vitu viwili tofauti.

By the way, mbona tayari anaonekana kuchoka hata week haijaisha. Hiyo miezi 2 ataweza kweli?
 
Back
Top Bottom