The humble Man
Member
- Mar 26, 2023
- 22
- 36
Kama unafahamu samaki aina ya GOGO, tafadhali nijulishe Jina lake lingine ni lipi, anapatikana wapi kwa mwambao wa ziwa Victoria, kama una picha itasaidia zaidi.
Ndo na Mimi nataka kumfahamu mkuu!!,Gogo yupoje huyo.
Picha yake unayo?Kama unafahamu samaki aina ya GOGO, tafadhali nijulishe Jina lake lingine ni lipi, anapatikana wapi kwa mwambao wa ziwa Victoria, kama una picha itasaidia zaidi.
Sina picha, natamani kujua kama Kuna wajuzi wanijulishe.Picha yake unayo?
Hawa samaki ziwa victoria nadhani walishapotea mara ya mwisho niliwaona miaka ya 80, GOGO, NINGU, SOGA, Wengine niwataje kwa majina ya kilugha kama NEMBE, NGELE hizo jamii zote kwa maeneo ya ziwa ukanda Musoma, Mwanza na UKEREWE hawapatikani tena sijui kwa upande wa BUKOBA. Gogo simjui kwa jina lingine zaidi ya hilo,Gogo yupoje huyo.
Jina lake kama anavyofahamika ukanda wa Ziwa Victoria ni GOGOGO. Kwa bahati mbaya nipo huku mbali na sehemu hizo nashindwa kukutumia picha.Kama unafahamu samaki aina ya GOGO, tafadhali nijulishe Jina lake lingine ni lipi, anapatikana wapi kwa mwambao wa ziwa Victoria, kama una picha itasaidia zaidi.
Ahsante kwa maelezo HAYA mkuuHawa samaki ziwa victoria nadhani walishapotea mara ya mwisho niliwaona miaka ya 80, GOGO, NINGU, SOGA, Wengine niwataje kwa majina ya kilugha kama NEMBE, NGELE hizo jamii zote kwa maeneo ya ziwa ukanda Musoma, Mwanza na UKEREWE hawapatikani tena sijui kwa upande wa BUKOBA. Gogo simjui kwa jina lingine zaidi ya hilo,
NEMBE na NINGU ladha yake ni balaaAhsante kwa maelezo HAYA mkuu
Huna hata picha ya mitandaoni?
NINGU, SOGA, NEMBE, NGELE hawa wanapatikana hapa ukerewe ila kwa nadra sana
Ahsante mkuuJina lake kama anavyofahamika ukanda wa Ziwa Victoria ni GOGOGO. Kwa bahati mbaya nipo huku mbali na sehemu hizo nashindwa kukutumia picha.
Shukrani sanaAnaitwa kolokolo, ngonje au ngogo.
Kaa vizuri na wajita watakupa gogo, ningu n.k.
Ningu my fav.NEMBE na NINGU ladha yake ni balaa
Mwaka 2022 nilibahatika kumpata Ningu kutoka fresh water, alikua mkubwa, kichwa tulimla supu, kiwiliwili mboga. Mpaka leo sijabahatika kumpata tena, ni Adimu mno.Hawa samaki ziwa victoria nadhani walishapotea mara ya mwisho niliwaona miaka ya 80, GOGO, NINGU, SOGA, Wengine niwataje kwa majina ya kilugha kama NEMBE, NGELE hizo jamii zote kwa maeneo ya ziwa ukanda Musoma, Mwanza na UKEREWE hawapatikani tena sijui kwa upande wa BUKOBA. Gogo simjui kwa jina lingine zaidi ya hilo,
Ahsante kwa maelezo na pichaGOgogo ni wa ziwa victoria.
Ni watamu sana hasa wakiwa na mafuta na mayai.
Anafanana na mumi lakini pale kwenye ndevu za mumi yeye ana mifupa miwili migumu (mmoja kila upande).
Wanapendeza zaidi wakipikwa mchemsho.
Wanapatikana zaidi visiwani kama ukerewe
View attachment 3447361
Mmmh hawa morogoro kipindi cha mvua tulikuwa tunawavua kwenye vimito vidogovidogo kwenye matope, nahisi ni jamii ya kambale, tulikuwa tunawaita helicopter. Huyu ukimla mfupa wake unatakiwa uuchome moto, otherwise ukiukanyaga shughuli unayo, kwanza unakama msumeno hiviGOgogo ni wa ziwa victoria.
Ni watamu sana hasa wakiwa na mafuta na mayai.
Anafanana na mumi lakini pale kwenye ndevu za mumi yeye ana mifupa miwili migumu (mmoja kila upande).
Wanapendeza zaidi wakipikwa mchemsho.
Wanapatikana zaidi visiwani kama ukerewe
View attachment 3447361