Nadhani mnamic the point, huyo Dokta akiwa reserved hakuna mtu ataona, chukulia huyo Dk awepo ofisini wagonjwa wamepanga foleni, wakifika anawaambia mimi nipo reserved namsubilia watu8, utajisikiaje?Ukishakuwa na hela kila kitu unaweza fanya...
Hata dokta unaweza mreserve siku hiyo akuhudumie wewe na familia aachane na kutibu wagonjwa wa foleni...
Wewe mwaya ndio hujui kama vinawatu huwezi pewa .Ushamba wa hali ya juu huu, watu wanafika wanasimama meza iko wazi.
Hapana ni kama tu bado hajaelewa tu mfumo wa kisasa ataelewa tu soon kila kitu nikujifunzaHawezi kulipa ndio maana ana lalama hapa
Samahani mkuu kwani kuwa na hela mpaka isemekane una pesa inaanzia kiasi gani?Mkuu hata wewe unaweza reserve meza yako mapema kabisa hata sio gharama kama mpo hata wa5 mna piga sim mnawekewa. Niko samaki samaki ya masaki upo wapi niko na pisi kali nikupe hata 1 jamaa yangu au utalalamika huna hela?[emoji28]
Waachie.Tukiamua kuwaachia hao wenye pesa itakuwaje?
Tukutane hapo wiki ijayo, uje na hiyo pisi unataka kunipatia.
Thank you..What's so special with Samaki Samaki ???
Hizo story za future tense hawataki,wao Ni weka hela mezani full stopNinaona ni ubaguzi, anayeonekana leo hana pesa ndo mwenye pesa siku zijazo.