What if he knowsNamhurumia boss wake, usikute haya yanafanyika bila yeye kujua.
Mkuu, thats the difference. Huduma zipo kutokana na wadau wao....Wapo watu walikuwa jeuri hivi hivi ila leo wanalia kwa kupuuza hivi hivi.
Pesa pesaa😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii Ni Kali sana