kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,496
- 6,794
Kuna watu wamenweka hapo kwa maslahi mapana yao. Wale waliompendekeza awe makamu wakati wa jiweUkitafakari kwa makini hii serikali ni upotevu mkubwa wa mda na rasilimali aisee.
Hatujui nini kinafanyika mipango haieleweki kabisa n̈chi haiendi aisee. unajiuliza alitaka kuwa raisi ili iweje kutupotezea mda.ama vipi Naihurumia sana Tanganyika yangu.