JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,966
Kuna hii tabia ya RESERVED, unaingia kula bata unakutana na meza 5 zote Reserved na hakuna pa kukaa, huu ni ubaguzi kwa sisi wateja wenu, ipo siku tutawaachieni na hao watu wenu.
Tafuteni mbinu nyingine isiyoonesha ubaguzi wa wazi hivi, mimi nimewahi anatunziwa aliyechelewa, hii si sawa.
Tafuteni mbinu nyingine isiyoonesha ubaguzi wa wazi hivi, mimi nimewahi anatunziwa aliyechelewa, hii si sawa.