N Nyanjigez New Member Joined Oct 14, 2026 Posts 1 Reaction score 1 Oct 16, 2026 #1 Habari Wakuu Nazalisha na kuuza chakula cha samaki starter na grower. Kama kuna mtu anaitaji tuzungumze...
Habari Wakuu Nazalisha na kuuza chakula cha samaki starter na grower. Kama kuna mtu anaitaji tuzungumze...
Masagala JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 4,816 Reaction score 9,775 Oct 21, 2026 #2 Unazalisha nini sasa? Toa maelezo yaliyonyooka, kama ni chakula bei gani, mawasiliano?
M Malila JF-Expert Member Joined Dec 22, 2007 Posts 5,472 Reaction score 5,410 Oct 21, 2026 #3 Nyanjigez said: Habari Wakuu Nazalisha na kuuza chakula cha samaki starter na grower. Kama kuna mtu anaitaji tuzungumze... Click to expand... location please
Nyanjigez said: Habari Wakuu Nazalisha na kuuza chakula cha samaki starter na grower. Kama kuna mtu anaitaji tuzungumze... Click to expand... location please
Monetary doctor JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 14,745 Reaction score 28,267 Oct 21, 2026 #4 Wewe ndiye mtu wa marketing sio 🤔
Mifugo Planet Member Joined Nov 9, 2026 Posts 27 Reaction score 22 Nov 17, 2026 #5 Mkuu. Maelezo yako kuhusu vyakula vya samaki katika mnyororo wa ufugaji bora hayanyooki. Unazalisha mwenyewe au unafanya reparking au ni msambazaji wa bidhaa za watu. Mojawapo ya eneo lenye chngamoto hasa chkula bora ni samaki. Bdo kuna unjaja ujanja tu. Shida ya wanaojiita wazalishaji hawana mashamba ya mfano wanayofanyia tafiti bidhaa zao.
Mkuu. Maelezo yako kuhusu vyakula vya samaki katika mnyororo wa ufugaji bora hayanyooki. Unazalisha mwenyewe au unafanya reparking au ni msambazaji wa bidhaa za watu. Mojawapo ya eneo lenye chngamoto hasa chkula bora ni samaki. Bdo kuna unjaja ujanja tu. Shida ya wanaojiita wazalishaji hawana mashamba ya mfano wanayofanyia tafiti bidhaa zao.