The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,143
- 22,079
- Thread starter
- #21
Wahuni siyo watu wazuri hata kidogo
for sure
Wahuni siyo watu wazuri hata kidogo
for sure
True we are lostSAMIA kaudhihirisha ulimwengu ya kwamba ,Mwanamke hafai kuwa kiongozi!
unajaua maana ya mipango na maendeleo lakini au unabwabwaja tuHahahah nchi haendi upo kwenye vijiwe vya mbege watu wanatumia fursa, labda nikuulize ulishawahi kufanya mradi gani ukakwamishwa na serikali au ulishawahi kutafuta shamba ukakosa? Au uliwahi kufungua duka Kariakoo TRA wakakwamisha? Wewe unashinda JF unalialia tu unadhani Heche atakuletea pesa.
Ili mstaafu aendelee kuvuna Mtwara, Geita nkUkitafakari kwa makini hii serikali ni upotevu mkubwa wa mda na rasilimali aisee.
Hatujui nini kinafanyika mipango haieleweki kabisa n̈chi haiendi aisee. unajiuliza alitaka kuwa raisi ili iweje kutupotezea mda.ama vipi Naihurumia sana Tanganyika yangu.
Mbona hata dini yake inakataza mwanamke kuwa kiongoziSAMIA kaudhihirisha ulimwengu ya kwamba ,Mwanamke hafai kuwa kiongozi!
Ushaadh za siku, tuache unafki Sheakh kwa uwezo wa huyu mama tumepigwa parefu kama nchi!.Hahahah nchi haendi upo kwenye vijiwe vya mbege watu wanatumia fursa, labda nikuulize ulishawahi kufanya mradi gani ukakwamishwa na serikali au ulishawahi kutafuta shamba ukakosa? Au uliwahi kufungua duka Kariakoo TRA wakakwamisha? Wewe unashinda JF unalialia tu unadhani Heche atakuletea pesa.
Hii ndo akili ya wanaoliangamiza Taifa na vijisababu hivi vya kipumbavuHahahah nchi haendi upo kwenye vijiwe vya mbege watu wanatumia fursa, labda nikuulize ulishawahi kufanya mradi gani ukakwamishwa na serikali au ulishawahi kutafuta shamba ukakosa? Au uliwahi kufungua duka Kariakoo TRA wakakwamisha? Wewe unashinda JF unalialia tu unadhani Heche atakuletea pesa.
Kikwete oyeeeUkitafakari kwa makini hii serikali ni upotevu mkubwa wa mda na rasilimali aisee.
Hatujui nini kinafanyika mipango haieleweki kabisa n̈chi haiendi aisee. unajiuliza alitaka kuwa raisi ili iweje kutupotezea mda.ama vipi Naihurumia sana Tanganyika yangu.
Wamefanikiwq kwa asilimia 100Huyo aliwekwa tu pale na wahuni wapitishe mambo yao.
Bwawa la Nyerere kutoka asilimia 33 hadi asilimia 100, sgr inafika Kigoma unasema nchi haiendi upo sawa kweli? au kwako ni lazima kuonesha chuki?Ukitafakari kwa makini hii serikali ni upotevu mkubwa wa mda na rasilimali aisee.
Hatujui nini kinafanyika mipango haieleweki kabisa n̈chi haiendi aisee. unajiuliza alitaka kuwa raisi ili iweje kutupotezea mda.ama vipi Naihurumia sana Tanganyika yangu.
It is confusion!🤣🤣🤣🤣Kwani imekuwaje bwashee!
Kuna muda hadi kufiwa anafurahia ili siku ziende 🤣🤣🤣🤣🤣 yeye mwenyewe haelewi huku taarifa za habari haramu ya tbc zinaongelea dira dira sijui mara ooooh 2050 ni upuuuuzi pro maxUkitafakari kwa makini hii serikali ni upotevu mkubwa wa mda na rasilimali aisee.
Hatujui nini kinafanyika mipango haieleweki kabisa n̈chi haiendi aisee. unajiuliza alitaka kuwa raisi ili iweje kutupotezea mda.ama vipi Naihurumia sana Tanganyika yangu.
Fitina gani ngedere wewe? mshenzi kweli wewe! nini usichoelewa hapa? Kum.......nina weyeeee🥸🥸🥸Majungu na fitina ndio kazi yako.
Mpuuzi mbwa jike weye! saivi kuna mradi gani wa wamaana unaendelea kama sio kuwalazishwa TBC kusemea mabwawa na dira za 2050 feki zisizo na ukweli wowote! Nani mnadanganya kwa sasa kila mtu anaona mbilinge zenu aibu hamuoni!Hahahah nchi haendi upo kwenye vijiwe vya mbege watu wanatumia fursa, labda nikuulize ulishawahi kufanya mradi gani ukakwamishwa na serikali au ulishawahi kutafuta shamba ukakosa? Au uliwahi kufungua duka Kariakoo TRA wakakwamisha? Wewe unashinda JF unalialia tu unadhani Heche atakuletea pesa.
Utakuwa upo kwenye siku zako siyo bure.Mpuuzi mbwa jike weye! saivi kuna mradi gani wa wamaana unaendelea kama sio kuwalazishwa TBC kusemea mabwawa na dira za 2050 feki zisizo na ukweli wowote! Nani mnadanganya kwa sasa kila mtu anaona mbilinge zenu aibu hamuoni!
Wewe ni mtaalamu sana wa siku za wanaume! Linda mgongo wako utakuja kuutoa siku si nyingiUtakuwa upo kwenye siku zako siyo bure.