Kama ni hivyo si bora serikali iachane na mashule watoto wetu tuwe tunawafundisha wenyeweUkiona mwanao hajui kusoma na kuandika ujue tatizo ni wewe mzazi
Wewe unakuwa unafanya nini hadi mtoto wako anashindwa kutofautisha kati ya R na W?
Shule ni sehemu ya kumsogeza mwanafunzi asonge mbele zaidi lakini mtu anayetakiwa kuhakikisha mtoto anajua kusoma na kuandika ni mzazi. Kwa mzazi aliye makini na anayependa elimu kweli mtoto huanza kufunzwa nyumbani na husimamia hilo na uzuri kuna vitabu vinauzwa mitaani ambavyo vinaweza kumsaidia mtoto kusoma na kuandika.
Mzazi ndio mwalimu wa kwanza wa mtoto na mtoto anapo feli lazima uanze kwanza kujiangalia wewe kama kweli unatimiza wajibu wako ipasavyo.
Mtoto unampeleka kuanza shule hajui hata kusoma a,e,i,o,u halafu umpe lawama mwalimu? hivi unafikiri kuna wanafunzi wangapi wa namna hiyo? Mzazi umechukua jitihada gani?
mkuu me kwanza sina mtoto badobado haya nimeyaona kwa mtoto wa fulani...Ukiona mwanao hajui kusoma na kuandika ujue tatizo ni wewe mzazi
Wewe unakuwa unafanya nini hadi mtoto wako anashindwa kutofautisha kati ya R na W?
Shule ni sehemu ya kumsogeza mwanafunzi asonge mbele zaidi lakini mtu anayetakiwa kuhakikisha mtoto anajua kusoma na kuandika ni mzazi. Kwa mzazi aliye makini na anayependa elimu kweli mtoto huanza kufunzwa nyumbani na husimamia hilo na uzuri kuna vitabu vinauzwa mitaani ambavyo vinaweza kumsaidia mtoto kusoma na kuandika.
Mzazi ndio mwalimu wa kwanza wa mtoto na mtoto anapo feli lazima uanze kwanza kujiangalia wewe kama kweli unatimiza wajibu wako ipasavyo.
Mtoto unampeleka kuanza shule hajui hata kusoma a,e,i,o,u halafu umpe lawama mwalimu? hivi unafikiri kuna wanafunzi wangapi wa namna hiyo? Mzazi umechukua jitihada gani?
😱😀😀😀Walimu wa sasa ni balaa...mtt hajui kusoma lkn utakuta wanamkaza
Kustaafu walimu wa upe ni kizazi kilichokuja ni vilaza sana. Huwezi mchukua mtoto wa form 4 aliyefel akamfundishe mtoto au kijana anaeona hana option nyingine basi ualimu ndio product zao ndio hizi.Hivi inawezekanaje mwanafunzi wa darasa la tano hajui kusoma..?
unamwambia nionyeshe W anakuonyesha R duh! mpaka nimechoka kabisa!! sasa hapa mtu anasoma au anapita tu..?!
hawa ndo wataalum tunaowategemea miaka ijayo kweli ama kweli waafrika tunahitaji kutawaliwa!! elimu ndo inatakiwa itukomboe lkn ndo inapita kama mpita njia tupu!
Serikali hebu wajalini walimu watengeneze watu wanaostahili msipowajali ama kuijali hii sekta ya elimu tutakapofikia patakuwa hapatamaniki for sure..
Nani hajui dunia ya sasa yahitaji wasomi..? Sasa kwa dizaini hii tutawapata kweli miaka 50+ sasa bado tunasuasua dah!
Lile shipa la aibu limetoka kabisa!.
Nawewe jiulize. Walimu wanalipwa ?Hivi inawezekanaje mwanafunzi wa darasa la tano hajui kusoma..?
unamwambia nionyeshe W anakuonyesha R duh! mpaka nimechoka kabisa!! sasa hapa mtu anasoma au anapita tu..?!
hawa ndo wataalum tunaowategemea miaka ijayo kweli ama kweli waafrika tunahitaji kutawaliwa!! elimu ndo inatakiwa itukomboe lkn ndo inapita kama mpita njia tupu!
Serikali hebu wajalini walimu watengeneze watu wanaostahili msipowajali ama kuijali hii sekta ya elimu tutakapofikia patakuwa hapatamaniki for sure..
Nani hajui dunia ya sasa yahitaji wasomi..? Sasa kwa dizaini hii tutawapata kweli miaka 50+ sasa bado tunasuasua dah!
Lile shipa la aibu limetoka kabisa!.
Hahaha!bado chuo kikuu tu..!!
Wanakuja na takwim kuwa ufaulu umepanda..nyambaffff.Wewe unashangaa LA tano wakati kuna form one, two hawajui kusoma
Nafikiri kuna wanafunzi wenye vichwa vizito sanaduh! kazi tunayo wananchi wa nchi hii kwa jambo hili nimeshakuwa na mashaka ila shaka langu ntaendelea kugumia ubongoni tu!
Kweli kabisa, kuna ticha mmoja aliñiomba nimsaidie kusahihisha moja ya mitihani ya muhula,,, sikuamini nilichokikuta kwenye marking scheme yake! It was totally wrong! Maswali mengine vijana wamejibu kwa usahihi lakini yanakunzana na majibu aloandaa ticha,,,,, nikawa nawapa vema vijana bila kuzngatia marking scheme!Kwa sasa mwalimu akimwuliza mwanafunz swali,,jibu lolote analotoa mwanafunzi ni jibu sahihi..