Serekali imemwaga mboga, nasisi walimu tumetia mchanga kwenye ugali. Ni mwendo wa mgomo baridi tu.Hivi inawezekanaje mwanafunzi wa darasa la tano hajui kusoma..?
unamwambia nionyeshe W anakuonyesha R duh! mpaka nimechoka kabisa!! sasa hapa mtu anasoma au anapita tu..?!
hawa ndo wataalum tunaowategemea miaka ijayo kweli ama kweli waafrika tunahitaji kutawaliwa!! elimu ndo inatakiwa itukomboe lkn ndo inapita kama mpita njia tupu!
Serikali hebu wajalini walimu watengeneze watu wanaostahili msipowajali ama kuijali hii sekta ya elimu tutakapofikia patakuwa hapatamaniki for sure..
Nani hajui dunia ya sasa yahitaji wasomi..? Sasa kwa dizaini hii tutawapata kweli miaka 50+ sasa bado tunasuasua dah! Lile shipa la aibu limetoka kabisa!.
Mlete huyo mtoto hapaHivi inawezekanaje mwanafunzi wa darasa la tano hajui kusoma..?
unamwambia nionyeshe W anakuonyesha R duh! mpaka nimechoka kabisa!! sasa hapa mtu anasoma au anapita tu..?!
hawa ndo wataalum tunaowategemea miaka ijayo kweli ama kweli waafrika tunahitaji kutawaliwa!! elimu ndo inatakiwa itukomboe lkn ndo inapita kama mpita njia tupu!
Serikali hebu wajalini walimu watengeneze watu wanaostahili msipowajali ama kuijali hii sekta ya elimu tutakapofikia patakuwa hapatamaniki for sure..
Nani hajui dunia ya sasa yahitaji wasomi..? Sasa kwa dizaini hii tutawapata kweli miaka 50+ sasa bado tunasuasua dah! Lile shipa la aibu limetoka kabisa!.
Yaillah toba!Walimu wa sasa ni balaa...mtt hajui kusoma lkn utakuta wanamkaza
Mgomo wa walimu ulianza rasmi mwaka 2010 mpaka leo ila huu ukweli hakuna anae ukubali.Hivi inawezekanaje mwanafunzi wa darasa la tano hajui kusoma..?
unamwambia nionyeshe W anakuonyesha R duh! mpaka nimechoka kabisa!! sasa hapa mtu anasoma au anapita tu..?!
hawa ndo wataalum tunaowategemea miaka ijayo kweli ama kweli waafrika tunahitaji kutawaliwa!! elimu ndo inatakiwa itukomboe lkn ndo inapita kama mpita njia tupu!
Serikali hebu wajalini walimu watengeneze watu wanaostahili msipowajali ama kuijali hii sekta ya elimu tutakapofikia patakuwa hapatamaniki for sure..
Nani hajui dunia ya sasa yahitaji wasomi..? Sasa kwa dizaini hii tutawapata kweli miaka 50+ sasa bado tunasuasua dah!
Lile shipa la aibu limetoka kabisa!.
Ukiona mwanao hajui kusoma na kuandika ujue tatizo ni wewe mzaziHivi inawezekanaje mwanafunzi wa darasa la tano hajui kusoma..?
unamwambia nionyeshe W anakuonyesha R duh! mpaka nimechoka kabisa!! sasa hapa mtu anasoma au anapita tu..?!
hawa ndo wataalum tunaowategemea miaka ijayo kweli ama kweli waafrika tunahitaji kutawaliwa!! elimu ndo inatakiwa itukomboe lkn ndo inapita kama mpita njia tupu!
Serikali hebu wajalini walimu watengeneze watu wanaostahili msipowajali ama kuijali hii sekta ya elimu tutakapofikia patakuwa hapatamaniki for sure..
Nani hajui dunia ya sasa yahitaji wasomi..? Sasa kwa dizaini hii tutawapata kweli miaka 50+ sasa bado tunasuasua dah!
Lile shipa la aibu limetoka kabisa!.
Tatizo kubwa lipo kwa wazazi haswa wa vijijini hawana muda kabisaa na watoto kuhusu habare za masomo na shuleni, sasa mwalimu amuwajibishe mtoto wake sasa eeehhh mzazi anakimbilia polisi kwa maana anajua kulipwa ndo ensure hapo si anajua mwalimu anamshaharaa.Na wazazi inabidi kufatilia maendeleo ya mtoto kwa mfano hilo swali ulitakiwa umuulize akiwa darasa la kwanza sasa lakini ndo hivyo hakufatiliwa kama anajua au hajui kupata elimu bora ni collaboration ya wazazi +walimu +mwanafunz mwenyewe