Samahani NSSF, samahani Dr. Dau, Nyoni!

Status
Not open for further replies.

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,478
39,996
Well, this is it! tumekosea kuchapa habari hii kwenye kijarida cha Cheche kuhusu NSSF na kuwajibika kwa viongozi wake. Tulifanya makosa ya kuihusisha NSSF na vifo vya watoto hawa. Kilichosemwa na ripoti juu ya NSSF si kweli ni uzushi na kujaribu kuwaharibia watu kazi zao na future yao ya kisiasa.

Kwa niaba ya wote ambao wamefuatilia suala hili kwenye "Cheche" tunaomba radhi kwa kuitaja NSSF, Dr. Dau, Bi. Nyoni na uongozi wote wa NSSF. Tumekubali kwamba shirika hili ni safi kabisa, viongozi wake hawajakosea mahali popote na juhudi zao za kutumia mfuko huu kuinua maisha na kubadili sura ya miji mbalimbali inaonekana.

Ni wazi kuwa NSSF ni miongoni mwa mashirika yanayofanya kazi vizuri zaidi na tunatoa wito kwa makampuni yote yanayodaiwa ikiwemo ile Taasisi ya Moyo wallipe mara moja ili kuendelea kulipa nguvu shirika hili (samahani kwa suala la THI pia sikuwa najua ukweli wote).

Tutaandika makala mpya kusahihisha makosa haya yetu na hii makala iliyoambatanishwa tunatoa wito watu wakiisoma wasiitilie maanani kwani ni makosa ya kiuandishi tu. Na ndiyo nimeomba habari hii isichapishwe na mojawapo ya magazeti ninayoyaandikia ili yasije yakajikuta kwenye matatizo na lile jarida la kiingereza lililotuma mtu kufuatilia kule Tabora nimewashaurri wasifuatilie kwani mjadala umeisha.

Na ninafahamu kuwa waliohusika tayari wameshachukuliwa hatua.

Done, happy now?
 
......uzushi mtupu!!! hooooooooooooooooovyo.
 
mwanakijiji hueleweki, pale nssf tabora, wana estate manager wao pale, analipwa kwa kuangalia upangaji wa jengo lile, yeye ndo mmiliki kwa niaba ya nssf, watu wakabadilisha ukumbi wa mkutano, wakaziba madirisha, wakaondoa taa wakaweka za disco, kwa miaka kadhaa wakawa wanajaza watu mle zaidi ya 500 badala ya 100! estate manager wa nssf yupo na anagalia yakitokea, wakaguzi wa majengo wa nssf wanakuja wanaangalia tu! wanaendela kupokea rent toka kwa mafedhuli hawa!

watoto wetu wamekufa tunawaomba msamaha?
 
Well, this is it! tumekosea kuchapa habari hii kwenye kijarida cha Cheche kuhusu NSSF na kuwajibika kwa viongozi wake. Tulifanya makosa ya kuihusisha NSSF na vifo vya watoto hawa. Kilichosemwa na ripoti juu ya NSSF si kweli ni uzushi na kujaribu kuwaharibia watu kazi zao na future yao ya kisiasa.

Kwa niaba ya wote ambao wamefuatilia suala hili kwenye "Cheche" tunaomba radhi kwa kuitaja NSSF, Dr. Dau, Bi. Nyoni na uongozi wote wa NSSF. Tumekubali kwamba shirika hili ni safi kabisa, viongozi wake hawajakosea mahali popote na juhudi zao za kutumia mfuko huu kuinua maisha na kubadili sura ya miji mbalimbali inaonekana.

Ni wazi kuwa NSSF ni miongoni mwa mashirika yanayofanya kazi vizuri zaidi na tunatoa wito kwa makampuni yote yanayodaiwa ikiwemo ile Taasisi ya Moyo wallipe mara moja ili kuendelea kulipa nguvu shirika hili (samahani kwa suala la THI pia sikuwa najua ukweli wote).

Tutaandika makala mpya kusahihisha makosa haya yetu na hii makala iliyoambatanishwa tunatoa wito watu wakiisoma wasiitilie maanani kwani ni makosa ya kiuandishi tu. Na ndiyo nimeomba habari hii isichapishwe na mojawapo ya magazeti ninayoyaandikia ili yasije yakajikuta kwenye matatizo na lile jarida la kiingereza lililotuma mtu kufuatilia kule Tabora nimewashaurri wasifuatilie kwani mjadala umeisha.

Na ninafahamu kuwa waliohusika tayari wameshachukuliwa hatua.

Done, happy now?

...Thank God Its FRIDAY...............
 
Si lazima mtu a- Pae hadi Darini (PhD) kusomea fasihi andishi ndo aelewe alichoandika Mwanakijiji.

Done, happy now?
ndio mstari uliobeba dhamira ya ujumbe; hivyo mtu yeyote asichanganyikiwe na msimamo wa awali wa mwanakijiji kuhusu kuajibishwa kwa uongozi wa NSSF juu ya vifo vilivyotokea.

Maana ni zaidi ya Maandishi!
 
Done, happy now?

Nafikiri hili swali halituhusu wengine hapa ila linahuwa watu fulani fulani mmoja wapo akiwa GT, maana sioni sababu ya MMK kuomba msamaha kienyeji namna hii, lahaula la kwata.................., Ni fikra zangu tu
 
[/COLOR]

duh!!! lazima wewe utakuwa genius flani.....bwahahahahaha.
 
Kaka Mwanakijiji,

Mimi binafsi huwa naamini makala zako kwa uchambuzi wa fikira. Kwa dhana hiyo hiyo nimekuwa msomaji wa CHECHE na naona ni kijarida kinachochambua na kuanika ukweli. Juzi happa Tabora timu ya Mkuu wa Mkoa imeona NSSF ina kosa na inahusika kuchangia vifo vya watoto. Leo MWANAKIJIJI unaibuka unaomba samahani, ya nini? Kwa nini? Wanaokutishi na washidwe na walegee!!!
 
Nimeishiwa nguvu kabisa maana heshima niliyonayo kwa Mwanakijiji ni kubwa mno. Unaomba radhi ya nini? Mbona ulichosema na kuandika ni sahihi? Wamekutishia nini hawa, kukuloga? Maana hueleweki sasa!

Hivi hamjajua tu kuwa hiyo ni kejeli ya mwanakijiji? mwanakijiji allegations + kamati revelations=responsibilities of nssf,disco/hall operator etc, na hapa tulikuwa na madahalo mwanakijiji vs majority,sasa tumieni IQ zenu kugundua mwanakijiji anataka kusema nini au kuelezea hisia/ujumbe gani kwa jf na wananchi kwa ujumla?
 
Hapo umewasaidia wengi maana mkuu alifumba na kuwaacha wengi pembeni, naamini kwa ufafanuzi wako umewarudisha kundini wana JF wenzetu
 
wahenga walisema akili ni nyele kila mtu na zake.
asante MMJ, kwa kuacha blank kisaikolojia, sasa kila mtu ajaze majibu yake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom