Samaki Haoooooooo

Samaki Haoooooooo

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
206055_462908333757581_990487873_n.jpg
 
Aaaaaa naona "Dagaa mchele" fungu moja hapo ngoja nitawatafuta nikirudi Dar, nna miaka aiseee.....
 
si mchezo mate yana nidondoka hapa nipo a town umenikumbusha mambo ya bongo dagaa mchele .
 
Viajana wa zamani waukumubuka huu wimbo wa Kuleni chakula bora, mboga, samaki maziwa.........................sasa hivi bora chakula chips kuku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom