Samia kwa makini yasijekukukuta kama ya Rais John Kennedy wa Marekani

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,126
Reaction score
9,593
Kubali ukatae kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya CCM. Kuna kundi kubwa linalompinga Samia ndani ya CCM. Hakuna kitu kibaya kama kuwa na mpinzani wa ndani hii ni kitu mbaya sana. Mtu anae kujua vizuri ni rahisi kukumaliza ..

Donald Trump pamoja na kuwa na Secret service protection ila hali manusra wahuni wamle kichwa.

1962 Kuna watu kwenye serikali ya John Kennedy hawakukubali baadhi ya mienendo na misimamo yake, pamoja na kuwa na Secret service wahuni walimla kichwa

Rais Samia kuwa makini wapinzani wako wanakujua in and out. Kama hawakutaki kaa kando. Ukiendelea kungangania Hawa watu watakufanya vibaya au kukuhujumu Ili ukwame

Mto wa Mbu
Illinois -USA
 
Kubali ukatae kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya CCM. Kuna kundi kubwa linalompinga Samia ndani ya CCM. Hakuna kitu kibaya kama kuwa na mpinzani wa ndani hii ni kitu mbaya sana. Mtu anae kujua vizuri ni rahisi kukumaliza ..

Donald Trump pamoja na kuwa na Secret service protection ila Ali manusra wahunu wamle kichwa.

1962 Kuna watu kwenye serikali ya John Kennedy hawakukubali baadhi ya mienendo na misimamo yake, pamoja na kuwa na Secret service wahuni walimla kichwa

Rais Samia kuwa makini wapinzani wako wanakujua in and out. Kama hawakutaki kaa kando. Ukiendelea kungangania Hawa watu watakufanya vibaya au kukuhujumu Ili ukwame

Mto wa Mbu
Illinois -USA
Shhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh, usimstue mwache azidi kujiharibia watu tumekaa mkao wa full shwangwe huku.
 
Kubali ukatae kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya CCM. Kuna kundi kubwa linalompinga Samia ndani ya CCM. Hakuna kitu kibaya kama kuwa na mpinzani wa ndani hii ni kitu mbaya sana. Mtu anae kujua vizuri ni rahisi kukumaliza ..

Donald Trump pamoja na kuwa na Secret service protection ila hali manusra wahunu wamle kichwa.

1962 Kuna watu kwenye serikali ya John Kennedy hawakukubali baadhi ya mienendo na misimamo yake, pamoja na kuwa na Secret service wahuni walimla kichwa

Rais Samia kuwa makini wapinzani wako wanakujua in and out. Kama hawakutaki kaa kando. Ukiendelea kungangania Hawa watu watakufanya vibaya au kukuhujumu Ili ukwame

Mto wa Mbu
Illinois -USA
Hongera

Kennedy aliuwawa na chama chake?
 
"Kiburi hutangulia uangamivu; Na roho yenye kutakabari hutangulia maanguko. Afadhali kuwa na roho ya unyenyekevu pamoja na maskini, Kuliko kugawanya nyara pamoja na wenye kiburi. Atakayelitafakari neno atapata mema; Na kila amwaminiye BWANA ana heri"
 
Back
Top Bottom