ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,080
- 84,965
- Thread starter
- #21
Shida Yako binafsi na hakuna mahala aliposema umpende maana humuongezei kitu Wala kumpunguzia.Samuya hata angenipa maku namchukia balaa!!!.
Shida Yako binafsi na hakuna mahala aliposema umpende maana humuongezei kitu Wala kumpunguzia.Samuya hata angenipa maku namchukia balaa!!!.
Muone nini?
Toa ujinga wako unadhani wote ni mbulula kama wewe? Kwa uchumi gani huo ?Kikwete alikuwa anaajiri mpaka 68000 Kwa mpigo
Samia ndio Rais Aliyetoa Ajira Nyingi Kwa Wananchi Kuliko Rais mwingine Yeyote Katika Historia ya Tanzania.
Yaani Toka 2021 amekuwa anamwaga maelfu ya Ajira Kila mwaka Kwa Vijana kiasi kwamba kuwakuta jobless mtaani imekuwa nadra sana.Pia Soma (1) Rais Samia Ni Mwamba Kwelikweli Na Chaguo La Mungu. Atoa Kibali kingine cha Ajira Elfu 41,500 | JamiiForums Rais Samia Ni Mwamba Kwelikweli Na Chaguo La Mungu. Atoa Kibali kingine cha Ajira Elfu 41,500
Jakaya alitoa Ajira lakini Mama Samia ametisha sana aisee.
Hapa ndipo Ile Kauli ya Nabii haikubaliki nyumbani inabamba.
View: https://www.threads.com/@kajenjere_media/post/DU2lnjmjHpD?xmt=AQF0tPTE_eb0qsmuIoJPoLsTjbr5715pvG3cnoP8bEAw7skMZXAq8sCKZPNkpsnvcGYannI&slof=1
Mimi Nampa kongole saizi akiwa anasoma na kuona Uzi huu 👇👇Huwa tunawakumbuka wakishastaafu
Samia amelainisha mikate Kwa maelfu ya Ajira kede kede ya Watoto wenu waliokuwa ma joblessHakuna mkate mgumu mbele ya chai hata kama imepoa
Samia amelainisha mikate Kwa maelfu ya Ajira kede kede ya Watoto wenu waliokuwa ma jobless
View: https://www.instagram.com/p/DVHGFQWCOoo/?igsh=Y3AyeGZhMW9oZ24w
Huna hojaLucaasssss kazana unapigwa bao hukuuu 😀😀😀😀