Poleni sana. Mmezidi mno kuwowana.
Wakuu niambieni ni nani niliyemwonea ili nimwombe radhi!
Poleni sana. Mmezidi mno kuwowana.
Na hii thread msipokuwa makini itakuwa victim coz inakuwa closely scrutinized!
U guys gotta comment responsibly!
Ni kweli kaka yan ndio anaharibu ndio maana mi nimekula zangu kimya isingekuwa huu uzi wako usingeniona mkuu!
Wakuu niambieni ni nani niliyemwonea ili nimwombe radhi!
Binafsi nitaendelea kubaki msomaji hadi ntakapokuwa na nimevitiwa saaaana otherwise sina mzuka tena na jukwaaErickb52 yaani kwa sasa hata jukwaa linaboa kuingia maana hujui ni maneno yapi utayaongea ambayo hayatamuudhi mods akupe ban
Tulikuwa tunaogopa jukwaa la siasa ila sasa na hili la CC linaogopeka inabidi tuingie kwa tahadhari
Utani wetu na kuupeana madongo inabidi tuwe makini