PostGE2025 Samia si muuaji, ni baadhi diaspora wa Tanganyika waishio Ulaya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

SeliSelina

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2014
Posts
418
Reaction score
898

View: https://www.facebook.com/share/v/17qxXJt2YN/
kuna video nyingi sana, huo mfano mmoja.

Msikilizeni huyu dada, anaelezea kwa kirefu kiasi gani maandamano yalivyoandaliwa na baadhi ya diaspora wa Tanganyika ili kuiangamiza Tanzania, kisha lawama yote amepewa samia na kmkm, na watu kuwa na visasi kuwa wa zanzibar wamewaua. Na kupandikiza chuki mbaya sana, ili watoke kwenye hii lawama, na kuahidi watalipiza kisasi.

Nimepata mshtuko mkubwa yanayoendelea kwa baadhi ya Tanzania wanaoishi nje ya Tanzania, ambao sio wazalendo hata kidogo.

lmefika watu wamechangisha pesa nyingi kuwaletea baadhi ya hawa vijana ili wafanye uhalifu wa kuichoma Tanzania kweli kweli, yote hayo mtayasikilza mkimfollow huyu dada.

Lakini ubaya zaidi wamemtaja Tundu Lisu, hapo wamemchomea kabisa na chama cha chadema.
kwa kweli hili halikubaliki hata kidogo, kwa walichofanya diaspora ambao kumbe wanashirikiana na Mange Kimambi na diaspora waishio Marekani.

Mimi fikra zangu kuwa tunataka kuiondoa CCM madarakani na nini tunataka, kumbe watu fikra zao ziko kwengine, ndio maana maandamano yakafeli sana na wakafa watu wengi sana, kutokana kutokuwa na nia safi ya nchi yetu. Kuwa na chuki, hasada.
na kuwahusudu pia baadhi ya wa Tanzania wenzetu kwenye mali zao, hii ni sumu kwa kweli.

Tanzania ni nchi yetu tunatakiwa tuipende na tujifaharishe nayo pahala popote, lakini kumbe baadhi ya watanzania wanataka ichomoke kweli kweli
HAWA NI MAGAIDI
MAGAIDI
MAGAIDI
kitendo kilichofanywa kimenikasirisha kweli kweli.
HAWANA TOFAUTI NA HAO CCM AMBAO WANATEKA, WANAUA, WANAPORA, HAWAJALI N.K.

VIPI UTAANDAA MAANDAMANO YA KUITEKETEZA NCHI?

TUSITUKANANE MAANA SIJAMTUKANA MTU NILICHOKIELEZA NI KILE HUYU DADA AMBAE NA YEYE ALIKUWEMO KWENYE HUO MCHAKATO ILA AKAONA WENZAKE WANAENDA NJIA SIO AKAAMUA KUJITOA INAVYOONYESHA, NDIO AKALETA USHAHIDI WOTE KWA WANACHOFANYA WENZAKE AMBAO WANATAKA MAANDAMANO MENGINE.

IT IS VERY SAD

HII PICHA HAIHUSIANI NA NA HAYA MAELEZO,
IMG_0348.png
 
View attachment 3499012

Mbwa wewe
 
Na Yale matukio ya utekaji yaliandaliwa na Diaspora?
 
Wanapima upepo na kumtafuta ni Nani wa kumwangushia jumba bovu Kwa haya mauwaji yaliyo fanywa Kwa watanzania wa aina zote, hachomoki mtu:

Mara aah, maandamano yalifanywa na raia wa nje- santuri hiyo inaelekea kuchuja.

Sasa kuna hii- … baadhi ya diaspora ulaya… nayo itachuja.

Kiufupi- Samuya na wambura na wengineo, hawachomoki kirahisi rahisi hivyo- the guilty are always afraid, ndio maana maafisa 5 kutoka huko ICC ( 3 prosecutors and 2 forensic investigators) walizuiliwa kuingia Tanzania Siku ya ijumaa Kama ilivyolipotiwa na baadhi ya vyombo vya habari.

Nani alitoa amri ya shoot to kill?
Nani aliitekeleza?
Je hayo mauwaji ni ya kimbari na yana meet test ya kimbari?

Kazi ipo… Hamza Johari ( achana na habari za Mange na diaspora wake- it’s a distraction) Kwa sasa jipange tu kutafuta credible defence attorneys wa kimataifa kabla maji hayajazidi unga…sio wale wa father dead mother dead now job kutoka Ukraine. Hao hawatafua dafu huko icc…
 
Diaspora jau wanauza watu aisee eti wao wanafanya maandamano USA sisi tufanye huku kwenye shida 😅😅

Si wangekuja huku tuungane wote tutetee taifa letu pamoja huo ndo uzalendo
 
Kuwa na chuki, hasada.
na kuwahusudu pia baadhi ya wa Tanzania wenzetu kwenye mali zao, hii ni sumu kwa kweli.
Hapa eleza vizuri unaficha nini naa umekuja kueleza wazi humu nini wewe unaficha?
 
View: https://www.facebook.com/share/v/17qxXJt2YN/
kuna video nyingi sana, huo mfano mmoja.

Msikilizeni huyu dada, anaelezea kwa kirefu kiasi gani maandamano yalivyoandaliwa na baadhi ya diaspora wa Tanganyika ili kuiangamiza Tanzania, kisha lawama yote amepewa samia na kmkm, na watu kuwa na visasi kuwa wa zanzibar wamewaua. Na kupandikiza chuki mbaya sana, ili watoke kwenye hii lawama, na kuahidi watalipiza kisasi.

Nimepata mshtuko mkubwa yanayoendelea kwa baadhi ya Tanzania wanaoishi nje ya Tanzania, ambao sio wazalendo hata kidogo.

lmefika watu wamechangisha pesa nyingi kuwaletea baadhi ya hawa vijana ili wafanye uhalifu wa kuichoma Tanzania kweli kweli, yote hayo mtayasikilza mkimfollow huyu dada.

Lakini ubaya zaidi wamemtaja Tundu Lisu, hapo wamemchomea kabisa na chama cha chadema.
kwa kweli hili halikubaliki hata kidogo, kwa walichofanya diaspora ambao kumbe wanashirikiana na Mange Kimambi na diaspora waishio Marekani.

Mimi fikra zangu kuwa tunataka kuiondoa CCM madarakani na nini tunataka, kumbe watu fikra zao ziko kwengine, ndio maana maandamano yakafeli sana na wakafa watu wengi sana, kutokana kutokuwa na nia safi ya nchi yetu. Kuwa na chuki, hasada.
na kuwahusudu pia baadhi ya wa Tanzania wenzetu kwenye mali zao, hii ni sumu kwa kweli.

Tanzania ni nchi yetu tunatakiwa tuipende na tujifaharishe nayo pahala popote, lakini kumbe baadhi ya watanzania wanataka ichomoke kweli kweli
HAWA NI MAGAIDI
MAGAIDI
MAGAIDI
kitendo kilichofanywa kimenikasirisha kweli kweli.
HAWANA TOFAUTI NA HAO CCM AMBAO WANATEKA, WANAUA, WANAPORA, HAWAJALI N.K.

VIPI UTAANDAA MAANDAMANO YA KUITEKETEZA NCHI?

TUSITUKANANE MAANA SIJAMTUKANA MTU NILICHOKIELEZA NI KILE HUYU DADA AMBAE NA YEYE ALIKUWEMO KWENYE HUO MCHAKATO ILA AKAONA WENZAKE WANAENDA NJIA SIO AKAAMUA KUJITOA INAVYOONYESHA, NDIO AKALETA USHAHIDI WOTE KWA WANACHOFANYA WENZAKE AMBAO WANATAKA MAANDAMANO MENGINE.

IT IS VERY SAD

HII PICHA HAIHUSIANI NA NA HAYA MAELEZO,
View attachment 3499012

PUMBAFU MSENGE WEWE. UNAFIKI RI SISI TULIANDAMANA BILA KUJUA TUNATAKA NINI? UMBURULA WENU KAENI NAO HUKO CCM MUENDELEE KUFIRWA İLİ MPEWE VYEO. IDIOT.
 
Hivi wewe matako unaongea nini? Kuna Diaspora walioshika bunduki zaidi ya Abdul, Samia na hawara yake Kikwete? Acha kuharisha hapa......Maandamano ni haki yetu kikatiba, hatukubali huu uchaguzi wa kuwafunga wapinzani wake. Yaani anamuugopa hadi Luhaga Mpina? KWELI HUYU MAMA NI BOGUS, ANAJIHARISHIA OVYO OVYO. Hafai na hawezi kushinda hata uenyekiti wa kijiji, kila mahali tuliona kura zinaingizwa na wasimamizi wa kura ambao kimsingi ni makada wa CCM, tunataka uchaguzi wa haki.......Nikwambie tu, hata kama tutasimamishe jiwe yaani a stone na Samia, na uhakika "JIWE" litashinda.....Tumeshamchoka huyo devil Samia, Yezebali anayekunywa damu za watanganyika. Ongea sense wewe matako, sina unaharisha harisha hapa. SAMIA NDIYE MUUAJI WETU, ITAFIKA SIKU TUTAONA KAMA MTAKUWA NA RISASI ZA KUUA WATU MILLIONI 68, AJIFUNZE JINSI MUSOLINI WA ITALIA ALIVYOFANYWA. Ninakwambia huyo SAMUYA siku yake itafika. Atalia lakini machozi hayatamtoka.Mmezoea kuwaonea CHADEMA, kila kitu mnawasingizia, safari hii mtaona mbwa ninyi.
 
Back
Top Bottom