King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,985
hao weusi wakubwa kiasi ni samaki ila ni wale ambao hata nazi haikolei
dagaa tu linakolea nazi, seuze samaki? Weye tu hujui kuipika nazi, waiacha inakatika!
hao weusi wakubwa kiasi ni samaki ila ni wale ambao hata nazi haikolei
Mama mdogo siku hizi samaki wakubwa kiasi hichi hawapatikani!Linganisha na huyu hapa ni Sangara mkubwa aliyevuliwa katika Ziwa Victoria kabla ya uvunaji mkubwa na viwanda kuwepo:
View attachment 78193
thio mapere halafu uyapate na puresema THAMAKI
Samaki wakubwa hivi walipatikana baada ya mv bukoba kuzama.hata-wakipatikana sasa mswahili anaambulia kichwa na mkia na mifupa angalia documentary"darwin nightmare"Mama mdogo siku hizi samaki wakubwa kiasi hichi hawapatikani!
hao unaanzia kula kichwa