POTOSHI Samia: Ngorongoro tumewapa Ndugu zetu waarabu wawekeze

POTOSHI Samia: Ngorongoro tumewapa Ndugu zetu waarabu wawekeze

Uhalisia wa taarifa hii umepindishwa ili kupotosha
Samia anasema tuna undugu na Waarabu; lakini ni tangu lini tumekuwa na undugu na Waarabu? Kwahiyo hapa anataka kusema kwamba amewapa waarabu wawekeze kwasababu ni ndugu zake!? Kwanini Rais wa hii nchi akili zake zimejaa undugu na nepotism kwenye kufanya maamuzi ya msingi ya nchi !?

Hafai kuwa kiongozi.

Ngorongoro.jpg
 
Tunachokijua
Machi 12, 2026 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan alishiriki katika hafla ya kupokea ripoti ya ya tume ya mgogoro wa ardhi Ngorongoro na kisha kupata nafasi ya kuhutubia.

Madai

Kupitia mitandao ya kijamii ikiwemo Instagram imeibuka grafiki yenye utabulisho wa kituo cha ITV ikiwa na inayodaiwa na nukuu ya Rais Samia akisema kuwa "Ngorongoro tumewapa ndugu zetu waarabu wawekeze.

Uhalisia: Potoshi

Ufuatiliaji umebaini kuwa grafiki hiyo si halisi na haijachapishwa na kituo cha ITV kama inavyoonokeana.

Grafiki hiyo ni ya kughushi na haijachapishwa na ITV na pia maneno hayo hayajatamkwa na Rais Samia katika tukio hilo la kupokea ripoti.

Ufuatiliaji kwa njia ya kidigitali umebaini kuwa hakuna chanzo chochote kilichochapisha taarifa ama nukuu hiyo kama inavyodaiwa.
Samia anasema tuna undugu na Waarabu; lakini ni tangu lini tumekuwa na undugu na Waarabu? Kuna namna fulani huyu mtu akili zake hazipo sawa. Kwahiyo hapa anataka kusema kwamba amewapa waarabu wawekeze kwasababu ni ndugu zake!? Kwanini Rais wa hii nchi akili zake zimejaa undugu na nepotism kwenye kufanya maamuzi ya msingi ya nchi !?

Hafai kuwa kiongozi.

View attachment 3557139
Aende Sasa muda huu 😂🤣😅
 
Kuna kipindi alishawahi sema akiwa bado waziri alikamatwa na Trafiki wakamwambia hawa wa mama wa kiarabu wasumbufu sana....aliongea kama kujisifu kwamba anamuonekano wa kiarabu...swali langu ndugu zanguni huyu bibi andunje ana uarabu wowote kweli,haya ndo hata Mseveni anawashangaa wasudani kujiita waarabu wakati weusi mpaka mkunduni
Labda waarabu wa Bonyokwa.
 
Waarabu sio ndugu zetu

Waarabu ni ndugu zake kwa upande wa mama yake na ndio maana kuna picha alipiga na mjomba wake mwarabu alipotembelea huko Oman!!
Kitu ambacho Samia hakimo kichwani mwake ni uchungu walionao waarabu wa kufukuzwa Zanzibar mwaka 1964 kwa kupitia mapinduzi!! Mpaka leo hii wametafuta njia ya kutaka kurudi na wameipata kwa kupitia kwa Samia [ mjomba wao] na Indio maana wakaanza kwa kuwekeza kwenye bandari kupitia Dp World ili waweze kuthibiti kama wanapoingiza silaha nchini hapo watakapoamua kuja kukomboa nchi yao ya Zanzibar!! Halafu pia amewapa wajomba zake hao kusimamia biashara ya Kilimanjaro International Airport which is a Gateaway ya northern circuit ya Tanganyika ; huko waarabu wanapitisha wanyama wetu wa porini na kuwapeleka Uarabuni na ndio maana siku hizi huko Uarabuni kuna zoo zilizojaa wanyama wote wanaopatikana Serengeti ; hivyo watalii wanaishia huko na hawaji tena kuwaangalia hao wanyama nchini mwetu which is a big loss to the country's tourism revenue.
 
Back
Top Bottom