Samani za Ikulu zinanipa utata kidogo

Samani za Ikulu zinanipa utata kidogo

Mkuu Kifyatu, kwanza asante katika concern yako kuhusu ubora na ustadi wa thamani za Ikulu yetu!.

Kwenye utumishi wa umma, kuna kitu kinaitwa Standing Orders, ambazo ndizo kanuni za uendeshaji wa serikali.

Kwenye kanuni hizo, serikali mpya ikiingia madarakani, thamani zote zinabadilishwa kuendana na taste ya awamu mpya!, na sio thamani tuu, hatu magari!, bajeti hiyo iliishatengwa na awamu iliyotangulia!.

Hili sii kwa rais tuu bali hata kwa wale wakuu 5, mawaziri, na wakuu wa vyombo vya dola!.

Wakati wa Mkapa, kampuni iliyo supply samani za Ikulu ni ile Gerry Supper Furnichers iliyopo pale Mlimani City, samani zake ni za kitanzania kwa asilimia 100% save for fabrics only na kiukweli ni nzuri!, mmiliki ni mama mjane fula alikuwa ni best na Mkapa na ndio Best Man na Matorn wa ndoa yao!, hivyo hata kama alipata tender kwa upendeleo maalum lakini ame deliver!.

Naunga mkono hoja ya kushindanisha ubunifu among the local producers the best design na good finishing ndio achukuliwe, ila amini usiamini hili likifanyika, makapuni yatakayoshinda yatakuwa yale yale ya nje yaliajiri local talents na kufanya finishing kwa mashine za kisasa kama kina Ocean Kiss, Cleopatra, Carwin etc ambao wao wana expot very high quality prroducts, viwanda vyetu vya kina fundi Magungo pale Keko tutabaki tukikodoa tuu macho!.

VETA, JKT na Magereza wanatengeneza samani nzuri tuu ila kwenye ubunifu ni finishing, hawawezi kucompete na Wachina wa Ocean Kiss, wa Misri wa Cleopatra, Wa Lebanon wa Derma au wale wazungu walioko njia ya Coca cola!.

The way forward ni kwa seikali yetu kuyalazimisha mabenki yetu yatoe mikopo ya modern finishing equipments kwa wazalishaji samani wazawa ili tuzalishe ile ile quality ya ready made! na hitaji la kuilazimu serikali kununua samani za local pia liwekwe kwenye standing orders!.

Pasco

Pasco unaonyesha unajua mengi ila habari yako haijakamilika. Umesema wakati wa Mkapa ni local supplier alipewa tender hiyo. Jee wakati wa JK hiyo tender alipewa nani? Tusiruke habari hapo kati na kujsadili ya sasa tutapoteza mtiririko
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Kifyatu, kwanza asante katika concern yako kuhusu ubora na ustadi wa thamani za Ikulu yetu!.

Kwenye utumishi wa umma, kuna kitu kinaitwa Standing Orders, ambazo ndizo kanuni za uendeshaji wa serikali.

Kwenye kanuni hizo, serikali mpya ikiingia madarakani, thamani zote zinabadilishwa kuendana na taste ya awamu mpya!, na sio thamani tuu, hatu magari!, bajeti hiyo iliishatengwa na awamu iliyotangulia!.

Hili sii kwa rais tuu bali hata kwa wale wakuu 5, mawaziri, na wakuu wa vyombo vya dola!.

Wakati wa Mkapa, kampuni iliyo supply samani za Ikulu ni ile Gerry Supper Furnichers iliyopo pale Mlimani City, samani zake ni za kitanzania kwa asilimia 100% save for fabrics only na kiukweli ni nzuri!, mmiliki ni mama mjane fula alikuwa ni best na Mkapa na ndio Best Man na Matorn wa ndoa yao!, hivyo hata kama alipata tender kwa upendeleo maalum lakini ame deliver!.

Naunga mkono hoja ya kushindanisha ubunifu among the local producers the best design na good finishing ndio achukuliwe, ila amini usiamini hili likifanyika, makapuni yatakayoshinda yatakuwa yale yale ya nje yaliajiri local talents na kufanya finishing kwa mashine za kisasa kama kina Ocean Kiss, Cleopatra, Carwin etc ambao wao wana expot very high quality prroducts, viwanda vyetu vya kina fundi Magungo pale Keko tutabaki tukikodoa tuu macho!.

VETA, JKT na Magereza wanatengeneza samani nzuri tuu ila kwenye ubunifu ni finishing, hawawezi kucompete na Wachina wa Ocean Kiss, wa Misri wa Cleopatra, Wa Lebanon wa Derma au wale wazungu walioko njia ya Coca cola!.

The way forward ni kwa seikali yetu kuyalazimisha mabenki yetu yatoe mikopo ya modern finishing equipments kwa wazalishaji samani wazawa ili tuzalishe ile ile quality ya ready made! na hitaji la kuilazimu serikali kununua samani za local pia liwekwe kwenye standing orders!.

Pasco

Pasco unaonyesha unajua mengi ila habari yako haijakamilika. Umesema wakati wa Mkapa ni local supplier alipewa tender hiyo. Jee wakati wa JK hiyo tender alipewa nani? Tusiruke habari hapo kati na kujadili ya sasa tutapoteza mtiririko
 
Kwani zikipendeza ndio madawa yataongezeka mahospitalini? We naona utakuwa ulikosa ulaji Wa kuagiza hayo masofa toka China, ulaji wakapewa walalahoi pale keko, we tulia tu uisome namba
 
Kwakweli pamoja na yote wakati wa utawala wa Msoga Ikulu kulikuwa na furniture bomba sana.
 
Mkuu Pasco asante sana kwa kutoa taarifa na mafundisho haya hapa. Tupo pamoja sana. Watu wanaosema muonekano wa samani sio kitu bora uongozi bora nawashangaa sana.

Once again - Thank You. I hope wengi wataelimika na ulivyoandika.
 
Last edited by a moderator:
Watu mnapenda kuangalia issue za kipuuzi kabisa. Mtoa mada ndio kama wale wanaotizama kila mtu wanaekutana nae kavaa shati, suruali ama mkanda wa design gani au bei gani. Haya ni mambo ya kiswahili kabisa. Kama unataka kochi nzuri si ununue na uweke kwako, au piga picha sitting room yako ujitangaze hapa JF kwa picha.

Watu wanafikiri jinsi ambavyo taifa linaweza songa mbele, wewe unafikiria raisi kavaa suti gani au anakalia kochi gani. Waswahili utawajua tu.

Mkuu, kama unakwenda kwenye usaili wa kazi moja nzuri sana lakini asubuhi unavaa shati lililojikunjakunja bila kupigwa pasi. Hoja yako ni kuwa "si mradi nimevaa shati, kwani wanataka ujuzi wangu kichwani au shati langu?" ninakuhakikishia utaikosa hiyo kazi.

Kama huu mfano bado haujakuingia akilini mwako basi, I give up.

cc. cleverbright
 
Last edited by a moderator:
Pasco unaonyesha unajua mengi ila habari yako haijakamilika. Umesema wakati wa Mkapa ni local supplier alipewa tender hiyo. Jee wakati wa JK hiyo tender alipewa nani? Tusiruke habari hapo kati na kujadili ya sasa tutapoteza mtiririko
Nilitokea kumjua supplier wa awamu ya Mkapa kwa sababu huyo mama alinipa tenda ya promo sasa katika kuandaa hiyo promo ilibidi kupata picha za products zake, ndipo nikatinga ikulu!.

Sikubahatika kumjua supplier wa baada ya Mkapa ila pia niko very interested kujua, kila baada ya miaka 5, samani zinabadilishwa, zile za zamani huwa zinapelekwa wapi?!. Magai ndio huwa najua wanastaafu nayo kama zawadi, au na samani nazo wanaondoka nazo?!.

Pasco
 
Kwani zikipendeza ndio madawa yataongezeka mahospitalini? We naona utakuwa ulikosa ulaji Wa kuagiza hayo masofa toka China, ulaji wakapewa walalahoi pale keko, we tulia tu uisome namba

Kwani nyumbani kwako ukipaka nyumba rangi nzuri na kuweka makochi mazuri ndio chakula/lishe ya watoto wako itaongezeka maradufu?

Nimejaribu kujieleza kwa lugha nyepesi sana lakini naona hukunipata labda huo mfano utasaidia.
 
Mkuu, kama unakwenda kwenye usaili wa kazi moja nzuri sana lakini asubuhi unavaa shati lililojikunjakunja bila kupigwa pasi. Hoja yako ni kuwa "si mradi nimevaa shati, kwani wanataka ujuzi wangu kichwani au shati langu?" ninakuhakikishia utaikosa hiyo kazi.

Kama huu mfano bado haujakuingia akilini mwako basi, I give up.

cc. cleverbright

mfano wako huu ni " mfu " hebu jaribu kuutafuta mwingine.
 
Sasa mkuu hebu tuwekee vitu vya maana vya kuongoza nchi tuvijadili hapa.

Hivi kama Rais angekuwa anavaa suruali za mlegezo (zinazoonesha chupi) au nguo zisizovutia tutakaa kimya tu kwa sababu suruali haiongozi nchi?

Aesthetics ni sehemu ya uongozi bora.

Unaweza kupika ugali wako na ukaulia ukiwa kwenye chungu na lishe itakuwa palepale tu. Lakini tunaamua kuupakua na kuuweka kwenye sahani na kuulia mezani - aesthetics.

Huwezi kusema kuwa, ilmradi unapata lishe basi sahani, kijiko na meza sio muhimu tena.
Utapata shida na matusi sana kwenye hii post yako japo ina hoja nzuri sana kwani Tanzania watu wamezoea bora liende
 
Any difference

barack-obama-souza_3539953k.jpg

s2.JPG
 
Any difference

barack-obama-souza_3539953k.jpg

s2.JPG

Yes, there is a difference - WORKMANSHIP.

Ufanisi wa makochi ya Ikulu yetu ni wa hali ya chini sana. Ni kama yametengenezwa na mwanafunzi anayeelekea kufeli hilo somo.

Please, compare the set in Obama's residence to those at our Ikulu. If you don't see any difference between them then we (Tanzanians) are in much bigger trouble than I thought.

The sad thing is that we do have people in Tanzania who can produce quality sets the likes of Obama's. The question is why didn't Magogoni choose them, as an advertisement to TZ skills, instead of these rejects masquerading as Ikulu official sets.
 
Last edited:

Mkuu Kifyatu, unachokifanya hapa ni kutupa somo la uzalendo, japo wengine hawakuelewi unazungumzia nini, pia waelewa tupo na tunakwenda pamoja!.

Hili la vinyago, ni kweli nililishihidia, ila hao wa Kenya, hawachongi wao, wananunua Tanzania na kwenda kufanya smooth finishing kwao. Nenda pale mpaka wa Namanga, soko kubwa la vinyago liko upande wa Kenya, upande wa Tanzania, we have nothing!.

Enzi zangu nikiwa mwandishi wa habari, niliteuliwa kuandamana na kundi la wafanya biashara wa Tanzania kwenda nchini Marekani kwenye exploration tour ya fursa za soko la Agoa. Wamarekani wameonyesha type ya bidhaa, size, quantity na aina ya packaging, Watanzania tukapewa fursa kuingiza bure bila ushuru wowote.

Kuna kina mama wa Mtwara washona mikela ya majani fulani, wakapewa order ya kudeliver a 40 feet conteiner within 90 days. Webgine walipata orders za vinyago, vikapu, bidha za kitamaduni. Tukarudi bongo, hatua ya kwanza wakaomba msaada wa TCCIA kuwasaidia kupata mikopo ili waweze kuzalisha large quantities, walikosa!. Zile Orders za Tanzania zinakuwa on line kwa 90 days huku nchi za Kenya na Uganda pia zina hiyo fursa wanaona odes zote za mahitaji ya Wamerani.

90 days zikishapita, orders hizo zinakuwa open kwa nchi nyingine yoyote yenye fursa ya Agoa, ku supply mzigo huo. Siku 90 zilipopita kwa Tanzania kushindwa ku supply fursa ilifunguka kwa wengine!. Huwezi amini, Wakenya waliingia na samples hadi Mtwara na Lindi, wakawalipa wale kina mama wa kule, wakasukiwa mikeka na kuinunua kwa bei ya chini sana, wakaenda nayo kwao Nairobi, wakjaishonea lining tuu ya pembeni na kuifanyia brading, "producs of Kenya", wakajaza 40 ft containes na kuingiza mzigo Marekani!, mwaka mmoja baadae tunarudi Marekani kupima matokeo ya fursa za Agoa, tunakuta bidhaa za Kitanzania zimetapakaa Marekani lakini ni product from Kenya!.

Kama ilivyo Tanzanite kwenye soko la dunia, japo Tanzanite inapatikana Tanzania pekee, India ndio nchi inayoongoza kwa uuzaji wa Tanzanite, ukifuatiwa na Afrika Kusini, Kenya, Tanzania ni ya 4!.

[h=3]Tanzania is ranked the fourth largest exporter of Tanzanite ...
[/h]Pasco
mkuu nimekuelewa sana, Sasa hawa TCCIA wanakazi gani?
Nimefuatiliainaonekana tanzania kupeleka vitu huko tulishuka kutoka 18.8% mwaka 2000 hadi around 5% hivi karibuni kabla ya kusainiwa mkataba mpya na Obama 2015. Wkati huohuo kenya ikapanda kutoka 56% hadi 95%.
Tatizo ni nini hapa, maana hii fursa ingeweza kututoa kwa spidi kubwa
 
Afu hizi sofa hazijabadilishwa mpaka leo.
Marekan huwa na utaratibu wa kubadilisha samani kila baada ya miaka 2
 
Mimi ni mtundu Wa kuzaliwa Wa kupanga panga nyumba ndiyo maradhi Yangu...kuna siku niliwahi kujiuliza kwl mbona hizi coach hazina hadhi ya ikulu? Basi at least zingetengenezwa za culture halafu wazimodernize kidogo kochi zimenuna kama huwa zinapigwa na ile rangi siyo ya kifalme ikulu bhana kunatakiwa kuwake ndio ofisi kuu ya Tz.
 
Badala ya kujishughulisha na kilichojadiiwa hapo wewe unajishughulisha na samani.

Huna tofauti na mababu zetu waliobadilishana shanga na dhahabu.
Lkn idawa hebu uangalie hii mada kwa mapana zaidi.

Sawa kinachojadiliwa hatukijui lkn kweli kama hayo makochi ndio saman tunazotengeneza hapa ndani na hadi zimepata hadhi ya kwenda ikulu basi Tanzania tuna shida.

As for me Kila saman ya ikulu Pamoja na mapambo yake yawe ni kazi ya mtanzania. Lkn tuchague design nzuri ambazo hata akija mgeni akizoona anaweza kutoa Oda ya kutengenezewa ya nyumban kwake.

Vipi kama hilo kochi lingewekewa mvuto zaidi? Kuanzia kitambaa hadi design? Unadhan ingekuwa mbaya kama ilivyo hapo?
 
Mie kwanza hizo cushion pillow nisingeweka, halafu ikulu manyaya ya kwenye socket yanapita sakafuni kweli?

Rangi ya zulia, kochi, cushion pillow, ukuta. Curtains haziendani. Yaan interior design and decor ni zero.

Wahusika watasema ni bajet lkn vingepangiliwa rangi gharama Bado zingekuwa zile zile
 
Back
Top Bottom