Samani za Ikulu zinanipa utata kidogo

Samani za Ikulu zinanipa utata kidogo

Naungana na mtoa mada,ni kweli yapo katika kiwango duni sana.
 
Badala ya kujishughulisha na kilichojadiiwa hapo wewe unajishughulisha na samani.

Huna tofauti na mababu zetu waliobadilishana shanga na dhahabu.

Kama haya ndio maono yetu basi tusilie tunapopokonywa biashara na nchi za jirani. Unajua watalii wananunua vinyago vingi Kenya kuliko TZ kwa sababu vinatengenezwa kwa ufanisi mzuri. Vinyago vya TZ ukivisimamisha mezani vinagudaguga wakati vingefanyiwa lathing (kama randa) chini vingekuwa flat kukaa mezani vizuri. Mashine za lathe ndogo kwa wasanii wa vinyago ni bei ya bure lakini wabongo hatufanyi.

Sisi yetu ni "bora twende" tu. Watalii kama wa Kijapani wako makini sana na maono ya vitu wanavyonunua na ndio maana Kenya inakuwa na hisa kubwa sana ya mauzo ya kitalii kuliko TZ.

Watanzania tujitahidi sana katika aesthetics (ujumi) la sivyo tutadorora katika kuuza vitu vyetu, hasa katika soko la nje.

Mkuu cleverbright umeona hoja yangu ya samani za ikulu inavyohusiana moja kwa moja na maendeleo ya nchi yetu?

Kilichopo ikulu ndio tangazo (commercial) kubwa sana la bidhaa za Tanzania. Mtu wa nje anapoona picha ya samani za ikulu yetu kuwa hazivutii, unadhani atafunga safari kuja Tanzania kutafuta samani za nyumbani au ofisini kwake?

Fikiri!
 
Last edited by a moderator:
Jamani huko ikulu bado kuna bajeti ya kununua maua? Naona ni uharibifu wa pesa. Bajeti ya maua ipelekwe ocean road kununua japo gloves kwa ajili ya kunitumia wagonjwa
 
Msukuma huyo..mambo yakupendeza sio fani yake

kwa lugha nyepesi au kwa maana nyingine unataka kusema au kumaanisha kuwa wasukuma ni " washamba " na " hawapendi kupendeza? " wasukuma mpo? kazi kwenu na walivyojazana humu subiria kimbembe chao tu mkuu.
 
Kuongoza nchi kunahusisha mambo mengi sana sio kama unavyodhani wewe. Samani zile ni mbaya, hazina taswira ya kuwa samani za ikulu.

mbona hushangai simu ya balozi wa marekani hapa nchini ni ile ya " mshindi " lakini kutwa anaongea na rais wa dunia obama na salio lake la chini ( nikimaanisha muda wake wa maongezi ) ni pato lako la pesheni utakapostaafu 2063 ila wewe una simu yako ya smartphone uliyoinunua kwa gharama kubwa lakini salio sometimes unakuta 23.09 tsh na bado unaishi maisha ya shida na kubangaiza. hapa nataka kumaanisha kuwa watanzania baadhi yetu tuache " ushamba ". hivi unadhani hao watumishi wa ikulu wenye hiyo dhamana ya kununua vitu vya hapo walikuwa wajinga na wapumbavu? nikutafutie picha ya samani za ikulu kipindi kile cha hayati baba wa taifa mwalimu julius kambarage nyerere uone zilivyokuwa? je nchi ilikuwa haiendi na haiheshimiki? kama vipi tunaomba na wewe utuwekee humu samani zako za hapo kwako kama hatujaona panya na mende " wanachomoka " kimtindo.
 
Tunachokionesha hadharani ikulu ni tangazo kwa dunia nzima kuhusu ufanisi wetu katika tasnia mbalimbali.

Makochi ya ikulu ni tangazo la tasnia ya useremala na upambaji (upholstery) wa samani hapa Tanzania. Tuwe makini na tunavyojitangaza.

Kama mimi ningekuwa katibu mkuu bwana Ombeni Sefue ningefanya hivi:

Ningemuuliza Rais kama anapendezwa na makochi yaliyopo sasa ikulu.
  • Akisema "Haya yanafaa kabisa na sitaki kusikia kitu kingine", basi nitaufyata.
  • Akisema nakuachia wewe uitangaze hii tasnia duniani, basi nitawaita watengenezaji wote wa samani Tanzania na kuwapa changamoto waje na design zao nzuri, na itakayoshinda itaipamba ikulu. Kampuni itayaoshinda ikishirikiana na Interior decorator/designer wa ikulu, First Lady, na pengine na Rais itatuletea makochi ya ikulu yatakayoitangaza tasnia hii ulimwenguni.

Mkuu Kifyatu, kwanza asante katika concern yako kuhusu ubora na ustadi wa thamani za Ikulu yetu!.

Kwenye utumishi wa umma, kuna kitu kinaitwa Standing Orders, ambazo ndizo kanuni za uendeshaji wa serikali.

Kwenye kanuni hizo, serikali mpya ikiingia madarakani, thamani zote zinabadilishwa kuendana na taste ya awamu mpya!, na sio thamani tuu, hatu magari!, bajeti hiyo iliishatengwa na awamu iliyotangulia!.

Hili sii kwa rais tuu bali hata kwa wale wakuu 5, mawaziri, na wakuu wa vyombo vya dola!.

Wakati wa Mkapa, kampuni iliyo supply samani za Ikulu ni ile Gerry Supper Furnichers iliyopo pale Mlimani City, samani zake ni za kitanzania kwa asilimia 100% save for fabrics only na kiukweli ni nzuri!, mmiliki ni mama mjane fula alikuwa ni best na Mkapa na ndio Best Man na Matorn wa ndoa yao!, hivyo hata kama alipata tender kwa upendeleo maalum lakini ame deliver!.

Naunga mkono hoja ya kushindanisha ubunifu among the local producers the best design na good finishing ndio achukuliwe, ila amini usiamini hili likifanyika, makapuni yatakayoshinda yatakuwa yale yale ya nje yaliajiri local talents na kufanya finishing kwa mashine za kisasa kama kina Ocean Kiss, Cleopatra, Carwin etc ambao wao wana expot very high quality prroducts, viwanda vyetu vya kina fundi Magungo pale Keko tutabaki tukikodoa tuu macho!.

VETA, JKT na Magereza wanatengeneza samani nzuri tuu ila kwenye ubunifu ni finishing, hawawezi kucompete na Wachina wa Ocean Kiss, wa Misri wa Cleopatra, Wa Lebanon wa Derma au wale wazungu walioko njia ya Coca cola!.

The way forward ni kwa seikali yetu kuyalazimisha mabenki yetu yatoe mikopo ya modern finishing equipments kwa wazalishaji samani wazawa ili tuzalishe ile ile quality ya ready made! na hitaji la kuilazimu serikali kununua samani za local pia liwekwe kwenye standing orders!.

Pasco
 
Watu mnapenda kuangalia issue za kipuuzi kabisa. Mtoa mada ndio kama wale wanaotizama kila mtu wanaekutana nae kavaa shati, suruali ama mkanda wa design gani au bei gani. Haya ni mambo ya kiswahili kabisa. Kama unataka kochi nzuri si ununue na uweke kwako, au piga picha sitting room yako ujitangaze hapa JF kwa picha.

Watu wanafikiri jinsi ambavyo taifa linaweza songa mbele, wewe unafikiria raisi kavaa suti gani au anakalia kochi gani. Waswahili utawajua tu.
 
asante kwa kunisaidia kumuelimisha huyo mtoa mada ( uzi ) pamoja na wengine waliomsapoti. kumbe nimeamini watu au nchi zilizoendelea wanaangalia mambo ya msingi huwa hawakosei wakiwa wanatucheka watanzania kwa kupenda mno vitu vya anasa na vya ufahari wakati tuna mambo mengi ya msingi na ya maana ya kuyafanyia kazi ili nchi yetu isonge mbele iweze basi hata angalau kushindana na jirani zetu kenya na rwanda. leo unashangaa samani za ikulu mbona hushangai kwa mfano viti vilivyo ndani ya bunge la nchini uingereza ambavyo ni vya kawaida sana lakini vya bunge letu la tanzania ni vya kifahari ila hao hao wabunge wa uingereza ndiyo wanatusaidia hata katika bajeti yetu na sisi wenye bunge lenye samani za kisasa kutwa tunawapigia magoti watuhisani. ipo haja ya watanzania kubadili " mind-sets " zetu otherwise tunatia aibu kwa aina hii ya kufikiri tena inayotoka pengine kwa mtu ambaye ni msomi wa hali ya juu.
 
Mimi binafsi siyapendi kabisa hayo makocha, hayana hadhi ya kuwa Ikulu. Nasisitiza mimi binafsi.

Tunaongelea makochi sio makocha kwani ikulu kuna timu yoyote ya michezo?
 
Kama haya ndio maono yetu basi tusilie tunapopokonywa biashara na nchi za jirani. Unajua watalii wananunua vinyago vingi Kenya kuliko TZ kwa sababu vinatengenezwa kwa ufanisi mzuri. Vinyago vya TZ ukivisimamisha mezani vinagudaguga wakati vingefanyiwa lathing (kama randa) chini vingekuwa flat kukaa mezani vizuri. Mashine za lathe ndogo kwa wasanii wa vinyago ni bei ya bure lakini wabongo hatufanyi.

Sisi yetu ni "bora twende" tu. Watalii kama wa Kijapani wako makini sana na maono ya vitu wanavyonunua na ndio maana Kenya inakuwa na hisa kubwa sana ya mauzo ya kitalii kuliko TZ.

Watanzania tujitahidi sana katika aesthetics (ujumi) la sivyo tutadorora katika kuuza vitu vyetu, hasa katika soko la nje.

Mkuu cleverbright umeona hoja yangu ya samani za ikulu inavyohusiana moja kwa moja na maendeleo ya nchi yetu?

Kilichopo ikulu ndio tangazo (commercial) kubwa sana la bidhaa za Tanzania. Mtu wa nje anapoona picha ya samani za ikulu yetu kuwa hazivutii, unadhani atafunga safari kuja Tanzania kutafuta samani za nyumbani au ofisini kwake?

Fikiri!

Mkuu Kifyatu, unachokifanya hapa ni kutupa somo la uzalendo, japo wengine hawakuelewi unazungumzia nini, pia waelewa tupo na tunakwenda pamoja!.

Hili la vinyago, ni kweli nililishihidia, ila hao wa Kenya, hawachongi wao, wananunua Tanzania na kwenda kufanya smooth finishing kwao. Nenda pale mpaka wa Namanga, soko kubwa la vinyago liko upande wa Kenya, upande wa Tanzania, we have nothing!.

Enzi zangu nikiwa mwandishi wa habari, niliteuliwa kuandamana na kundi la wafanya biashara wa Tanzania kwenda nchini Marekani kwenye exploration tour ya fursa za soko la Agoa. Wamarekani wameonyesha type ya bidhaa, size, quantity na aina ya packaging, Watanzania tukapewa fursa kuingiza bure bila ushuru wowote.

Kuna kina mama wa Mtwara washona mikela ya majani fulani, wakapewa order ya kudeliver a 40 feet conteiner within 90 days. Webgine walipata orders za vinyago, vikapu, bidha za kitamaduni. Tukarudi bongo, hatua ya kwanza wakaomba msaada wa TCCIA kuwasaidia kupata mikopo ili waweze kuzalisha large quantities, walikosa!. Zile Orders za Tanzania zinakuwa on line kwa 90 days huku nchi za Kenya na Uganda pia zina hiyo fursa wanaona odes zote za mahitaji ya Wamerani.

90 days zikishapita, orders hizo zinakuwa open kwa nchi nyingine yoyote yenye fursa ya Agoa, ku supply mzigo huo. Siku 90 zilipopita kwa Tanzania kushindwa ku supply fursa ilifunguka kwa wengine!. Huwezi amini, Wakenya waliingia na samples hadi Mtwara na Lindi, wakawalipa wale kina mama wa kule, wakasukiwa mikeka na kuinunua kwa bei ya chini sana, wakaenda nayo kwao Nairobi, wakjaishonea lining tuu ya pembeni na kuifanyia brading, "producs of Kenya", wakajaza 40 ft containes na kuingiza mzigo Marekani!, mwaka mmoja baadae tunarudi Marekani kupima matokeo ya fursa za Agoa, tunakuta bidhaa za Kitanzania zimetapakaa Marekani lakini ni product from Kenya!.

Kama ilivyo Tanzanite kwenye soko la dunia, japo Tanzanite inapatikana Tanzania pekee, India ndio nchi inayoongoza kwa uuzaji wa Tanzanite, ukifuatiwa na Afrika Kusini, Kenya, Tanzania ni ya 4!.
[h=3]Tanzania is ranked the fourth largest exporter of Tanzanite ...
[/h]Pasco
 
Mkuu Kifyatu, kwanza asante katika concern yako kuhusu ubora na ustadi wa thamani za Ikulu yetu!.

Kwenye utumishi wa umma, kuna kitu kinaitwa Standing Orders, ambazo ndizo kanuni za uendeshaji wa serikali.

Kwenye kanuni hizo, serikali mpya ikiingia madarakani, thamani zote zinabadilishwa kuendana na taste ya awamu mpya!, na sio thamani tuu, hatu magari!, bajeti hiyo iliishatengwa na awamu iliyotangulia!.

Hili sii kwa rais tuu bali hata kwa wale wakuu 5, mawaziri, na wakuu wa vyombo vya dola!.

Wakati wa Mkapa, kampuni iliyo supply samani za Ikulu ni ile Gerry Supper Furnichers iliyopo pale Mlimani City, samani zake ni za kitanzania kwa asilimia 100% save for fabrics only na kiukweli ni nzuri!, mmiliki ni mama mjane fula alikuwa ni best na Mkapa na ndio Best Man na Matorn wa ndoa yao!, hivyo hata kama alipata tender kwa upendeleo maalum lakini ame deliver!.

Naunga mkono hoja ya kushindanisha ubunifu among the local producers the best design na good finishing ndio achukuliwe, ila amini usiamini hili likifanyika, makapuni yatakayoshinda yatakuwa yale yale ya nje yaliajiri local talents na kufanya finishing kwa mashine za kisasa kama kina Ocean Kiss, Cleopatra, Carwin etc ambao wao wana expot very high quality prroducts, viwanda vyetu vya kina fundi Magungo pale Keko tutabaki tukikodoa tuu macho!.

VETA, JKT na Magereza wanatengeneza samani nzuri tuu ila kwenye ubunifu ni finishing, hawawezi kucompete na Wachina wa Ocean Kiss, wa Misri wa Cleopatra, Wa Lebanon wa Derma au wale wazungu walioko njia ya Coca cola!.

The way forward ni kwa seikali yetu kuyalazimisha mabenki yetu yatoe mikopo ya modern finishing equipments kwa wazalishaji samani wazawa ili tuzalishe ile ile quality ya ready made! na hitaji la kuilazimu serikali kununua samani za local pia liwekwe kwenye standing orders!.

Pasco

Pasco unaonyesha unajua mengi ila habari yako haijakamilika. Umesema wakati wa Mkapa ni local supplier alipewa tender hiyo. Jee wakati wa JK hiyo tender alipewa nani? Tusiruke habari hapo kati na kujadili ya sasa tutapoteza mtiririko
 
Back
Top Bottom