PostGE2025 Samia aligombea Urais ili iweje?

PostGE2025 Samia aligombea Urais ili iweje?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hahahah nchi haendi upo kwenye vijiwe vya mbege watu wanatumia fursa, labda nikuulize ulishawahi kufanya mradi gani ukakwamishwa na serikali au ulishawahi kutafuta shamba ukakosa? Au uliwahi kufungua duka Kariakoo TRA wakakwamisha? Wewe unashinda JF unalialia tu unadhani Heche atakuletea pesa.
Mmebaki kukimbizana na machinga huku mafisadi wakiwachangia pesa kwa mabilioni na kodi hawalipi.
 
ndio maana mnalalamika kila siku kwakuwa mshapuuzwa sana, mkiona miaka 30 ya bongo fleva mnalalamika, mkiona miss grand mnalalamika, mkiona watu wanapenda simba na yanga mnalalamika, nchi inakimbia kwa kasi ya ajabu sana bwawa la nyerere limekamilika kutoka silimia 33 hadi 100, sgr inafika kigoma soon, nenda tanesco kaombe takwimu wananchi wangapi wameunganishiwa umeme mwezi septemba na oktoba 2026.
Nchimbi yuko wapi?
 
Ukitafakari kwa makini hii serikali ni upotevu mkubwa wa mda na rasilimali aisee.

Hatujui nini kinafanyika mipango haieleweki kabisa n̈chi haiendi aisee. unajiuliza alitaka kuwa raisi ili iweje kutupotezea mda.ama vipi Naihurumia sana Tanganyika yangu.
Kumfurahisha Kikwete na wanamtandao
 
kwahiyo hujaoga na hujanywa maji toka 17 machi 2021?
Tunaoga kwa wiki mara moja huku wakati wa Magu maji yanatoka Nyumba muda wote mpaka raha, lakini kipindi cha huyu Watanganyika tunateseka Bill inakuja elf 30 na wakati huduma ya kupata maji kwa mwezi tumepata maji mara 3, Wakati wa Magufuli maji yanatoka mwezi mzima na Bill inakuja elfu 20.
 
Uchumi gani mkuu kama maji tu ya kutumia Majumbani hayatoki, baada ya Magufuli kufa huduma zote za kijamii ziimekufa
nenda kwenye mamlaka
Hiyo inaitwa koma mbwembwe zote kwisha! Polepole yuko wapi? Ukiona huwezi kujibu maswali hayo basi nawewe chawa haupo salama amini nakwambia
nipo salama asilimia 100 naenda popote ktk nchi hii, polepole statement yake ya mwisho alisema yupo cuba hajalipwa hela za kurudi tz, labda ww utwambie alikwambia yuko wapi?
 
Tunaoga kwa wiki mara moja huku wakati wa Magu maji yanatoka Nyumba muda wote mpaka raha, lakini kipindi cha huyu Watanganyika tunateseka Bill inakuja elf 30 na wakati huduma ya kupata maji kwa mwezi tumepata maji mara 3, Wakati wa Magufuli maji yanatoka mwezi mzima na Bill inakuja elfu 20.
na sisi wakati huu maji yanatoka kila siku na bill inakuja kwa kadri tunavyotumia maisha mazuri, kama wakati wa magu maisha yalikuwa mazuri kwann walimkataa na kwann alivyokufa walikunywa bia na nyama choma na kwann walikuwa wanamtukana?
 
Wananchi hawajawai kumkataa Magu ndiyo maana alikua anawatembele kila kona ya nchi na kupata nafasi ya kuongea nao na kutatua changamoto zao, Magu hakuwaogopa Wananchi wake na hajawahi kujifungia ndani kuogopa Wananchi waliompigia kura za Kishindo.
 
Kwahiyo shida za nchi hii ziliisha tarehe 17.3.2021? kulikuwa hakuna masikini, kulikuwa hakuna barabara mbovu, watanzania wote walikuwa wana umeme, watanzania wote walikuwa na maji safi na salama kipindi cha magu? magu alikuwa hajui uongozi ndio maana alikuwa anakwenda na hakuna kilichofanyika samia anatuma wasaidizi wake unaona kazi ya mwigulu, makamo na mawaziri? magu kaacha bwawa la nyerere asilimia 33 katika miaka 5 lkn samia miaka 3 kamalizia asilimia 100 what a performance!!!!!!! magu alizuia watumishi kupanda madaraja na hakuongeza increment ni unyama wa ahli ya juu sana angalia asa hivi nchi imefunguka watu wananeemeka kila kukicha, magu alifanya maisha kuwa magumu sana imagine mtumishi amekaa miaka 7 hajapandishwa cheo ni unyama sana Mungu ametusaidia watanzania, tena amagu alikuwa anajisfia kipindi chake kuwa vyma vitakaza.
 
Hahahah nchi haendi upo kwenye vijiwe vya mbege watu wanatumia fursa, labda nikuulize ulishawahi kufanya mradi gani ukakwamishwa na serikali au ulishawahi kutafuta shamba ukakosa? Au uliwahi kufungua duka Kariakoo TRA wakakwamisha? Wewe unashinda JF unalialia tu unadhani Heche atakuletea pesa.

Heche anakutoa roho sana. Linda mgongo wako
 
SAMIA kaudhihirisha ulimwengu ya kwamba ,Mwanake hafai kuw
Hahahah nchi haendi upo kwenye vijiwe vya mbege watu wanatumia fursa, labda nikuulize ulishawahi kufanya mradi gani ukakwamishwa na serikali au ulishawahi kutafuta shamba ukakosa? Au uliwahi kufungua duka Kariakoo TRA wakakwamisha? Wewe unashinda JF unalialia tu unadhani Heche atakuletea pesa.
Du bonge la point.
a kiongoziN
 
Back
Top Bottom