gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,715
Ilo
Ukweli ikulu ndio ofisi kuu tunapaswa kuipamba ivutie na sio kuweka tuu vitu kama kwamba ni lazima viwepo. Kuna maua mazuri ya mezani Bora hata wangeweka maua Kilimanjaro.
Ilo ua la mezan ndio kabisa, na curtains sijui nani aliwaambia hiyo colour ndio nzur. Nyanya je kupita chini sio kuhatarisha maisha?Mimi binafsi siyapendi kabisa hayo makocha, hayana hadhi ya kuwa Ikulu. Nasisitiza mimi binafsi.
Ukweli ikulu ndio ofisi kuu tunapaswa kuipamba ivutie na sio kuweka tuu vitu kama kwamba ni lazima viwepo. Kuna maua mazuri ya mezani Bora hata wangeweka maua Kilimanjaro.